Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina inakaribia. Siku hizi katika mitaa na vichochoro nchini China, kuna wageni wengi ambao wamekuja China kujionea na kupata uzoefu wa sikukuu hiyo muhimu sana kwa Wachina. Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina imekuwa kivutio kipya cha China kwa watalii...
Katika jiko lenye shughuli nyingi katikati mwa jiji la Dar es Salaam, milio ya visu vigonga ubao wa kukatia ilijaa hewani. Katikati ya mvuke na sauti za makarai, Ruth Washima Seni, mwanafunzi kijana wa Tanzania anayesomea mambo ya huduma, anajaribu kukata viazi kwa usahihi, vipande vyembamba...
Mwaka 2024 Canada ikishinikizwa na Marekani iliweka ushuru wa 100% kwa magari ya umeme ya China kama ilivyofanya Marekani.
The table has turned, hivi karibuni Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney alikuwa na ziara nchini China. Katika ziara hiyo alifungua milango ya kibiashara kati ya mataifa hayo...
Kuna watu wanajidanganya CCM kwamba chao chao na Tanzania ifuate mfumo wa Kichina badala ya mfumo wa kidemokrasia. Ukweli ni kwamba mfumo inabidi uendane na jamii. Sasa tujiulize kama haya yanawezekana. au la. Kwa mawazo yangu haiwezekani kwenye jamii ya Watanzania kwasababu chache tu
1. Jamii...
Kama ambavyo tunafahamu, China nan chi za Afrika zimekuwa na ushirikiano na uhusiano unaogusa pande nyingi, ikiwemo elimu, kilimo, sayansi na teknolojia, biashara na uchumi, pamoja na masuala ya kitamaduni. Kupitia Taasisi za Confucius zilizoko nchi mbalimbali za Afrika, elimu ya lugha na...
Kama uzi unavyojieleza ni kuwa nina ps4 slim yangu mpya ya kutoka china sasa kuna siku nimeamua ni sign in kwenye account yangu ya marekani sasa cha ajabu kila nikisign in inaandika "cannot use this account with this ps4" nimeshindwa kabisa kuelewa nimejaribu kucreate account mpya lakini...
Lugha ya Kichina imeendelea kupata umaarufu katika nchi mbalimbali duniani, na imekuwa ni chaguo kwa vijana wengi ambao wanaona faida yake katika soko la ajira. Shule nyingi duniani hasa za barani Afrika zimejumuisha lugha hii kwenye mitaala yao ya masomo, ikionyesha jinsi ambavyo lugha hii...
Karibu kwenye uzi huu maalum wa kufundisha lugha ya Kichina (Mandarin).
Kupitia uzi huu, CHUO CHA MAWAZO YA BIASHARA tutakuwa tukifundisha lugha ya Kichina hatua kwa hatua kuanzia mwanzo hadi mwisho.
Tutapitia mambo yafuatayo:
1. Utangulizi wa Lugha ya Kichina: alfabeti ya Kichina (Pinyin)...
Machine kadhaa na magari mfano ile Rolls Royce yenye insurance ya Sh.55,000,000 ni mali ya Abdul. Ameiandikisha kwa China Xiping yang Chan Tc Milestone Ltd. Kampuni ya Kichina iliyopo Tanzania.
Nchi inamegwa halafu wanaweka majina ya Wengine
Britanicca
Yu Donglai, mwanzilishi na mwenyekiti wa kampuni ya Pang Dong Lai, hivi karibuni ametambulisha sera mpya ya kazi anayoita “likizo ya kutokuwa na furaha.”
Kupitia sera hii, wafanyakazi wanapewa uhuru wa kuchukua mapumziko wakati wowote wanapojisikia wamechoka, wamesongwa na mawazo, au...
Habari za jioni wapendwa.ninatumaini nyote mpo salama.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu.naombeni msaada wenu tafadhali.Mahali pawe ni Arusha.
Ninatanguliza shukrani za dhati🥂.
Iwapo Urusi na China ndio marafiki wa damu damu damu imekuwaje Urusi ambayo iko chini ya Vikwazo iyakate malori ya kichina? Wanadai hayana ubora, je hapa kwetu tunaoyatumia magari yao tunaweza kukubaliana na madai ya Urusi?
https://www.youtube.com/watch?v=ze_0PmOuzM0&t=179s
Mkaguzi Msaidizi wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Iringa, Richard Nzagi anajibu swali kuwa “Endapo Mtanzania atapata ujauzito na raia wa kigeni, iwe ni mtalii au ameingia nchini kwa njia nyingine halali—halafu huyo mgeni akaondoka kabla mtoto hajazaliwa, je mtoto huyo anakuwa raia wa wapi?”
Idara...
China na Afrika zimekuwa na ushirikiano na uhusiano uliodumu kwa miongo mingi, huku pande hizo mbili zikiendeleza urafiki wa jadi. China, ambayo ni nchi kubwa inayoendelea, imekuwa mstari wa mbele kuzisaidia nchi nyingine zinazoendelea zikiwemo za Afrika kujipatia maendeleo kwa njia na mifumo...
Watanzania tusipo ukana ukondoo na ubwege ipo siku hawa wageni watatushikisha ukuta.
Nimeshangaa sana kwamba kumbe kuna wachina wanatoka China wanakuja kufanya biashara za Udadali Tanzania.
Mbona Nairobi moja ya jiji ambalo ni kubwa sana Kibishara mbona Wachina hawaendi kufanya kazi zinazo...
Hii hapa orodha ya SUV 3 za kifahari kutoka China,nmechagua chache zilizonivutia zaidi mchina anakuja vizuri sana kwenye tech gari zipo kisasa sn aisee pia zinavutia sana ndani na zinafeatures nyingi, kuna Aito M9, Li Auto L9, na Denza N9 zikiwa na bei kwa TZS.
🚙 1. Aito M9
🇨🇳 Brand: AITO...
Watu wengi wamekuwa wakiamini ukipeleka gari kwa mhina ni yeye anatengeneza lakini kinachoendelea nyuma ya pazia hali nitofauri kabisa.
Gari ukiipeleka kwa mchina, ataikagua kagua ukiwepo, utapewa bili, n.k. mida ya usiku gari inavutwa kupelekwa gereji bubu au watamwita fundi wa gereji bubu...
Katika uchunguzi wa hivi karibuni uliofanywa na kampuni ya Top10VPN Threat Prevention Team (TTP), imebainika kuwa zaidi ya dozens ya VPN apps (programu za mitandao binafsi ya faragha) zinazopatikana kwenye Apple App Store na Google Play Store zinamilikiwa kwa siri na makampuni ya Kichina, licha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.