kichwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Muhaho wa Samia: alitaja taasisi zote zitakazomtembeza na viatu kichwani akashindwa kuitaja ICC

    Wote mmemsikia na mmemuona hata alivyokuwa akizungumza huku hawezi hata kuwatazama wajumbe wake wa tume yake ya mchongo. Soni kama yote na huku alijikuta yeye mwamba kuua watoto wadogo katika namna ya kihalifu kabisa. Yan huyu ni mhalifu sugu. Na mimi swali moja najiuliza kwanini alilenga kuua...
  2. JamiiForums Tanzania Ila Mange Kimambi amewaona Wabongo kama hamnazo kichwani

    Nature tu wabongo waoga sana . Wengi tunajua hili. Wasingeweza kuandamana ile October 29, 30 na 31. Ila MANGE akawadanganya kuwa jeshi liko tayari kupoka utawala toka mkononi mwa CCM. Ni wananchi tu waanze jeshi limalize. Siku ya tatu baada ya vijana kufa akasema jeshi liko kwenye majadiliano...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Zito ni mzima kweli kichwani?

    Eti ACT ndiyo pekee Inaweza kuleta maandamano. Huyu ni mzima kweli? Awaishwe Milembe
  4. JamiiForums Tanzania Tunapiga kichwani tu

    Hiyo ndio slogan yetu wanayanga
  5. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana na kuonesha hatuna Utu. Majini yametutawala kichwani. Kumuua huyu Dogo?

    Maskini. Wala hakuwa na silaha au kundi la kusema anatishia maisha kiongozi yeyote. Tunamuua kwa sababu za kipuuzi kabisa. Na kunywa damu yake ili kusafisha nyota zetu. Mwangalie hapa anatabasamu.
  6. JamiiForums Tanzania Kumkomboa mtu mweusi, anzia kumkomboa kichwani kwanza

    Inasikitisha sana Nimepita Kawe hapa, aiseee wanachi wanapigwa na jua mpka huruma, na bado wana hongwa baiskeli na nyama za ng'ombe. Ila wanasiasa wanabagaza, na kubananga kodi za wananchi kwa kununua magari makali , na kuishi maisha ya starehe, mbaya zaidi pesa zingine wamezificha huko nchi...
  7. JamiiForums Tanzania Huyu Kagoma alifungwa sal tape kichwani?

    Ni aibu sana. Sal Tape kweli mtu anafungwa kichwani? Wakati wa kumtoa si inaweza toka na ngozi au nywele? Halafu mnakaa kuahidi ujinga badala ya kusaidia team iwe vizuri.
  8. JamiiForums Tanzania Ukiwaza kwa facts utagundua kataa ndoa ni watu smart sana kichwani.

    Let's set feelings aside and go with the facts. Mtu anakwambia anaoa ili apate mtu wa kumsaidia majukumu hii ni hoja ya kiwaki ambayo inajibiwa kwa swali moja tu wote ambao wapo kwenye ndoa wanasaidiwa majukumu? Mwingine anasema anaoa ili apunguze uzinzi huu ni unafiki wa kiwango cha juu watu...
  9. JamiiForums Tanzania Dr Babishomba: mtu akisema hakuna mungu, kuna nati zimelegea kichwani mwake.

    Video Haya karibuni kwa mjadala.
  10. JamiiForums Tanzania Polepole asiendelee kupuuzwa na CCM, nati kichwani mwake zilishafyatuka, atimuliwa kwenye chama haraka

    Huyu Humphrey Polepole ambaye sasa ni mzee wa miaka 55 kuna kitu kwenye akili yake kichwani hakiko sawa. Hata mwonekano wako wa usoni (facial appearance) na mood yake ikilinganishwa na thinking logic capacity ya anayoyaongelea mtu yeyote mwenye werevu wa psychology, psychology and psychiatry...
  11. JamiiForums Tanzania Ukiwa huna hela mipango ya biashara ina click vizuri kichwani

    Ukiwa huna maisha umefulia balance haisomi kila idea unayoipenda ukiifikiria unaipangilia vizuri kabisa Kiasi cha mtaji,gharama za uendeshaji,faida,..imagine niliishiwa hela nikaanza kufikiria biashara ya uji,matunda,genge...na tena kisasa ma innovations kama yote.. Kosa waniingizie mkwanja Tu...
  12. JamiiForums Tanzania Dk Mo yuko sawasawa kichwani?, Anamchafua mwekezaji Mo.

    Dk Mo ana uhakika gani kuwa wanasimba wangapi hawamtaki Mangungu? Mangungu amechaguliwa na Mkutano Mkuu kuwa mwenyekiti, hawezi kuondolewa na Dk mo kihuni kwa makosa ambayo hayana ushahidi. Yaani wajumbe woooote hawana akili kumchagua Mangungu. Kama vile inageuka vita ya kibiashara na GSM...
  13. JamiiForums Tanzania Bora Mtu umalize form four na miaka 30 kama yule jamaa ambaye hazeeki kuliko kununua cheti kwakuwa utakuwa na cheti kizuri ila kichwani hamna kitu.

    Wanasiasa Ambao mnavyeti vyamagumashi kiukweli Mnaonekana kuwa hampo vizuri kiutendaji . Mimi nimeona hilo.
  14. JamiiForums Tanzania Kuna Jamaa humu ukiwasoma kichwani unaona.... Wanafaa kuwa Wabunge tu maana kwa akili zao hamna jambo la maana wanaweza kufanya

    nafasi ambayo ni rahisi sana kuipata kwa sasa na ambayo haina changamoto yoyote kwa kazi zake. mtu yeyote anaweza fanya ni Ubunge kwa sasa. hii ni nafasi ya kutumikia wananchi kirahisi sana ambayo mtu yeyote as long as anajua kusoma na kuandika anaweza igombea na kupata. kuna watu humu ukisoma...
  15. JamiiForums Tanzania Kweli wasanii wa kibongo ni maziro kichwani

    Huyu jamaa anaitwa Ibra,kaenda kenya,badala avae bendera ya nchi yake Tanzania,yeye kavaa bendera ya nchi ya kenya. Hivi anajielewa kweli?
  16. S

    JamiiForums Tanzania Yanga ni kama kitinda mimba mkiwaendekeza watawapanda kichwani; TFF na bodi Msiogope; wasipocheza kateni point sheria itajitetea yenyewe mbeleni

    Yanga ni miongoni mwa timu nzuri Tanzania bara! Lakini uongozi wa Yanga una utoto mwingi sana! Ukipitia historia ya maamuzi ya Yanga hutaacha kuona utoto ndani yake! Hawahawa Yanga WALIKIMBIA CHAMAZI COMPLEX kama uwanja wao wa nyumbani NBC league kwa sababu za kitoto, uwanja ulikuwa mzuri...
  17. JamiiForums Tanzania Just for fun: ni ujinga gani hata ushikiwe bastola kichwani huezi acha kufanya ???

    Mimi nimefeli kuacha kutandika mikeka wazee ... Yan napata hasara Ila nikisipotandika mkeka siwez kula Wala kulala.
  18. JamiiForums Tanzania Dawa au mafuta ya kuondoa nywele kichwani

    Habari za jioni wanajamvi, Naomba niende moja kwa moja kwenye maada. Nina miaka 32, jinsia yang n Me, nimekumbana na changamoto ya kuota kipara mapema sana kuanzia kwenye komwe mpaka kisogoni, kwa bahati mbaya zaidi nywele za pembezoni mwa kichwa zinaota na kustawi haraka sana kila ninaponyoa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mnaodharau single mothers wakati mama yenu ni Single mother mnaemsifu ni shujaa wenu, mna uzima kichwani ?

    Ulizaliwa na mama yako akiwa hajaolewa na pengine akaja kuolewa na mwanaume mwengine tofauti na baba yako, mwanamke huyu unamsifu. Lakini hapo hapo unawadharau single mothers kwamba hawafai. Hii tunaiitaje ? Pia kwa upande mwengine kuna single mothers wanatamani kuolewa lakini wao hawataki...
  20. JamiiForums Tanzania Espionage: Jasusi anapopokonywa Data zake kichwani akiwa amelala huku akijihisi km yupo Macho kumbe yupo usingizini?

    Nauliza tu hivi umeshawahi kulala kisha ukaanza kuota kwenye ndoto ukiwa unaona mazingira ni halisi kabisa bila kujua kwamba upo ndotoni ghafla bin vuu ndoto inaanza kuchangamka unajikuta aidha kwa kukasirishwa au kufurahishwa aidha unaanza kuongea katika hali kujitetea au unaanza kucheka bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…