Kama utapitia mtandaoni hasa tiktok utakutana na mtu anaeitwa KIBOKO YA WACHAWI, huyu anatutukana sana na kutudharau.
Lakini kwanini amefika hatua hii japo nimekuja kumfahamu/kusikia baada ya kufukuzwa,kwamba alikuwa anachukua laki tano tano ili kumuona.
Kuna muda mpaka mtu unapigwa na...
Habari za Sabato!
Kiboko ya Wachawi aliwapa wapumbavu haki yao kikatiba kama asemavyo Malisa.
Naona Tony Kapola naye kawatukana majitu majinga anayoyalia pesa au yanayoliwa pesa na Manabii wa mchango.
Kapola ni wachungaji wa mchango hilo hata yeye analijua na mara nyingi anakiri hilo kwenye...
Nabii Dominiki Kiboko ya Wachawi aliyekuwa akiongoza kanisa lake kule Temeke Buza kwa Lulenge ameonekana akijipost video huku akicheka na kutoa maneno ya kejeli.
Mwenyewe anadai eti anashangaa sana na kusema dunia haiko fair.
Anasema haelewi wala haiingui akilini kuona Kichwa kama Tundu(...
Sababu kuu ya Gwajima kutendewa haya yote ni baada ya kuongelea mambo ya watu KUTEKWA, KUUAWA na KUPOTEA bila kujulikana wameenda wapi na wakati huohuo mamlaka kuendelea kuwa kimya.
Msimamo na maoni ya Gwajima ndiyo msimamo wa viongozi wote wa dini waliowahi kuongelea mambo ya utekaji na kuuawa...
Majuzi kati tulikuwa hosptali kumwona magonjwa flan
Akaibuka ndugu mmoja tuongee na kiboko ya wachawi atamponya nkajaribu kumwonyesha clips alizorekodi na kutuita wajinga
Wale ndugu wakaendelea kumwmini jamaa akawambia watumie Million 2
Wakajichanganya Jana wametumwa million Moja kwenye hio...
Kimaandiko, kujiita "Kiboko ya Wachawi" sio sahihi kwa sababu inahamasisha kiburi na kujitwalia mamlaka ambayo ni ya Mungu pekee.
Sababu za Kimaandiko:
Yesu ndiye anayeangamiza kazi za shetani
1 Yohana 3:8 – "Kwa sababu hii Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Shetani."
Yesu...
Mchungaji Kiboko ya Wachawi amesema kwamba Rais Samia atapita tena katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu katika nafsi ya urais.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
Jamaa inaonekana bado hajaridhika kutimuliwa. Sasa anamsema kila mtumishi mwenzake maarufu wa Tanzania japo kwa mafumbo.
Anasema mzee wa ubungo ni tapeli wa kutupwa na ni mtu wa system.
Kuhani Moses wa temboni anadai amewahi kufukia jeneza uwanjani Mbagala akaweka alafa kwenye mkutano...
Nabii Kiboko ya Wachawi amerejea kwa kishindo huku akija na staili mpya ya mahubiri. Ndivyo unavyoweza kusema. Ukimsikiliza vizuri nabii huyu anavyoendesha mafundisho yake ya kichonganishi, hana tofauti hata kidogo na staili aliyokuwa anatumia Kiboko ya Wachawi kabla ya kufurushwa nchini. Sitaki...
Huyu jamaa kweli alikuwa tapeli aliyewasha taa haikuhitaji mwanga kumuona. Ni tapeli, muhuni afu Lina kejeri na jeuri za kishamba
Hasomi hata Biblia wala kutumia mifano kwa kusoma neno la Biblia mpaka ibada inaisha yeye mda wote yupo busy kufanya maigizo ya kutoa mapepo na kuleta ushahidi wa...
Serikali ya Tanzania imeweka wazi sababu ya kumfukuza nchini Kiongozi na Mchungaji wa Kanisa la Christian Life maarufu ‘Kanisa la Kiboko ya Wachawi’, Dominique Dibwe kwa kukiuka misingi na mafundisho ya Vitabu Vitakatifu sambamba na kutoa wito kwa wahubiri wengine kufuata mafundisho ya Vitabu...
DODOMA: Kesi iliyofunguliwa na Wakili Paul Kisabo dhidi ya Afisa wa Polisi ASP Fatma Kigondo anayetajwa kama 'Afande', inasubiri wito wa kupangiwa tarehe ya kusikilizwa ambapo tayari imepangwa mbele ya Hakimu Francis Kishenyi.
Afisa huyo ameshtakiwa kwa kusaidia genge la Watu Watano...
Mke wa "Kiboko ya Wachawi" amwangukia Rais Samia amrudishie mume wake aidha
"Ninachokiomba mama unirudidhie mume wangu mimi ni mama wa Watoto wawili, Watoto wangu bado wadogo, wanaitaji malezi ya baba yao pia namuhitaji mumeo wangu kwa sababu yeye ndiyo msaada wangu sina kimbilio sina msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.