kidogo

The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

    Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia macho masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo

    Tujikumbushe: Mwaka 2008 Wasabato Masalia walitinga Airport Dar wakitaka kwenda ng'ambo wakaeneze injili bila kuwa na documents yoyote kama visa, passport, tiketi nk 😂😂😂 Nchi hii imepitia mengi sana aisee.
  3. JamiiForums Tanzania Nipe like kidogo kwa ushairi huu

    Ukweli ni kwamba waomba ajira ndo wengi juu, Kuliko wanaopambana ili wajiajiri tu! Unaweza miliki pesa ukakosa uhuru juu, tambua huru ndo UTAJIRI pekee huku juu. Mtu akishapata nafasi uku juu, ujikuta anajipa ukuu, atambui atabaki mmoja tu, Na ndo mwenye hukumu na uwezo wa hali ya juu. Mungu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Nyerere alishashauri elimu sio kitu cha kujigambia hata kidogo

    Alisema ni sawa na kujigamba una Afya. Maendeleo ndiyo kitu cha kujigambia
  5. JamiiForums Tanzania Nataraji kwenda nje ya nchi kwa mapumziko kidogo, nimechagua kwenda London

    Mimi nafanya kazi wizara x kama head of department ya kitengo fulani kwahiyo kutokana na achievement yangu ambayo nimeipata kama hapa karibuni kuna wizarani ambayo inasisifiwa sana basi ujue ni mimi huyo aisee kwahiyo nimeambiwa nichague kati ya London au New York niende wapi? Ila mimi akili...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kitu kidogo tu, Mke analipuka zaidi ya Bomu!

    Nimeoa miaka kadhaa iliyopita. Sasa unaweza ukawa unauliza kitu simple tu kwa wife (mfano ikiwa kakuandalia nguo za safari, Kama ameweza kwenda kufuatilia ulichomuagiza asubuhi). Aisee yatamtoka maneno Hadi unajuta kuuliza hata Kwa nini ulioa. NB: vijana chukueni tahadhari msije kukumbatia...
  7. JamiiForums Tanzania Inakuwaje kamanda mkuu wa kijeshi Urusi anakuwa chini ya Wagner Group, kikundi kidogo cha kukodi?

    Wakuu habari za muda, Nimeshangazwa sana kuona sasa kamanda mkuu wa majeshi ya Urusi sasa anapokea amri kutoka kwa kamanda wa kikundi kidogo cha Wagner Group amacho sio jeshi rasmi ni kikundi maalum cha kukodi baada ya makamanda wengi wa Urusi kufeli na kuuliwa kwenye makabiliano ya vita kule...
  8. JamiiForums Tanzania Kushabikia Mpira wa Tanzania Inatakiwa Uwe Mjinga kidogo

    Habari wanajukwaa. Nataka niseme hiki kitu leo sitaki kuonekana kama natukana watu la hasha ila leo wacha niseme kitu. Kwa mda Mrefu nimekua naona mambo yanayoendelea kwenye ushabiki wa Mpira wa Bongo hakika yana sikitisha mpaka nikafikia hatua ya kusema hii kauli kua KUSHABIKIA MPIRA WA BONGO...
  9. JamiiForums Tanzania Ni nani aliyekuja kutupa formula, ukiwa na mafanikio kidogo, unatakiwa uzae watoto wawili au mmoja?

    Kumekuwa na tatizo la watu kutozaa watoto wengi kama zamani; kisingizio kikiwa ni ugumu wa maisha au kuonyesha kuwa wamestaarabika. Hii imepelekea baadhi ya wazee wengi kuishi pekee yao, pamoja na kuwaongezea misongo ya mawazo; ikiwa ni pamoja na kujutia kwa nini katika ujana wao walizaa watoto...
  10. JamiiForums Tanzania Hatimaye nimeondoka rasmi nyumbani

    h
  11. JamiiForums Tanzania Itakusaidia kidogo

    Kunywa maji ya mtoni pale ambapo Farasi anakunywa. Farasi hawezi kunywa maji machafu. Weka kitanda chako mahali ambapo paka hupenda kulala. Kula tunda ambalo limeguswa na mdudu au mnyoo. Chuma Uyoga ambao wadudu huufata. Panda mti mahali ambapo Panya wamechimba. Wakati wa kusafisha kiwanja...
  12. JamiiForums Tanzania Siku Nilipoiona Simu Kwa Mara ya Kwanza Odeon Cinema 1955 au 1956 au Nyuma ya Hapo Kidogo Sijavuka Miaka 4

    SIKU NILIYOIONA SIMU KWA MARA YA KWANZA ODEON CINEMA 1955 AU 56 AU NYUMA YA HAPO KIDOGO SIJAVUKA UMRI WA MIAKA MINNE Nakumbuka kama jana vile. Nilikuwa mgonjwa na baba yangu mdogo Mzee Issa akanichukua kunipeleka hospitali. Ilikuwa usiku lakini si usiku mkubwa kiasi cha saa moja hivi. Nina...
  13. JamiiForums Tanzania Tuliowahi kusoma Green Acres ya Mbezi tujikumbushe kidogo

    Je, bossies nani alikutana na vurugumai ya Buju? Yule headmaster anayevuta bangi alikuwa anaitwa nani? ~ Je, mshana na wenzie wapo? ~ Nani alipigwa mijeledi na yule Jamaa Buju?? ~ Je, mnamkumbuka yule mtoto wake Jackline?
  14. JamiiForums Tanzania Mnaofuga Paka jitahidini basi kuwafundisha Adabu kidogo pale Nyumba zenu zikitembelewa na Sisi Wageni

    Kwanza niwe muwazi ( nikiri ) kuwa GENTAMYCINE napenda sana Paka na ninae Mmoja namfuga na ukitaka Ugombane nami mguse ndipo utajua kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa hauna Kolabo. Hata hivyo sipendi Paka ambao Wanafugwa na wenye Nyumba ila hawana Adabu pindi Nyumba husika ikitembelewa...
  15. JamiiForums Tanzania Dj AllyB a.k.a Profesa.... Nasemajee.... Maneno Kidogo Pesa Mingi.

    Mzee wa Nasemajeeee... Mizuka ya huyu mwamba ni next level.. Ndiyo Dj anayetrend zaidi kwa sasa kutokana na style yake ya kupiga miluzi mingi pindi anaposherehesha. Hajaajiriwa na kituo chochote cha radio au tv, bali anapiga mixing kali kwenye kumbi mbalimbali za starehe na burudani hasa hasa...
  16. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani mtu mzima (Mwanaume) anaweza ingia katika chumba Cha Makahaba na jinsi kilivyo kichafu na kidogo?

    Nipo Tandika hapa , nawaona wadada wale wa kutoka mkoa x wakiwa wamekaa kwa vigoda huku wakiwasubiria wateja . Je wanaume wanaingiaje katika mazingira machafu na harufu kali . Nilichogundua sisi watawa tupo sahihi kukaa mbali na Uzinzi (ngono) maana ni zaidi Uchafu wenyewe
  17. JamiiForums Tanzania Ikinyesha kidogo tu tayari andika Maumivu kwenye visimbuzi

    Inakuaje hawa Azam Decoder? Yaani tuma nyunyu tu TV ina stuck. Sasa si wangesema mapema kuwa hizi decoders zao zinatumika wakati wa jua tu masika tufanye utaratibu mwingine?
  18. JamiiForums Tanzania Nimpongeze MO hadharani na kumkosoa kidogo

    Habari Wana jukwaa. Nitaandika kwa KIFUPI Mno. NIMPONGEZE muwekezaji Mohamed Gulam DEWJI kwa kuipeleka timu Dubai kwa maandalizi ya MICHEZO ya KLABU BINGWA na kujiweka tayari kwa LIGI KUU. Mchezaji Bora wa Simba kwa Miaka MIWILI Baada ya kuondoka Chama ni Henock Inonga. Inonga Amepata Jerahi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania 750k(take home) ni mshahara unaweza kumfanya mtu aishi kidogo bila wasi hapa Bongo?

    Wakuu nilikuwa nauliza tu kama 750k ni takehome inayoweza kumfanya mtu aishi kidogo standard life. Maana usikute nadharau kumbe naweza kufanya kitu.
  20. JamiiForums Tanzania Urusi walaumu Ukraine kwa kuendeleza mapigo hata walipoomba wasitishe kidogo kupisha Krisimasi

    Haingii akilini, umevamia nchi ya watu na kuanza kuiba ardhi halafu unaomba wasitishe kukupiga ili upate fursa ya kusheherekea krisimasi yako..... Aunilateral ceasefire called by Russia appears to have had little effect on fighting on the ground, with officials accusing each other of opening...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…