kichekesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nentewene

    Tungo: Naogeshwa kwa iliki.

    naogeshwa kwa iliki..nafukizwa kwa ubani.. nisiwe mnaafik..ananipenda si utani.. mtoto shokishoki..anatokea visiwani.. tena amejikoki..haniachi asilani.. penzi lake mshikaki..lina tamu milioni.. mie ndani sitoki ..nimeganda kama lami..
  2. OMOYOGWANE

    FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

    Mechi inachezwa saa 2 na robo usiku, je tutegemee kumuona saido, Boco na Bareke? au wataweka kikosi B? Teh ntawaletea updates zote.
  3. peno hasegawa

    Benki ya Dunia yaipongeza Tanzania kwa jitihada za kuimarisha upatikanaji wa umeme

    Benki ya Dunia (WB) imeipongeza Tanzania kwa kuchaguliwa na kuwa miongoni mwa nchi nne barani Afrika zilizoingizwa katika mradi wa Benki ya Dunia wa ‘ASCENT’ ambao unalenga kuimarisha upatikanaji wa umeme kwa wananchi. Amesema hayo Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Benki...
  4. Erythrocyte

    Ni kichekesho kushindanisha uwezo wa viongozi wa CHADEMA na wale wa kubebwa wa CCM

    Natoa mwongozo kwa wale wasiojua na labda wangependa kujifunza kupitia andiko hili , ni hivi , Ili kuwa kiongozi ndani ya Chadema unapaswa kuonyesha uwezo wako haswa , Viongozi wa Chadema hawabebwi kwa mbeleko za chuma , ili kuwa kiongozi ndani ya Chadema lazima ukubali gharama ya mateso ya...
  5. Brain Kingdom

    Chuki zinazochagizwa na ukosefu wa maarifa, umadhubuti wa akili na ukomavu wa fikra ni kichekesho

    Habarini nyote. Kwa uchache kabisa niseme ya kwamba awaye yeyote mwenye chuki kisa tu uduni wake kwenye maarifa, kukosa akili pevu na madhubuti, pamoja kukosa ukomavu wa fikra kwa taswira pana huwa ni kichekesho. Ukipewa dhamana fanya utofauti katika namna chanya na iliyobora na kwa kujikita...
  6. mugah di matheo

    Hii nchi ni kichekesho sana, Alieongoza "VETA" ana mcheka "aliesup" University

    Walianza mashindano pamoja,moja kafeli kwenye hatua ya 1(32 Bora). Mwingine kajikongoja hadi 8 Bora,chaajabu alieishia 32 bora anamnyoshea kidole mwenzie kwanini umeishia njiani? Tukumbushane tu Uto hamjafanya vizuri malengo yenu ilikua kucheza makundi Ccl ,kitu ambacho mmeshindwa..Simba...
  7. John Gregory

    Tuzo za TFF - kiungo bora bila Khalid Aucho kuwepo ni kichekesho

    Sijajua vigezo wanavyotumia TFF lakini hata kwa kipofu asiyetazama mpira na kusikiliza kwa Radio anajua kazi kubwa aliyoifanya Khalid Aucho, TFF inathubutuje kutomtaja katika orodha ya viungo bora? Ushauri kwa TFF isilazimishe kubalance hizi tuzo ili kuweka usawa, Bali watumie uhalisia wa mambo...
  8. Kipenzi Changu

    Kichekesho: Yanga ndio timu kubwa Afrika Mashariki

    Champion League ndio kilele cha mafanikio ya mpira. Asante mzee wa jambia kwa kuweka kumbukumbu klia. Tuendelee na pasaka
  9. Chikenpox

    Sijasikia popote Papa Francis aliposema waache kupigana, ameishia kuwaombea amani tu

    Nimekuzwa nikimfatilia baba mtakatifu DRC mpaka South Sudan sijaona au kusikia mahala popote aliposema waache kupigana Bali kuwaombea amani tu. Sasa sijui amani kama inaweza kupatikana kweli bila kuacha kupigana. Haya ma observation yangu msinitukane.
  10. K

    Rais Paul Biya ambaye ndiye mzee kuliko wote Afrika ageuka kichekesho huko Marekani

    Katika hali iliyoonekana kama vile kuzidiwa na uzee au matatizo ya kusahau sahau Rais wa Cameron, mheshimiwa Paul Biya alijikuta akigeuka kichekesho wakati wa mkutano wa kimataifa wa US Africa Leadership Summit in Washington DC. Rais huyo mzee kuliko wote alijikuta akisahau mahali alipo punde...
  11. CM 1774858

    UTEUZI: CCM yawateua wagombea Ujumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)

    HAWA HAPA KWA UPANDE WA ZANZIBAR
  12. comte

    Kwa huu ujumbe na kichekesho- leo nayo ni siku- siku yangu imeisha

  13. R

    Wakati tunafurahia kichekesho cha TRAB na TRAT tukumbuke trilioni 360 ni pesa nyingi sana

    Habari JF, Nimeona niwakumbushe Watanzania wenzangu maana asilimia kubwa tumezoea kushabikia vitu visivyo vya msingi. Triloni 360 ni pesa nyingi sana zinaweza kututoa tulipo kuwa donor country. Hivyo tusiishie kushare video na kucheka bali ni vizuri tufuatilie kwa umakini tuone muenendo wake...
  14. M

    Kama KMC tu imekutoa jasho na bado unajinasibu unayo timu bora, ni kichekesho kingine

    Kwa mara ya kwanza almanusura KMC ichukue point zote 3 mbele ya timu ambayo mashabiki wake wanajinasibu wanayo timu bora. Unaokota point 1 mbele ya timu ambayo ni ya kawaida tena kwenye uwanja ambao unaweza kupanga mbinu zako na zikakubali. KMC aijawai kuchukua point kwa simba zaidi ya kipigo...
  15. Samia atosha tukutane2030

    Kichekesho hichi kifupi kimebeba ujumbe mkubwa sana juu ya Afrika.

    Ni dhahiri shahiri Waaafrika wengi hatuwazi ujenzi wa Mataifa yetu bali tunawaza ujenzi wa familia zetu . Tubadilike, kila mmoja abadilike kwa nafasi yake. Asanteni
  16. 0ozg Tz

    Kichekesho cha beki ghali duniani Maguirre

    Unaambiwa huyu jamaa kila mara anakuwa upande wa timu pinzani. CR7 anataka top four,maguirre hataki. De Gea anamuogopa huyu beki zaidi ya washambuliaji wa timu pinzani. Katika hii picha hapa chini ameamua kuapply kile anachokifanya kwenye mazoezi. Pogba alikula kiatu cha uso.
  17. VUTA-NKUVUTE

    Kesi ya Kubenea dhidi ya Makonda ni dhihaka, fedhea na 'kichekesho' kwa Ofisi ya DPP na Serikali kwa ujumla

    Si jambo la kulikalia kimya. Lazima niseme ukweli juu ya jambo hili. Ukweli wa heri na si wa shari. Ingawa ni jambo linaloruhusiwa kikatiba na kisheria kuwepo kwa uwezekano wa mtu binafsi kumshtaki mwingine kijinai, masuala yote ya kijinai yapo chini ya Ofisi ya Mashtaka ya Taifa iliyo chini ya...
  18. C

    Wabunge wa CCM wanavyoeleza kero Bungeni ni kichekesho

    Wakuu, Mtiririko hua uko hivi: Mhe. Spika anasema anayefuatia kuchangia ni Mheshimiwa kipele uchungu, mheshimiwa mbunge kipele uchungu anaanza: 1. Kwanza Namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma 2. Pili nakushukuru wewe mheshimiwa spika kwa jinsi unavoongoza vizuri bunge letu 3. Tatu...
  19. N

    Tujikumbushe kichekesho cha dunia: Yanga vs Ndanda FC 2016

    Tuesday , 10th May , 2016 Mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kati ya wenyeji Ndanda FC na Yanga uliokuwa ufanyike Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara sasa utafanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Jumamosi. Afisa habari wa Shirikisho la Soka nchini (TFF) Alfred...
  20. Babumawe

    Sijawahi kuona kichekesho kama hiki cha Simba SC

    Ushawahi kujitekenya mwenyewe mbele ya umati? Yaani sijawahi kuona futuhi na comedy nzito kama hii walahi. Simba Super Cup: BINGWA (Simba) Mchezaji Bora wa Mashindano: Rally Bwalya (Simba) Golikipa Bora: Beno Kakolanya (Simba) Mfungaji Bora: Bernard Morrison (Simba) Mchezaji bora mechi ya...
Back
Top Bottom