kiboko ya wachawi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Kwa Jinsi 'Kiboko ya Wachawi' anavyowadhihaki Watanzania, ipo haja ya mamlaka inayosajili makanisa na taasisi nchini kuongeza umakini

    Katika Siku za Karibuni zimeonekana 'Klipu' kadhaa Za Mchungaji anayejiita Kiboko ya wachawi mitandaoni zikimuonyesha akiwadhihaki na kuwadhalilisha Waamini waliokuwa wakitoa pesa zao kwake kwa madhumuni ya kuombewa. Ameonekana akisema 'amezimiss' Laki tano tano. Ingawa wapo watakaosema kuwa...
  2. Kitchener

    Haiwezekani kumrudisha Kiboko ya Wachawi nchini Tanzania na kumfungulia mashitaka?

    Kwa namna huyu jamaa anavyowananga watz, hivi Serikali imekosa kosa lolote analoweza kuwa alifanya, hata money laundering au lolote tu analoweza kufunguliwa hapa, tukatuma maombi ya extradition Congo akarudishwa hapa. Manake ni wazi ametapeli wabongo wengi sana. DPP na DCI tuseme hamjaona kosa...
  3. S

    Samico nimerejea mjini, nimekuta mabadiliko; Aliyekuwa kiboko ya wachawi naye karogwa na wachawi

    Baada ya kukaa saiti miezi mitatu huko polini kondoa pasipo kuingia internet, Hatimaye leo tumerejea Dar es salaam! Tuko huru kama kuna kazi umeme na ujenzi nipigie 0711756341 Nimerudi mjini Hakika mabadiliko yanaonekana! Mji unakuwa kwa kasi sana! Ukiwa hapahapa mjini kila siku huwezi kugundua...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Je, anayoyasema kiboko ya wachawi kuhusu Watañzania kuwa wendawazimu yana ukweli kiasi gàni? Je, yeye ni wa kwanza kutamka maneno kama hayo?

    JE ANAYOYASEMA KIBOKO YA WACHAWI KUHUSU WATAÑZANIA KUWA WENDAWAZIMU YANA UKWELI KIASI GÀNI? JE YEYE NI WAKWANZA KUTAMKA MANENO KAMA HAYO? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nimeshangaa Sana Baadhi ya Watu wakiumia, wakikerwa na kuchukizwa na maneno ya Nabii wa Buza, AKA Kiboko ya Wachawi baàda...
  5. LIKUD

    Kiboko ya Wachawi ni aidha amechanganyikiwa au ni kazi ya mizimu na miungu wa watu aliowaumiza

    Behaviour ya Kiboko ya Wachawi kuwakejeli victim wake inatoa taarifa moja tu kuhusu hali ya kiakili ya kiboko ya Wachawi. Amechanganyikiwa. Inaweza kuwa ni kazi ya Mungu mwenyewe au kazi ya miungu wa victim wake (probably walienda kulalamika kwenye madhabahu zao) Pia inaweza kuwa kazi ya...
  6. GENTAMYCINE

    'System' ya Tanzania ingekuwa Imara kwa Dharau na Matusi ambayo Tapeli wa Kiimani Kiboko ya Wachawi anatufanyia Watanzania hivi sasa angekuwa Historia

    Dharau ambazo anazifanya kwa Watanzania na hata Kututukana Matusi kwa Makosa ya Wapumbavu kadhaa wa Kiimani kumuamini na kwenda Kanisani Kwake GENTAMYCINE nina uhakika angeifanya Rwanda kwa Kagame au hapa Uganda kwa Museveni au Israeli kwa Netanyahu hivi sasa angeshakuwa Historia duniani...
  7. USSR

    Je, kuna namna Kiboko ya Wachawi anaweza kuletwa tena Tanzania ili afunguliwe mashitaka ya utapeli?

    Hilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi . 1.Kwakuwa sasa ni dhahiri kuwa alikuwa nabii feke na ewatapeli watanzania wengi pesa na mali zao anaweza kuletwa ajibu? 2. Je, sisi na DR Congo tunamkataba wa kubadilishana waharifu? 3. Kule Congo yupo na watanzania kadhaa aliondoka nao...
  8. D

    We amini Mungu yupo tu inatosha. Ona yule kiboko ya wachawi anavyowacheka watanzania kuwa ni mazezeta

    Mi nilikuwa Mkatoliki baada ya kuona ni ukoloni na utumwa nikaamua kuachana na kwenda kanisani kabisa japo namuomba Mungu ki vyangu vyangu. Imagine Mapadre au Maaskofu wana pesa mpaka za kuhonga wanawake na wengine wanashinda bar wakinywa bia na shisha lakini waumini ndo wanakamuliwa kwa sadaka...
  9. Samia atosha tukutane2030

    Serikali isiishie kwa Kiboko ya Wachawi, kuna matapeli wengi sana kwenye uwanja wa dini Tanzania

    Zipo ishara nyingi za kumjua mtumishi tapeli. Leo nitaitoa ishara moja tu. 1.Kupenda pesa kuliko Mungu anayemhubiri. Mtumishi tapeli ni mtu anayepanda sana pesa kuliko kitu chochote. Utajuaje kuwa mtumishi huyu anapenda sana pesa? Jibu: Accounts zote za benki zinasoma jina lake, accounts za...
  10. GENTAMYCINE

    Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

    Baada ya serikali kulifungia Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya Wachawi, sasa mlinzi wake maarufu Mwarabufighter1 ameposti video kwenye mtandao wa kijamii akiwa na Mchungaji Dibwe Lubumbashi nchini Kongo. Soma pia: Kufungiwa kwa...
  11. M

    Kiboko ya wachawi aingia mtegoni

    Nabii kiboko ya wachawi aingia mtegoni na kuthibitika kua kweli ni tapeli baada ya Mwandishi kutoka Mwananchi Digital kupiga simu kwa kiboko ya wachawi na kujifanya mgonjwa na kiboko ya wachawi aliomba shilingi milioni kumi ili amponye. Licha ya Serikali kulifungia Kanisa la Christian Life...
  12. Suley2019

    MCL: Kiboko ya Wachawi aja na namna mpya ya upigaji

    Licha ya Serikali kulifungia Kanisa la Christian Life (CLC), lililoongozwa na Dominique Dibwe maarufu kama ‘Kiboko ya Wachawi’, imebainika kiongozi huyo wa dini anaendelea kutoa huduma hiyo, huku akiomba mamilioni ya fedha kwa waumini wake. Tofauti na awali, Dibwe ambaye ni raia wa Jamhuri ya...
  13. Samia atosha tukutane2030

    Serikali imemwonea Kiboko ya Wachawi

    Hoja 3 zilizowekwa kwenye barua ya kufungwa kwa Huduma ya Kiboko ya Wachawi ni hoja mfu. Binafsi nachukia na kupata hasira ninapoona mtu anafanya kazi ya Kristo kwa kuwalipisha watu Senti, kuwauzia watu vifaa vya kiroho au kusisitiza sadaka za kufunguliwa, sadaka za kubarikiwa, sadaka za...
  14. Pdidy

    Nabii tito amkana kiboko ya wachawi asema lazima afungiwe hakuna jinsi

    Huyu jamaa alikwenda kwa lulenge aakamsfia na makofi kibao kanisani Gafla kamkaqta naabii mwenzie anasema asiengeweza kuendelea na mahubiri kama yale ya kishenzii https://www.facebook.com/reel/1511150019497272/?mibextid=FqQbvRVe40gbju2b
  15. tpaul

    Huenda Kanisa la Kiboko ya Wachawi likafunguliwa hivi karibuni; huduma kuendelea kama kawaida

    Unaweza kusema ni suala la muda tu kabla kanisa la Kiboko ya Wachawi kufunguliwa na kuendelea na huduma kama kawaida. Matumaini haya yanatokana na kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke, ndugu Sixtus Mapunda ambaye amewaambia waumini wasiwe na wasiwasi wowote kuhusu kufungiwa kanisa lao. "Tunafahamu...
  16. GENTAMYCINE

    Sasa ni Agenda Maalum hatuishii tu kwa Kiboko ya Wachawi, ila akina Mwamposa na Mwasha nanyi mtafuata

    Hongeni muwezavyo na Rogeni muwezavyo ila Nguvu ya Mitandao haijawahi Kushindwa na Wapuuzi Duniani. Tofauti yenu na huyu Kiboko ya Wachawi mi ndogo sana ila nyote tu mnaogelea Bahari moja. Tumewachoka na hatuwataki Tanzania kwani mmeharibu mno Akili za Watanzania na kuwazidishia Umasikini huku...
  17. GENTAMYCINE

    Mke wa Kiboko ya Wachawi akamatwe haraka, yuko mbioni kutoroshwa kimafia na wajanja

    Fanyeni upesi kwani ama Usiku huu wa Leo au Kesho hatokuwa tena Ardhi ya Tanzania. Msije kusema GENTAMYCINE sijawaambia. Na mkimkamata mwambieni nchi ya Jirani aliyokimbilia Mumewe. Pia soma: Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali Kafanya Dhambi kubwa sana kwa...
  18. Pdidy

    Kiboko ya Wachawi ashtakiwe arudishe pesa za watu, na afungwe iwe fundisho kwa wahuni wote wa aina hii

    Ee Mungu Baba wa rehema mjaza neema ndogo ndogo na kubwaa unayejibu kwa Moto Ahsante kwa kuwa unajibu sawa sawa na maombi yetu Kamwe hujawahi kushindwa kamwe hujawahi kumwacha mtu wako akitapeliwa wala kutaharika Tunakushukuru kwa yote ktk jina la mwanao Yesu Kristo alie hai Huyu Baba...
  19. GENTAMYCINE

    Nani aliyemwambia 'Kiboko ya Wachawi' akimbie Nchini baada ya Kanisa lake la Kitapeli Buza Kufungiwa?

    Taarifa za uhakika ni kwamba Kakimbia nchini baada ya kuambiwa kuwa angeweza Kukamatwa hasa baada ya baadhi ya Waumini waliokuwa Wakisali pale Kwake kulalamika kuwa Wametapeliwa nae sana huku Wengine wakitaka Kumshtaki kwa kusababisha Ndoa zao Kuvunjika na Familia zao kuwa katika Uadui na Chuki...
  20. C

    Serikali taifisha akaunti ya pesa ya kiboko ya wachawi, kavuna sana hela kwa mujibu wa waumini wake! Adhabu ya kufungiwa pekee haitoshi kamwe

    Kwenye mada. Tunaona mitandao ana trends sana jamaa mimi nimeanza kumfahamu huyu bwana kupitia nyimbo ya singeli nikaanza kumfuatilia huyu bwana inakuwaje kwa hichi anachokifanya anapata watu.??? Nikagundua tanzania tuna tuna uwezo mdogo sana katika kuchakata mambo na kuyatafakari. Ilikuwaje...
Back
Top Bottom