kichapo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ponjoro wa Kinondoni

    Mwanza: Askari wa JWTZ Ashushiwa Kichapo na Askari Polisi

    Alikuwa ndani ya bajaji kama abiria, mbele bajaji ikasimamishwa na polisi kwa ukaguzi, askari wa JWTZ (jeshi namba 6 kwa ubora duniani) akashuka na sare zake akawa anamwamrisha polisi awaachie, polisi akagoma yule mwamba wa JWTZ akamsukuma polisi hadi akaanguka. Baada ya kuinuka alimtembezea...
  2. A

    Wahouth wa Yemen wanavyomtembezea Israel kichapo

    Tuliwambia Israel hawezi kupigana na Wahouth wa Yemen, ikiwa Baba yake USA alikimbia watu wakabisha. Leo wizara ya katiba na sheria imesambaratishwa kule Jerusalem sijui yule msafisha vyoo vya Tela Aviv Echolima1 ana habari au hana https://youtu.be/TdhfkMlnqO4?si=4w2kvIo5g4FeuHEj
  3. BICHWA KOMWE -

    Pambano la Paka na Nyoka: Kichapo cha haja

    Huyu ndio paka bwana, a.k.a nyau, a.k.a zee la makonzi. Utanyukwa makofi haswa mpaka unasalimu amri. Paka ni kati ya wanyama timamu haswa kimwili, wananyumbulika kwa wepesi kama radi. Miili yao ina silaha madhubuti ambazo ni makucha makali na meno mchongoko. Paka wakitaka kuua lazima wamtese...
  4. M

    Omba usikutane na kichapo kutoka kwa migambo, hata wajeda hawaoni ndani

    Wazee kuna hawa watu wanaitwa migambo (kesho la akina). Naomba niulize hivi anayemfundisha mgambo si ni mjeda? Inakuwaje hawa migambo wanakuwa na uwezo wa kutembea kichapo naweza kusema hata kuwazidi wajeda? Mwaka 2023 nilipoenda home kutembea nilikuta kuna changamoto moja ya wizi uliokithiri...
  5. Lycaon pictus

    Amepewa kichapo na kaka wa mke wake baada ya kumpiga mkewe ni sahihi?

    Jamaa moja huko Nigeria amempiga mke wake. Kaka wa mke wake wamefika nyumbani kwake na kumpatia kipigo kitakatifu. Hili suala limekaaje?
  6. W

    Ahmedy Ally: Mechi yetu na Kagera Sugar ndiyo mechi yetu ya mwisho msimu huu

    "Tunamshukuru Mungu tumemaliza salama msimu huu wa ligi kuu ya NBC 2024/2025 mechi ya leo dhidi ya Kagera Sugar sisi Simba SC ilikuwa ni mechi ya raundi ya 30 Mechi ambayo inatamatisha msimu huu wa ligi kuu ya NBC, mechi na Kagera Sugar ilikuwa mechi nzuri pamoja na kuwa wameshuka daraja lakini...
  7. Scared

    Shabikibwa simba lala nyumbani ukiwa uwanjani Leo utapokea kichapo Cha mbwa Koko Kuna mbavu zimekaa Kwa ajili hiyo

    Ujumbe umefika mechi ni tarehe 25 sababu mungu wa nchi amesema Sasa wewe kolo jichanganye ukanyage taifa Leo utapigika vibaya sana sababu ushatangaziwa mechi na tff ni tarehe 25 sababu mungu wa nchi ameshasema na hakuna wa kupinga Hilo heshimj mamlaka kabla hujashugulikiwa ipasavyo na nadhani...
  8. Echolima1

    Lebanon yalaani shambulizi la anga la jana usiku huko Beirut

    Lebanon yalaani shambulizi la anga la jana usiku huko Beirut. Israel inasema Lebanon ijilaumu yenyewe pamoja na magaidi wa Hezbollah inaowakumbatia. Waziri wa Ulinzi Israel Katz alijibu matamshi ya rais wa Lebanon: "Hakutakuwa na amani huko Beirut na hakuna utulivu na utulivu huko Lebanon...
  9. THE FIRST BORN

    Match ya Leo Simba Akila Kichapo cha kuanzia goli 3 msahau Match kuchezwa kwa Mkapa.

    Nahis hamkumuelewa Msemaji Ahmed Ally...simba leo wanapima upepo wakila goli 3 kwenda Juu watakua willingly kucheza Aman ila ikitokea ni goli Moja au Mbili kafungwa watalazimisha hata serikali iingilie kati Match ichezwe Kwa Mkapa. After game nitakuja kuwaeleza kwa undani ndio muelewe why hata...
  10. Echolima1

    Wahouth huko Yemen bado wanachezea kichapo toka majeshi ya anga ya Maekani

    Wakati Iran inateseka na mvua za rasha-rasha kuzima mioto ya Banar ABBAs na Tehran Houth nao usiku kucha hawalali kutokana na kipondo wanachopata kutoka kwa majeshi ya anga ya Maekani sehemu mbalimbali mhimu za kijeshi zimę shambulio a vibaya sana hata tu kuuzima moto kwao imekuwa ni shida...
  11. M

    Leo wa Houth wamechezea kichapo mpaka wamelia "maaa" Free Yemen zimeshaanza kusikika

    Mwana kulitaka mwanakulipata walisema wahenga,tulisha tanguliza tahadhari Yemen Italia siyo muda na ndo kinachoendelea hv sasa Wahouth wanaponzwa na udini Sasa inaanza kuwagharimu maana kichaa Trump kaingia mzigoni tuiombee Yemen Free Yemen
  12. OMOYOGWANE

    Mwaka 2019 nilinusurika kupokea kichapo kutoka kwa mabaunsa wa mbunge Sugu

    Wakuu shobo mbaya sana aisee!! Hasa hasa kwa hawa watu maarufu hapa mjini ukiwaona mtaani usishoboke kausha kama vile huwajui utanishukuru baadae Enzi hizo nikiwa shabiki kindaki ndaki wa CHADEMA hapa mjini yaani sipitwi na habari za siasa Siku moja nilienda na rafiki zangu huko msalato...
  13. OMOYOGWANE

    Mwaka 2019 nilinusurika kupokea kichapo kutoka kwa mabaunsa wa mbunge sugu

    Wakuu shobo mbaya aisee!! Hasa hasa kwa hawa watu maarufu hapa mjini ukiwaona mtaani usishoboke kausha kama vile huwajui utanishukuru baadae Enzi hizo nikiwa shabiki kindaki ndaki wa CHADEMA hapa mjini yaani sipitwi na habari za siasa Siku moja nilienda na rafiki zangu huko msalato Dodoma kula...
  14. Echolima1

    Magaidi wa Houthi huko Yemen usiku kuamkia leo wamechezea kichapo cha mbwa-koko baada ya ndege-vita za Marekani kuwashambulia usiku kucha

    Baada ya Magaidi wa Houth huko Yemen kutishia kuanza kuzishambulia Meli za ki raia zinazopita kwenye bahati nyukundu mara tu Israel ilipozuia misafara ya magari ya misaada kuelekea Gaza usiku wa kuamkia leo Magaidi hao wamechezea kichapo cha mbwa-Koko baada ya ndege-vita za Marekani kuwapa...
  15. R

    Mechi kusogezwa mbele ni nafuu kwa simba, vuta picha leo wangeweka rekodi ya kufungwa mara tano mfululizo,

    mechi sio ya kuiogopa ila ni rekodi mpya inayoenda kuwekwa Acha tuendelee kuwa na amani ya kufungwa mara nne mfululizo, acha tuishi nayo. Leo simba angeingia kwa Mkapa ingekuwa kujifedhehesha tu, kwa Yanga hii ni jambo la wazi kabisa simba angekandwa, Shida ingekuja kwenye rekodi mpya ya...
  16. Echolima1

    Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kupata kichapo kutoka majeshi ya Israel

    Majeshi ya Israel IDF bado yanaendelea kushusha kipondo ki Takatifu kwa magaidi wa Hezboullah baada ya magaidi hao kukiuka masharti ya kusitisha mapigano huko kusin mwa Lebanon.
  17. B

    Waasi wa M23 watamani kufika Kinishasa, Je ipi nafasi ya Tanzania kuinusuru DRC Congo isihanguke

    Waasi wa 23 wanasema lengo lao ni kufika Kinshasa na kuiangusha serikali ya Tshisheked, je wataweza. JE IPI nafasi ya Tanzania km nchi yenye nguvu ya kijeshi afrika mashariki na rafiki wa kiuchumi na Congo.
  18. L

    Tanzania Tumepoteza Wanajeshi Wawili Nchini Congo Katika Mapambano na M23

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa masikitiko makubwa na uchungu mkubwa taarifa zinadai kuwa tumepoteza mashujaa wetu wawili wa JWTZ waliokuwa wakilinda amani Nchini Congo. Vifo hivyo vimetokea kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na M23. Tutawajibu kikomandoo na watajuta . askari wetu wamekufa...
  19. 6 Pack

    Zijue sababu za jeshi letu JWTZ kutokutoa kichapo kingine kwa M23, kama tulivyotoa mwaka 2013 hadi 2014

    Niaje waungwana Kwanza kabla ya kuelezea sababu za jeshi letu kutokutoa kichapo kwa M23, naomba kwanza nianze kuwapa historia tukufu ya jeshi letu la JWTZ au TPDF kwa nchi mbali mbali za Africa na Dunia kwa ujumla. JTWZ chini ya baba wa taifa letu hayati mwl. Julius K. Nyerere ndio iliyoongoza...
  20. Kitimoto

    Israel Imeanza Kutoa Kichapo kwa Magaidi wa Hoath wa Yemen

    Kufuatia kuidhinishwa kwa mipango ya utendaji kazi na Mkuu wa Majeshi Mkuu, Waziri wa Ulinzi na Waziri Mkuu, ndege za kivita za IAF zilifanya mashambulizi ya kiintelejensia dhidi ya malengo ya kijeshi ya utawala wa kigaidi wa Houthi kwenye pwani ya magharibi na ndani ya Yemen kwa muda mfupi...
Back
Top Bottom