Kauli yako inali-cost taifa, kila nchi inafanyia review uhusiano wetu, walianza USA, EU, Sweden leo Canada hatujui nani watafuata, soon athari zake tutaziona kwenye uchumi.
Maadui tulionao, ujinga, maradhi, umasikini, siasa safi na CCM, wanatutosha, kauli zako zisituongezee maadui wengine...