kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. D

    JamiiForums Tanzania Sukuma gang tunasema hii ni laana ya Magufuli kwa mbowe baada ya kushangilia kifo chake.

    DJ, DJ, DJ nimekuita mara tatu wahi chato ukaombe radhi... Sasa umekufa kisiasa umebakizwa kuzikwa. Ulimsema sana mzilakende kwa ukabila na kuzusha uongo mwingi leo sacos yako inaenda kufa iko hoi taabani na dawa pekee ni wewe ubwage manyanga au uongoze chama maiti.
  2. JamiiForums Tanzania Ni wangapi wanapenda kifo kutokana na kutenda haki?

    Japo wengi wanachukia kifo, kuna ukweli kuwa kifo ndiyo kitu pekee kinachotenda haki kuliko vingine. Mvua inaweza kunyesha lakini si dunia nzima. Kifo kipo kila mahali dunia nzima. Furahi ipo duniani lakini siyo kwa watu wote. Ni kifo pekee kinachosawazisha mambo. Mbali na kifo, kinachofuatia ni...
  3. JamiiForums Tanzania Kifo cha Ulomi: Taarifa ya Polisi imezua maswali magumu na mabaya. Haya hapa baadhi...

    Naomba nianze na taarifa yenyewe. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema kuwa Daisle Simion Ulomi, aliyekuwa ameripotiwa kwamba amepotea, alifariki dunia baada ya kupata ajali mbaya na pikipiki aliyokuwa akiitumia siku ya Desemba 11, 2024. Taarifa hiyo imetolewa leo Desemba...
  4. JamiiForums Tanzania Nchi za Kiislamu Zinazotoa Hukumu ya Kifo kwa Kuacha Uislamu

    Katika baadhi ya nchi za Kiislamu, sheria za kidini (Sharia) zinaweza kumhukumu mtu anayekataa au kuacha imani ya Uislamu kwa adhabu kali, ikiwa ni pamoja na hukumu ya kifo. Hii ni kutokana na tafsiri za sheria za Kiislamu kuhusu “kufuru” au “apostasy” (kuasi dini). Ingawa si nchi zote za...
  5. JamiiForums Tanzania Kifo cha Samora Machel

    Samora Machel alikuwa Rais wa kwanza wa Mozambiki na kipenzi sana cha Rais Nyerere na kaunda. Alifariki kwa ajali ya ndege mwaka 1986 akitokea Lusaka kurudi Maputo na ndege yake (Tupolev Tu-134) ikaanguka kwenye vilima vya Mbuzini huko South Africa. Uchunguzi haukuwa conclusive ila idara ya...
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbolea Feki tunayopewa Wakulima Tabora ni chanzo cha kifo cha zao la Tumbaku, Waziri wa Kilimo fanya jambo

    Hivi Waziri wa Kilimo yupo kweli? Maana sisi wakulima wa Tumbaku hapa Tabora tunapitia changamoto na taabu kubwa sana ambazo kama zisipofanyiwa kazi sisi tutaacha kulima zao hilo na Taifa litapata hasara kubwa ya kukosa fedha za kigeni kutokana zao la Tumbaku kuanguka. Iko hivi, sisi wakulima...
  7. JamiiForums Tanzania Hukumu ya kifo kwa mfanyabiashara Truong My Lan yathibitishwa

    Mfanya biashara wa Vietnam mwanamama aliyehukumiwa kifo na mahakama ya Hoch Min City mwezi wa April kwa kosa la kughushi nyaraka na kujipatia fedha kiasi Cha Trillioni ishirini, na baadaye kukata Rufaa akitaka apunguziwe hukumu hiyo mpaka kifungo Cha maisha. Baada ya kukata Rufaa Mahakama ya...
  8. JamiiForums Tanzania Katibu Uenezi CCM Dodoma: Sio kila kifo kinahusiana na uhasama wa kisiasa. Kufa hakusimami katika kipindi cha Uchaguzi!

    Wakuu, Naona ile kauli ya kifo ni kifo inaendelea kufanyiwa kazi kazi ipasavyo na chama kimoja cha siasa hapa nchini. Hawa viongozi wa CCM huwa hawafanyiwagi vetting na kupewa semina on what cha kuzungumza na kwa wakati gani? ====== Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa...
  9. JamiiForums Tanzania Dhana ya Kifo

    Wasalaam. Kifo ni ahadi ya wote. Mhubiri 7:2. Aheri kuiendea nyumba ya matanga,kuliko kuiendea nyumba ya karamu. Kwa maana huo ndio mwisho wa binadamu wote, naye aliyehai atautia moyoni mwake. Walio hai wanajua ipo siku watakufa ila Mungu katupa kitu kusahau. Kifo ni siri kubwa sana katika...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya kifo cha Dr. Ndugulile, kwa sasa Tanzania tusahau kabisa kuupata tena ukuu wa WHO ukanda wa Afrika, haiwezekani!

    Ushabiki, ujinga na uchawa umejaa miongoni mwa watanzania wengi huku tukidhani dunia inakwenda kwa style hiyo. Kelele za watu kuanza kupendekeza majina ya watanzania wanaofaa kwenda kugombea tena huko WHO baada ya kifo cha Dr. Faustine Ndugulile zimeshika kasi, na serikali nayo ikaja na kauli...
  11. JamiiForums Tanzania Mtu akifa anaenda wapi?

    HABARI YA PASAKA JF,Je Ulishawahi Kujiuliza Unaenda Wapi Ukisha kufa? Fuatana na Mimi Asubuhi Upate Elimu. MTU AKIFA ANAENDA WAPI? Mwili hushushwa ardhini baada ya pumzi kurudi kwa muumba,yaani baada ya nafsi kufa! Kifo kinauma sana,na ukizingatia wengi hatujui nini kinafuatia baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mficha maradhi kifo humuumbua, naomba ajria

    Habari zenu humu Wana jf , naombeni mnisaidie connection ya kazi Nina degree ya mechanical engineering, nimetoka mkoani nimekuja dar kutafuta kazi, Nina familia ,imebidi niiache nije kupambana huku, nakosa hata nauli,nakosa kula ,msaada wenu wa Jf ,Sina pakukimbilia zaidi ya humu Msaada wenu...
  13. JamiiForums Tanzania Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

    Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Lymo nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer Institute na kabla sijakimbilia Ottawa, Canada na kuachana na Utumishi wa Umma. Faustine kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa zamani wa benki ya China ahukumiwa kifo

    Mwenyekiti wa zamani wa Benki ya China, Liu Liange amehukumiwa kifo kwa kupokea hongo ya dola milioni 16.8 (TZS bilioni 44.4) pamoja na makosa mengine ya ufisadi na utoaji wa mikopo kinyume cha sheria. Mahakama ya China imeamuru mali zote binafsi za Liu zitaifishwe na mapato yake yote...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Manyoni: Jeshi la Polisi linamshikilia Askari aliyesababisha kifo cha mgombea wa CHADEMA

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia Askari mmoja wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwananchi mmoja tukio ambalo lilitokea Novemba 26,2024 majira ya saa 5:00 usiku huko katika Kitongoji cha Stendi, kata ya Mkwese Wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Khamenei asema Netanyahu anastahili adhabu ya kifo na siyo kukamatwa

    Iran’s Khamenei says death sentence should be issued for Netanyahu, not arrest warrant A handout picture provided by the office of Iran's supreme leader Ayatollah Ali Khamenei shows him addressing the crowd during a meeting with members of the Basij paramilitary force in Tehran on November 25...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kweli mtu mwenye chuma mwilini akifariki chuma hutolewa kabla ya kuzikwa?

    Kumekuwa na maneno kuwa mtu aliyevunjika labda mbavu, mguu au nyonga akipelekwa hospitali labda akaongezewa kiungo cha chuma kumsaidia kundelea kutembea kama alivyokuwa, ni kweli akifariki dunia kile chuma huondolewa kabla ya kuzikwa?
  18. JamiiForums Tanzania Khamis Luwongo: Niliwadanganya polisi kifo cha mke wangu, niachieni nikamtafute yupo hai

    Bado huyu jamaa ambaye anasota na kesi ya mauwaji ya mke wake. Lakini kila wakati ananiacha mdowo wazi na maswali mengi kwa namna anavyojibu na kuikwepa kesi yake hii. Leo kasema mengine Alidai kuwa mawakili wa serikali wanataka ahukumiwe kunyongwa, akihoji "vipi nikihukumiwa kunyongwa halafu...
  19. JamiiForums Tanzania Mficha maradhi kifo humuumbua!

    Habari za wakati huu... Mimi ni binti wa miaka 25 mwenye uhitaji wa kazi. Mimi nina shahada ya uchumi sera na mipango kutoka chuo cha Mzumbe. Niko hapa kuwaomba msaada wa kupata kazi yoyote ya halali, na hizi ni baadhi ya kazi nilizofanya na nina uzoefu nazo, Business operation lead, Hapa...
  20. JamiiForums Tanzania Natural death ni uzee na kuugua tu vifo vingine tumevitengeneza binadamu

    Wakuu habari zenu Leo Niko hapa kuongelea kuhusu natural death VIFO ambavyo binadamu tulipaswa tufe ni kutokana na kuuzeeka au magonjwa Ila aina zingine za Vifo zinaletwa na ujuaji wetu Ujanja Ujanja wa ku innovate vitu Kwa kusingizia maendeleo ya science and technology Assume Dunia bila gari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…