Nataka kushiriki uzoefu wangu kama somo kwa wengine. Nilicheza mchezo wa Aviator, ambao walisema ni 'provably fair', lakini kwa kweli nilipoteza hela nyingi sana. Mchezo huu uliharibu hali yangu ya kifedha na kuniacha na pressure kubwa ya akili.
Zaidi ya hasara ya pesa, niliona pia jinsi...
Taarifa za kifedha barani Afrika.
Mfumuko wa Bei Washuka, Lakini Hatari Mpya Zaongezeka
🎯Ongezeko la mzozo wa Mashariki ya Kati limesababisha bei ya mafuta duniani kufikia $90 kwa pipa, kiwango cha juu zaidi katika kipindi cha miaka miwili.
Hali hii inatishia kudhoofisha kasi ya kushuka kwa...
SIRI YA MAFANIKIO YA KIFEDHA.
🎯Uhusiano kati ya Kipato na Uwekezaji
"Income starts wealth. Investing completes it."
Kipato kama mshahara au faida ya biashara ni mbegu tu,huwezi kuwa na shamba bila mbegu.
Lakini ukiila mbegu yote, hutakuwa na mavuno ya baadaye.
Uwekezaji ndio unaofanya ile mbegu...
Habari wanaJF,
Hebu niulize swali la msingi kwa wamiiki wa biashara👇
Ukiwa nyumbani, safarini au nje ya nchi—unaweza kuona hali halisi ya biashara yako sasa hivi?
Kama jibu ni hapana, basi biashara yako inaendeshwa kwa bahati, sio kwa taarifa.
Kuna ukweli mchungu ambao wafanyabiashara wengi...
Siyo lazima Kila kitu kianzishwe na wazungu tu la hasha hata sisi tunaweza kukianzisha na Bado kikawa sawa.
Chukulia mfano hizi taasisi za kifedha tunazichangia Kila siku iendayo Kwa Mungu mapesa mengi.
Lakini ajabu hawarudishi fadhira Kwa wateja wao.
Mfano Taasisi kama Crdb,Nmb,NBC, Dtb nk...
Kitabu Rich Dad Poor Dad cha Robert Kiyosaki kinatoa masomo kadhaa ya msingi kuhusu pesa, uwekezaji, na mtazamo. Yafuatayo ni mambo makuu kumi tunayojifunza kutokana na kitabu hicho:
---
1. Matajiri Hawafanyi Kazi kwa Ajili ya Pesa
Maelezo: Baba maskini anafundisha kufanya kazi kwa ajili ya...
Kuna jambo nimeona kwenye kutumia huduma za fedha mtandao (Yas, kwa case yangu) likanitatiza. Wakati nikifanya malipo ya serikali kutumia app yao, sikuwa na namna ya kuingiza senti kuendana na nilichokua nalipia. Badala yake, mfumo ukafanya ukadiriaji wa juu (rounding up) na kunilazimu kulipia...
Uhusiano na Msaada wa Kifedha Kutoka kwa “Sponsa” — Ushauri Wenu
Body ya thread:
Siku moja kijana akiwa na simu ya mpenzi wake, akaona meseji zinazomuonyesha msichana akichat na mwanaume mwingine. Baada ya kumuuliza, msichana alikiri kuwa huyo mwanaume ni “sponsa” anayemlipia ada ya chuo na...
Moja kwa moja kwenye mada.
Leo ni mapumziko nikaamua kuzurula kwenye akaunti yangu ya ESS(Watumishi Portal).
Kilichonishtua hadi kuandika mada hii ni kitu kinaitwa "Processing Fee" baada ya kuona ni Tsh871,053.93/= wakati mkopo unaombwa kwenye mfumo.
Na gharama zingine kama bima ni kubwa...
■ Faida baada ya kodi (Q2 2025): TZS 346 Bilioni, ikilinganishwa na TZS 275 Bilioni kwa Q2 2024.
📈 Imeongezeka kwa 26% – hii inaonyesha ukuaji mzuri wa faida ya kampuni.
■ Interest Income (Mapato yanayotakana na riba za mikopo) Yameongezeka hadi TZS 904 Bilioni kwa nusu ya mwaka (Jan-Jun 2025)...
Club ya Simba imeingia mikataba mingi tena minono ya mabillioni toka kampuni tofauti ambayo baadhi ya mikataba iko wazi na mingine sio wazi. Apo chini tuone mikataba na thamani zake.
BETWAY:- 20 billion kwa miaka 3
JAYRUTY:- 36 billion
MO foundation:- Sio wazi
MO energy:- Sio wazi
MO cola:-...
Sakata la Bodi ya Ithibati limezua janga na wengi wa watangazaji wamekwama kuendelea na shughuli za utangazaji kwani tasnia hiyo yahitaji uwe na cheti cha ngazi ya Diploma.
Lakini nina ushauri kwa watangazaji wengi ambao wana shahada yoyote ya kwanza kwamba wana uwezo wa kusoma shahada ya...
Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, huduma za kifedha kupitia simu za mkononi zimekuwa mkombozi mkubwa kwa watu wengi. Applikesheni kama M-Pesa zimeleta urahisi wa kufanya miamala, kulipia bili, kutuma na kupokea pesa, kwa haraka na salama — angalau ndivyo inavyotarajiwa. Hata hivyo, kuna...
Kukosa ajira au kazi maalumu, matatizo ya kimahusiano na ya kifamilia ni hali ambazo mara nyingi huambatana na maumivu ya kihisia, kukata tamaa na msongo wa mawazo.
Hata humu ndani ya huu mtandao kuna baadhi ya Members wamekuwa ni wababe, wajeuri na hufikia hatua ya kutoa lugha chafu zisizo na...
Habr wanajukwaa, napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa kampuni ya TiGo sasa yas by Mix. Nimekuwa mteja wa kampuni hii since 2006, sijawahi kupata usumbufu kama huu nilioupata jana baada ya kutuma hela kwenda airtel. Muamala mpaka sasa hivi haujamfikia mlengwa na ni mtu ana shida ya...
Imeandaliwa na Smart Finance SW
Nimekuwa nikifuatilia ushauri wa watu mbali mbali kwenye hii platform na platform zengine huko zinazohusiana na mswala ya fedha. Nilichogundua watu wengi au washauri wengi wanapenda sana kutumia nyakati zilizopita wanapotoa ushauri au kuelezea juu ya fursa...
Kutoka kwa Dr. Simon Paul Gidufanaa
"Yanga SC wanasema wao ndiyo wanaidai TFF TSH 226 MILLION
BAHATI MBAYA SANA kwenye hizo Hesabu hapo Yanga SC wamesema Ubingwa wa CRDB Confederation Cup Msimu wa 2023/2024 ni 200 MILLION kitu ambacho SI KWELI.
Ubingwa wa Kombe la Shirikisho ni 50M Miaka yote...
Laini za uwakala wa miala ya kifedha zinauzwa, Mbeya mjini. Hallopesa,Mpesa,Yas,Airtel money. Bei Tshs 400,000/= Bei inazungumzika. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
NB: Maada hii ipo kwa kutoa elimu ya kifedha, ndoa imetumika kama tukio maarufu la kutoa elimu, Jux na mke wake wawe na ndoa njema,
Kibunda chenye noti 500 huku kwetu ukijaza misimbazi kina thamani ya shilingi milioni 5, kule Nigeria ukijaza Noti zao unapata jumla ya Naira laki 5 (₦ 500,000)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.