kidogo

The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hili jina la Tigo kuwa Yas limenishangaza kidogo

    The term "Yass" (or "Yaaas") is a slang expression used to convey excitement, approval, or strong agreement. It is often drawn out to emphasize enthusiasm, such as "Yaaas, queen!" Origin: The term gained popularity within LGBTQ+ ( L - Wasagaji (Lesbian): Wanawake wanaovutiwa kimapenzi au...
  2. JamiiForums Tanzania Hitimisho la Uchunguzi: Jiografia kama Sababu Kuu ya Kudumaa kwa Maendeleo ya Afrika (tumtue kidogo mkoloni mzigo wa lawama)

    Kwa yoyote ambaye amekuwa akifuatilia makala zangu za hivi karibuni, bila shaka ameona kwamba nimekuwa na mtazamo tofauti kuhusu sababu za kudumaa kwa maendeleo ya bara letu. Ingawa ukoloni mara nyingi hupewa lawama kubwa, uchambuzi yakinifu wa kihistoria na kijamii unaonyesha kwamba hata bila...
  3. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zanzibar hakuna Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, tupeane elimu kidogo kuhusu Chaguzi

    Hivi karibuni huko Tanzania Bara kumekuwa na mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo leo Novemba 27, 2024 Wananchi wanapiga kura. Mimi kama mdau wa siasa na mifumo ya Uchaguzi Zanzibar nimekuwa nikipokea maswali mengi kuhusu kwanini Zanzibar kumekuwa hamna shamrashamra za Uchaguzi kama...
  4. JamiiForums Tanzania Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

    Salaam wana fikra pevu. Je, unaweza kueleza ni eneo gani ulikutana na mwenza wako kwa mara ya kwanza, pia je ni kweli kwamba tabia na mwenendo wa mwenza (mke/mume) hutegemea zaidi na sehemu (mf. Kanisani, sokon, baa...etc) mlipokutana kabla ya kuanzisha mahusiano? Mwisho kabisa, ni sehemu...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukimtumia mwanamke wako hela akahoji kua ni kidogo pasi na kushukuru rudisha huo muhamala mtumie mama yako

    Ndugu zangu salaam sana Katika harakati za dunia tunafahamu fika jukumu la mwanaume ni kutawala, kutunza na kuongoza kile kilicho mali yake ikiwemo mwanamke wake Kupitia jukumu hili kubwa wanaume tulilopewa wanawake wamegeuka kuwa chuma ulete na wanyonyaji kupita kiasi kwa wanaume kwa kivuli...
  6. JamiiForums Tanzania Diaspora Wetu Wanafanya Nini cha Kuonekanika Huko Ughaibuni?. Diaspora Mliofanikiwa, Onekanikeni Kupitia TAK na Rudisheni Tanzania Japo Kidogo!

    Wanabodi, Bado niko hapa nchini Marekani kwa ziara binafsi, nimejitahidi kujichanganya na baadhi ya wana diaspora wa Tanzania walioko nchini Marekani, na kujiuliza jee wana Dispora wetu, wanafanya nini cha kueleweka na cha kuonekanika?. Nimejitahidi kuwasiliana na kile chama cha DICOTA...
  7. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Arumeru manyunyu kidogo tu ya usiku umeme umezimika mpaka sahizi?

    Hapa wilayani Arumeru usiku wa kuamkia leo yalipita manyunyu kidogo sana ya mvua, ajabu umeme umekatika kuanzia usiku mpaka sahizi hautarudi. Huu mfumo wa umeme una nini. Je ingetokea dhoruba kubwa tungejificha wapi, tunaishi maisha ya kubahatisha sana, mfumo wa umeme wa TANESCO umeoza, na...
  8. JamiiForums Tanzania Nandy kidogo ampasue Harmonize Kizazi

    Nandy kidogo ampasue Harmonize Kizazi😂😂
  9. M

    JamiiForums Tanzania Usipuuze Historia yake wengine bado wako vile vile bali, ni changamoto tu ndio zimefanya wapoe kidogo

    Usifanye kosa la kupuuza historia yake kwa muonekano wake mpya wa leo, wengine ni maji tu yaliyopoa yamerudi ubaridi ila kwenye moto yatarudia hali yake ya umoto. Usijifanye kipofu kupuuza historia yake bali hakikisha kuwa unajua kipi kilikuwa nyuma ya historia yake hiyo na je kuna namna ya...
  10. G

    JamiiForums Tanzania "Kumradhi! Kuna changamoto kidogo" zimekuwa nyingi sana

    Oops !!
  11. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA American fridge, good condition inatumia umeme kidogo bei 1.6m

  12. JamiiForums Tanzania Leo nimejaribu kusoma Biblia japo kidogo tu ila nahisi kuchanganyikiwa

    Nimeanza na kitabu cha waebrania sura ya Kwanza mstari wa kwanza hadi wa 14. Kusema kweli sijaelewa Jinsi Mungu na Mwanae walivyojipambanua. Aliyeelewa naomba Ufafanuzi wa kina.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mchokoze kidogo mpaka akasirike ili ujue hekima yake ikoje

    MCHOKOZE KIDOGO MPAKA AKASIRIKE ILI UJUE HEKIMA YAKE IKOJE 😊 Moja ya mbinu nzuri ya ki intelejensia ya kuijua hekima ya mtu ni kumchokoza makusudi mpaka akasirike 😊 Usiogope maamuzi yake yatakuaje ila fanya hivyo ili kumjua yeye ni wa namna gani. ILI KUTUMIA MBINU HII HAKIKISHA YAFUATAYO ILI...
  14. JamiiForums Tanzania Principle: Fanya kitu kidogo kwa ukubwa

    Kama una biashara ndogo, na ukaifanya kwa ukubwa itakulipa. Kama una biashara ya kuchoma na kuuza mahindi, unatakiwa uongeze ukubwa kwa kuongeza kijiwe kingine na si kukiboresha kile cha mwanzo. Kama ulikuwa na bucha, hakuna haja ya kuiboresha ile bucha,bali fungua nyingine uendelee kuuza n.k...
  15. JamiiForums Tanzania Kujihisi kushiba muda wote baada ya kula kidogo

    Nimekumbwa na tatizo la kujihisi nimeshiba baada ya kula chakula. Nikinywa chai asubuhi utafika usiku bika kuhisi njaa wala kutamani chakula. Sisikii maumivu yoyote na napata choo kama kawaida. Walaam Tatizo laweza kuwa ni nini
  16. JamiiForums Tanzania Press ya Wazee wa Simba Imeniumiza sana kama Taifa tuna safari ndefu

    Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa. Juzijuzi yameitishwa Maandamano hakuna alietokeo Maandamano ambayo Lengo kubwa lilikua ustawi wa watu ambao ni Watanzania. Leo hii Team imefungwa imeitisha press na inatoa Tamko😂😂 wakaongeza Kuna watu walikua wamekasirika wanataka kuandamana kisa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo na kauli na majibu tata kwenye utawala wa Magufuli

    Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alijulikana kwa majibu yake ya moja kwa moja na mara nyingi yenye utata alipokuwa anaulizwa maswali na waandishi wa habari au umma. Hapa ni baadhi ya mifano ya majibu yake kwenye maswali yaliyomuulizwa wakati wa utawala wake: 1. Kuhusu Uchumi na...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo na kauli na majibu tata kwenye utawala wa Magufuli

    Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alijulikana kwa majibu yake ya moja kwa moja na mara nyingi yenye utata alipokuwa anaulizwa maswali na waandishi wa habari au umma. Hapa ni baadhi ya mifano ya majibu yake kwenye maswali yaliyomuulizwa wakati wa utawala wake: 1. Kuhusu Uchumi na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ndungai ulipaswa kuwa kama Gachagua, Naibu Rais wa Kenya , unaondolewa kibishi sio kuwahi kujiuzulu baada ya kupigwa mkwara kidogo

    Ndugai pamoja na kuwa mwamba kwa wapinzani ulishindwa kudinda kama Gachagua ,hata kama ataondolewa kwa masanet kupiga kura lakini ameonyaesha ukomavu kama mwanasiasa Ndugai uliogopa nini mzee wangu ? Mbona haukuonyesha ubabe hata kidogo jinsi ulivyokuwa unawaonyesha wapinzani ?, ili wasumbuke...
  20. JamiiForums Tanzania Sheikh akataa kusomea dua waumini wenye sadaka kidogo!

    Huyu sheikh anasema dua inatumia nguvu kubwa hivyo inahitaji muumini wa dini kuweka pesa nzuri kupata dua nzuri
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…