kichaa

Espen Sørensen, known professionally as Mzungu Kichaa, is a Danish singer and musician. He was born in Denmark, but grew up in Tanzania, where his parents worked in the field of Development Cooperation. They went there when he was six years old. In Tanzania, he learned to speak Swahili fluently, and later on, he got involved in music and particularly in the production of Bongo Flava at Bongo Records. The latest outcome of his interest in East African music is his first solo album "Tuko Pamoja".

View More On Wikipedia.org
  1. Hance Mtanashati

    Biashara ya kusimamia wasanii ni biashara kichaa usithubutu kuwekeza pesa zako huko

    Miongoni mwa biashara pasua kichwa ni hii biashara ya kumsimamia msanii haswa msanii wa muziki . Awali ya yote, wengi hawajui kuna utofauti kati ya sponsor na manager. Manager kiuhalisia inabidi yeye ndiye awe analipwa na msanii ili amsimamie kazi zake lakini kibongo bongo ni tofauti. Kibongo...
  2. mrangi

    Huyu derevea yupo sawa kweli? Kwanini amehatarisha maisha yake na wenzake hivi?

    Nimetumiwa hii clip ikazidi Kunishangaza,maana kuna madereva bado hawajifunzi sijui ni ukichaa Ujuaji mwingi ! Mtu unaona kabisa kuna mafuriko kuna hali ya hatari wewe unapitisha chuma hapo! Kwa wenzetu uzoefu wangu nnayoonaga mfano snow(barafu)likiwa kali mpk barabara inakuwa kama kioo...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    Ni kichaa pekee anaweza kulinganisha uwezo wa Iran na Marekani kivita

    Ukweli ni kwamba uwezo wa Iran kivita unapaswa kulinganishwa na vinchi kama UAE, Egypt, Palestine na vinchi vingine vya kipuuzi.
  4. R

    Kichaa Trump kajitoa mashirika ya UN, akija mwingine say kutoka Democrats, anayarudisha!

    Let us wait and see baada ya miaka 3 iliyobaki ya Trump!
  5. BICHWA KOMWE -

    Hofu ya kunuka Mdomo: Ni sayansi au kichaa?

    Naenda moja kwa moja kwenye lengo kuu. Ndugu yenu BICHWA KOMWE muda wote nina hofu sana na kunuka mdomo. Licha ya usafi mkali ninaopiga mpaka koromeo linaomba poo, lakini niko makini vibaya na mdomo. Kila wakati najinusa na kujipiga mouth wash. Kuna wakati nilifukuzwa na mama mwenye nyumba...
  6. The Palm Beach

    Tetesi: Hilda Newton: Afande Hamza, aliyeua mamia ya waandamanaji 29/10 - 3/11/ ni kichaa. Anaropoka siri zao ovyo. Amefungiwa chumba maalumu Police Oysterbay

    Imetoka kwenye official page ya X-Twitter ya Hilda Newton =============================================== TAARIFA KUTOKA KWA MMOJA WA POLISI MWANDANI WETU OYSTERBAY POLICE STATION - DSM Kuna ofisa wa Jeshi la Polisi anaitwa Hamza, anashikiliwa kituo cha Polisi Oysterbay tangu Novemba 6...
  7. B

    Nilipozoa kinyesi cha kichaa ndani ya eitiem.

    Wakuu, nawasogezea stori (mkasa ulionikumba mwaka 2013). Nisisahau jadi ya watanzania, hamjambo wote? Watoto wenu hawajambo? Wakuu, ilikuwa hivi, mwaka 2013 mwezi wa 11, kipindi hicho nikiwa nimeingia mwaka wa 3 wa masomo chuoni, wakati 'bumu' la kwanza likiwa limetoka, siku hiyo bumu linatoka...
  8. Lord Denning

    Ni kichaa tu atatunza amani ili Wanasiasa, Viongozi na familia zao waishi maisha ya ukwasi kwa Ufisadi wa pesa za Umma

    Kuelekea tarehe 29 Oktoba 2025 napenda kuwaambia hawa wanasiasa mafisadi wanaotulisha propaganda za amani ili waendelee kuishi vizuri kwa ufisadi wanaofanya kwenye kodi zetu na mali zetu wanachi. Safari hii Wananchi tumekataa kuitunza amani ili wao waishi maisha ya ukwasi kwa kodi zetu huku...
  9. M

    Ukimkimbiza kichaa wote mtakamatwa kama vichaa ili msilete fujo kwa sababu watashindwa kuwatofautisha

    Hii Dunia tupo watu wenye haiba mbali mbali rahisi na ngumu katika kuishi na wengine na bahati mbaya kuna haiba hazibadiliki wala kurekekebishika hivyo unachotakiwa ikiwa utakutana na mtu mwenye haiba hiyo ni kujifunza kuishi naye au kumpuuza tu WAKIKUTA UNABISHANA NA KICHAA WATAKUSHANGAA WEWE...
  10. Nikola24

    Ni kweli mama yako mzazi ukimkosea, kwa hasira akavua nguo(kumwaga radhi) mtoto unakuwa kichaa?

    Kila mara huwa nagombana na mama kwa sababu hatuendani kitabia. Ana maudhi sana. Hajui kuongoza familia. Anapenda taarabu tu, matokeo yake amekuwa mtu wa vijembe. Sasa kuna washkaji wameniomya, kuwa mama yangu akivua nguo mimi nakuwa kichaa hapo hapo. Eti kweli? Nijibuni swali tu, umri wangu...
  11. M

    Ni kichaa tu anayeweza kutekeleza tishio la kutumia nyuklia: Sikioni kichaa hicho kwa TRUMP

    Trump ameitishia urusi kwa kuamuru nyambizi zenye mabomu ya nyuklia zisogee karibu na urusi! Hilo ni tishio kubwa kuliko yote LA kutumia silaha za nyuklia. Putin amepuuza na kuamua kukaa kimya maana anajua kuwa Trump hana jeuri hiyo wala hana kichaa hicho!! Huwezi kuitetea nchi yako kwa kutumia...
  12. Bueno

    Kichaa kasimama anaongea na Mwenye akili timamu aliekaa Chini

    Wakuu, hivi ushawahi kufika sehemu ukamkuta kichaa anampigisha story mwenye akili timamu? Yaan kichaa kavaa smart kabisa kitanashati mwingine unakuta kapendeza mavazi ya urembo ila sio mzima ni kichaa kabisa, ushawahi kutana nayo hii sehemu? Sio kila aliependeza ana akili timamu na sio kila...
  13. Alloyce PR

    Ukipuuzia Vichwa, Kesho Utahukumu Kichaa

  14. R

    Nini hutokea kichaa kisababishwacho na mapepo kinapompata Mwanadamu?

    Salaam, Shalom! Aina ya ukichaa ninayoiongelea Leo, ni tofauti, SI Ile inayotibika hospitalini, Aina hii ya ukichaa ni Ile ambayo madaktari hupima Kila kitu na kuona kipo sawa, wasione ugonjwa wowote, lakini mgonjwa Hali ni Tete. NINI HUTOKEA KATIKA AINA HII YA UKICHAA. Pepo au jini...
  15. Alloyce PR

    Kichaa kwenye kongamano la wanazuoni

    "Pasipo upepo, mashua haisogei,’ asema huku akiingia kwenye akaunti ya mtu mwingine kama jambazi wa mawazo, kisha anajitangaza kama mjumbe wa taifa. Huyu ni kama kunguru aliyevaa joho la bundi, anadhani mwenye hekima, kumbe ni kichaa anayejitambulisha kwenye kongamano la wanazuoni!" — Alloyce, P.R.
  16. Mindyou

    Trump amuita Putin "kichaa" baada ya Urusi kurusha makombora 360 kwenda Ukraine siku ya Jumapili

    Wakuu, Mnakumbuka Trump alivyoingia madarakani alijinadi akisema kuwa anammudu Putin na kwamba akiingia tu madarakani ataimaliza hiyo vita "ON DAY ONE?" Yaani it seems kabisa matarajio yake na alichokutana nacho ni tofauti kabisa. Naona sio Putin wala Zelensky wanayemsikiliza. Ni kama he was...
  17. Lord Denning

    Biashara kichaa ya CCM na System yadoda: Mabilioni yapotea, Wameanza kuropoka ovyo huko

    Kila siku tunasema CCM na system uchwara hawawezi kupambana na wakati! Sasa kila kitu kipo wazi! wanaaibika waziwazi, mipango yao yote inawekwa wazi, wananchi wanayajua yote wafanyayo gizani, mabilioni ya pesa zao walizowekeza kuiua Chadema yanaliwa alafu matokeo sifuri🤣🤣🤣 Baada ya CCM na...
  18. Scared

    Bajaji biashara kichaa Kuna jamaa kanunua juzi bajaji mpya Leo imepata ajali haitamaniki milion 10 zimeenda

    Aisee, huku mtaani kuna jamaa alinunua bajaji juzi, akampa dereva ili ampelekee hesabu kila siku. Leo asubuhi bajaji imepata ajali mbaya sana—haitamaniki kabisa. Imeharibika vibaya kiasi kwamba sasa ni ya kuuza kama chuma chakavu tu. Milioni kumi zimepotea kizembe sana. Yule jamaa...
  19. hamis77

    Itimar Ben Gvir Huyo ni mwanasiasa mtata na mwenye msimamo mkali wa Israeli ambaye aliongoza harakati za kumpinga Netanyahu

    Itimar Ben Gvir kichaa aliyepewa rungu, Huyo ni mwanasiasa mtata na mwenyemsimamo mkali wa Israeli ambaye aliongoza harakati za kumpinga Netanyahu na kutaka ajiuzulu kwasababu ya kusitisha mapigano ya Gaza. Sasa Netanyahu amemchagua tena Itimar kuwa waziri wa usalama wa taifa wa Israeli...
  20. Samia atosha tukutane2030

    Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena ushindi wa zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025

    Mama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona. 2019, 2020, 2024 CCM wamepita kwa zaidi ya 98%. Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025. Watapata zaidi ya 97% kwa njia...
Back
Top Bottom