kiboko ya wachawi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Kiboko ya wachawi kafanyiwa zengwe. Kama serikali iko serious iwafungie Suguye, Dr. Sule, Mwamposa, mzee wa upako, n.k

    Mimi ni miongoni mwa watu wanaozichukia sana hizi huduma za watu binafsi za kidini. Kama kweli wana hizo nguvu za kuleta utajiri, kuondoa magonjwa n.k basi wote wakusanywe uwanja taifa waombee watanzania wote wawe matajiri na wapone magonjwa yanayowasumbua. Suguye anakusanya kucha na nywele za...
  2. Mshana Jr

    Kiboko ya Wachawi alikosa connection ama connection ilipigwa ngeta?

    Fredick Sumaye aliyekuwa waziri mkuu wa Mkapa aliwahi kusema. Ukitaka mambo yako yanyooke jiunge na CCM. Je, kiboko ya wachawi hakuzingatia huu ushauri? Pamoja na sababu zote zitakazosemwa ku justify kifungo chake bado kuna wenzake waliotenda mabaya zaidi na bado wanadunda kwa raha zao. Kuna...
  3. GENTAMYCINE

    Mwamposa naona sasa baada ya Mpinzani wako na uliyekuwa ukimuogopa 'Kiboko ya Wachawi' Kufungiwa na Serikali, umenenepa ghafla

    Tunajua umetumia Nguvu kubwa na Ukaribu wako na Waandamizi wote wa Chama na Serikali katika Kuwashawishi wafanye wawezavyo ili Mpinzani wako Kiboko ya Wachawi apigwe Pingu ya Kihuduma kwani nasikia hata sehemu ya Waumini wako walikuwa wanaanza Kukukimbia na kwenda Kwake Buza.
  4. USSR

    Kiboko ya wachawi amewalipa mamluki waje kumpigania kanisani, serikali iwe macho, unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii

    Baada ya kikao chake na watendaji jana walikubalia waite mamluki waje kumpigania leo asubuhi kwa ujira wa buku teni . Unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii hapa ili kupanua wigo wa kujifunza kuhusu hilo kanisa mpaka kufungiwa na unabii batili USSR
  5. Erythrocyte

    Waumini wa Mchungaji Domique Kashoix Dibwe, maarufu 'Kiboko ya Wachawi' wafurika Kanisani kusubiri ibada hata baada ya kanisa kufungwa

    Pamoja na Kanisa lao kufungiwa na serikali ya Tanzania, lakini Waumini wake wamemiminika kwa wingi leo kanisani hapo wakiamini Ibada ipo Je yawezekana hawakusikia Tangazo la Serikali? ============= Kiongozi wa Kanisa la Christian Life Church, Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya...
  6. stabilityman

    Kanisa la kiboko ya wachawi limefungwa Rasmi

    Asanteeee serikali KAULI NZITO YA ASKOFU BAADA YA SERIKALI KUFUNGA 'KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI! Ndugu Watanzania! Leo ni Siku ya Dominika. Lakini ninapojiandaa na mimi kwenda 'kukomunika' pamoja na watu wengine wa Mungu kama ilivyo desturi yetu ya Wakristo kwa siku kama ya leo, nimewiwa sana...
  7. GENTAMYCINE

    Serikali kama hii Taarifa ya Kufungiwa kwa Tapeli Kiboko ya Wachawi ni kweli kwanini na Matapeli wengine Wakomavu wa Kawe na Kimara Temboni wameachwa?

    Acheni Double Standards tena nadhani huyu wa Buza ( Kiboko ya Wachawi ) hana Madhara sana japo ni Tapeli kama hawa Wawili wa Tanganyika Packers Kawe na Kimara Temboni. Halafu Serikali mkiona tu jambo fulani GENTAMYCINE nalijadili au nalizungumza mno hapa JamiiForums kwa 100% jueni si zuri na...
  8. M

    Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

    Serikali kweli IPO kazini Kwa kuchukua hatua ya haraka pale inapobainika mahali watu wanaenda isivyo. Kiboko ya wachawi amekuwa akimfanyia kazi ya Mungu kama kufanya uganga na ushirikina ufanyikavyo. Pia soma: DOKEZO - Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya...
  9. beth

    Nini kimemkuta Waziri wa zamani na Wakili Msomi, Lawrence Masha hadi kufika kwa “Kiboko ya Wachawi”?

    Nini kimemkumba Lawrence Masha? Nimeshangaa sana kukutana na hii video ikizunguka mtandaoni eti yupo kwa huyu anayejiita Pastor, Kiboko ya Wachawi sijui. Naelewa kwenye maisha kuna kupanda na kushuka lakini inakuwaje mtu msomi kama Masha mwenye Shahada ya Uzamili ya Sheria (LL.M) kutoka Kituo...
  10. matunduizi

    Wanaoanguka kanisani ni wanaopenda, wapiga picha na mabodigadi hawaanguki kwa sababu hawataki

    Katika kuperuzi huku na kule nimekutana na usahili wa huyu bingwa Kiboko ya Wachawi na mwandishi mmoja. Anaulizwa mbona mabodigadi, wapiga picha na vinanda hawaanguki kama wale waumini anasema ni kwa sababu hawataki kuanguka, hata waumini wakitaka wanaweza kutoanguka. Ni jambo la hiyari ya mtu...
  11. S

    Mzee wa Upako Anthony Lusekelo alipotembelea kanisa la Pastor Dominique Dibwe, maarufu Kiboko ya Wachawi

    Njaa haina Baunsa na shida zisikie tu. Mzee wa Upako Antony Lusekelo ajisalimisha kwa kiboko ya wachawi Buza kupata huduma. Nani anamloga huyo mzee wa Upako? Laa dunia hii isikie kwenye radio.
  12. G

    Mfupa wa kitimoto kiboko ya wachawi.

    Wasaalam. Tangia nipewe hii elimu ya kuweka mfupa kwenye Kona za nyumbani kwangu!. Ile Hali ya kukabwa usiku na wachawi(majinamizi) imeisha kwakweli. Nawasilisha.
  13. dume30

    Wizara husika imchunguze Pastor Dominick (kiboko ya wachawi)

    Naomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa. 1. Mahubiri yake na maombi ni chonganishi(ni kama ramli), anagombanisha ndugu bila...
  14. A

    DOKEZO Responded Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"

    Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Utangulizi Mimi ni raia wa Tanzania, Mkristo kwa imani. Lakini nasikitishwa na kile kinachoendelea katika huduma ya Nabii wa Uongo anayejiita “Nabii Dominiki, Kiboko ya Wachawi”, mwenye Huduma yake DSM, WILAYA YA TEMEKE, BUZA – MTAA...
  15. Expensive life

    Kumuona nabii kiboko ya wachawi ni laki tano

    Kama haujawahi kukutana na matatizo basi unaweza kushangaa hili, watu wanamatatizo ndugu zangu. Nina ndugu yangu ni mtoto mdogo tu kama unavyojua tena maisha ya vijijini mabinti huolewa mapema, umri wa miaka 25 tu anatesea na masuala ya uzazi. Mume anataka mtoto, mimba akishika tumbo halikui...
Back
Top Bottom