kienyeji

  1. Mshana Jr

    Jinsi Nilivyomtapeli Mganga wa Kienyeji: Simulizi ya "Mjanja Aliyekutana na Mwerevu"

    Watu wengi husema mganga wa kienyeji ni mtu wa kuogopwa. Wanasema ana macho yanayoona mbali na majini yanayompa taarifa za kila anayemtembelea. Lakini siku hiyo, niliamua kuthibitisha kuwa hata "nguvu za giza" hupigwa na giza la njaa na tamaa. Mtego wa Kisaikolojia Mganga huyu, ( jina kapuni")...
  2. zachariano alexido

    Usimuwekee dawa ya kienyeji kwa siri mtu bila kuijua zaidi hiyo dawa, ndo chanzo cha yule dada kumuua mumewe

    Baada ya kuingia mitamboni kusaka habari kuhusu yule bwana alie zikwa na mkewe nyuma ya nyumba. Walikua wanatatizo la kuto pata mtoto kwa muda mrefu. Huyo dada inawezekana alimuwekea dawa ya KIENYEJI MUMEWE kwa kesi hiyo ili wapate mtoto. Inawezekana huyo dada hakujua kama hiyo dawa ni sumu...
  3. Chance ndoto

    Kwanini Tanzania ndiyo nchi rahisi zaidi duniani kwa mgeni kuishi kienyeji bila vibali na asichukuliwe hatua yoyote?

    Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha: Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na...
  4. alsam

    Kuku wakubwa wa kienyeji

    Habarini wadau Je kuku wakubwa km jogoo au koounaweza kumpa change zote na kweli ikawa tiba ama kinga kwa Magonjwa. Maana nina mpango wa kununua makoo mengi ili niwafanye kwa ajili ya kuuza mayai tu tray moja ni 15K. Sasa nimepiga hesabu naona kunua makoo ni rahisi kwa mazingira niliopo...
  5. Frank Mazagazaga

    Ndani ya Incubator za home made (kienyeji) Kuna Siri Ambayo Huamua Mafanikio au Hasara

    Kwa mfugaji mmoja mdogo, kifaa kimoja kilimuokoa kati ya hasara nakuleta matumaini. Andiko hili linahusu kitu ambacho wafugaji wengi hukipuuza mwanzoni — udhibiti sahihi wa joto na unyevunyevu. Kitu kinachoonekana cha kawaida, lakini madhara yake ni makubwa sana. Kuna mfugaji mmoja, alikuwa...
  6. I

    Kilo 1 ya Nyama ya kuku Chotara au Kienyeji Buchani ni bei gani?

    Naomba kwa wazoefu wa mikoa ya Dar, Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya mnipe uzoefu wenu. Wafugaji wengi wa kuku wanauza kuku kwa mazoea sana, mnunuzi anakuja anamshika anamtikisa kidogo hivi anakadiria uzito alafu mnaanza kubishana bei. Ila naona huu ni wizi wa hali ya juu. Naomba nipate uzoefu...
  7. and 998 others

    Balozi Polepole & MC Pilipili wamepotezwa kama 'Kuku wa Kienyeji'

    Hawa jamaa kufumba na kufumba hatutawasikia tena maishani. Hakika hizo ndio Shoti. Jichanganye upasuliwe
  8. Moto wa volcano

    Ni nani anasema kwenda kwa mganga wa kienyeji ni dhambi !? Huo ni upotoshaji

    Kuna mafundisho ktk dini zetu hizi haswa walokole wanawapoteza watu , sioni kama kuna tatizo kwa mtu ambaye ana matatizo ya kiafya kwenda kutafuta tiba kwa waganga wa kienyeji hakuna ubaya wowote wala dhambi. Tiba za kienyeji ni uumbaji wa Mungu kuwasaidia watu kuondokana na maradhi mbali...
  9. ELI COHEN

    Ipi sababu ya ongezeko la vijana kuvamia pombe kali za kienyeji kwa kwa wingi mnoo?

    Kuna wakati tuliona wazee ndio wanaozifata hizi pombe za kienyeji Utaita gongo, chang'aa , etc Ukata? Ulevi usio na mipaka? Trend? Msongo? What happened?
  10. B

    Bucha la nyama ya mbuzi vs bucha la nyama ya kuku wa kienyeji

    Habari wakuu Naomba uzoefu...Niko na mawazo haya mawili bucha la nyama ya mbuzi au bucha la nyama ya kuku wa kienyeji biashara ipi italipa location ni dar
  11. Top Gun

    Wakuu nisaidie tiba ya kienyeji za sikio kuziba , dawa za kizungu zimedoda

    Nasikia presha kwenye sikio, kelele sikioni na pia kama niko majj hivi, hali ya sikio kuwa kama kuba kitu kimeziba. Nisaidieni wakuj
  12. Mr Beach Boy

    Kwa wataalaamu wa ufugaji, Banda hili linaweza kuleta tija kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara?

    Kwa kuanza na kuku kumi wa kienyeji Banda hili linaweza kuleta tija kwa ufugaji wa kuku wa kienyeji?
  13. GENTAMYCINE

    Hali hii ikikutokea jua kwa Mungu hutakiwi na hata kwa Waganga wa Kienyeji pia hutakiwi kwani ni dalili kuwa wote mna Nuksi ya Karne ya Kifamilia

    TABORA: Aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameshindwa katika mchakato wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi...
  14. T

    UZI MAALUMU KWA WALE TULIOWAHI KWENDA KWA WAGANGA WA KIENYEJI

    Je, wewe ulishawahi kwenda kwa waganga wa jadi?. Tupe baadhi ya visa ulivyokutana navyo huko kwa mganga/waganga wa jadi. Karibuni
  15. B

    Wapenzi wa nyama ya kuku inabidi tuanze kufuga wenyewe

    Siku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha. Kila kitu kimemuwa fake. Hata hawa wanao itwa Kuku wa kienyeji wana uzwa kwenye mabar wengi ni " Chotara"ambao nao pia watakuwa na madhara kama wa kizungu...
  16. youngkato

    Je kuku wamegoma kutaga? Yai la kienyeji 900/=

    Hii bei inatisha, na ukifuga kuku wa kienyeji hawatagi kabisa siku hizi
  17. iPhone 6

    NANUNUA KUKU WA KIENYEJI

    📢 TANGAZO LA UNUNUZI WA KUKU WA KIENYEJI 🐔 Ninatafuta kuku 30 wa kienyeji kwa ajili ya matumizi ya haraka. 💰 Bei: Tsh 11,000 kwa kila kuku 📍 Eneo: Dar es Salaam ⏱️ Nahitaji haraka iwezekanavyo! Ikiwa unauza kuku wa kienyeji au unamjua anayewauza, tafadhali wasiliana nami mara moja! 📞...
  18. Powell Gonzalez

    Natafuta mutoto moja swafi, kienyeji msafi tukakule maisha mwishoni mwa wiki hii

    Eh bana eh muhindi amekubali kutoa pesa jana, no risk no story. Japo si pesa mingi lakini inatosha kutumbua maisha na musichana moja ya kienyeji. Burudani tutalianza ijumaa jioni mpaka jumapili alfajiri. Vigezo: uwe dar es salaam, uwe mtoto wa kienyeji sitaki slay queen. Amount to be spent in...
  19. Waufukweni

    SACP. Safia Jongo aonya Waganga wa Kienyeji wanaowarubuni Wanawake za Watu na kuwarekodi wakifanya Zinaa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita , SACP. Safia Jongo amewaonya baadhi ya Waganga wa kienyeji ambao wamekuwa wakituhumiwa kuwatibu Wanawake kwa kuwarubuni na kufanya nao zinaa huku wakiwarekodi na kuwatishia kuziachia video hizo endapo wataachana, jambo ambalo ni kosa kwa mujibu wa sheria. Hayo...
  20. Just Pray

    PreGE2025 Singida yaanda kuku choma wa kienyeji kulisha wageni zaidi ya 6000 kuelekea Mei Mosi

    Katika kuelekea kwenye sherehe za Mei Mosi, Kitaifa mkoani Singida, pamoja na mambo mengine wiki moja kabla ya maadhimisho, mkoa umewahakikishia wageni zaidi ya 6000 kutoka ndani na nje ya nchi pamoja na wakazi wa Singida, kutakuwepo kiburudisho cha kuku choma wa kienyeji zaidi ya tani moja na...
Back
Top Bottom