Peter Kibatala , Wakili wa Jeniffer Jovin 'Niffer' na wenzake amesema kuwa mteja wake kabla ya kusomewa mashtaka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa tuhuma za uhaini alipigwa na kulazimishwa kutoa maelezo hivyo mahakama imeamuru watuhumiwa hao wapatiwe matibabu na ripoti ya matibabu...
Baada ya tukio linalodhaniwa la kutekwa polepole wakili msomi alitakiwa kufanya kilakitu kuhakiki ukweli wa taarifa mfano.
1. Kwenda eneo la tukio na kupata ushaidi mfano.
A. Kuna camera
B. Damu ilitapakaa pale ni ya polepole kweli na sio ya mbuzi au kuku.
C. Kutafuta wapelelezi binafsi ili...
Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam imepanga Oktoba 9, 2025 kusikiliza maombi ya Wakili Peter Kibatala juu ya madai ya kutekwa kwa Mwanasiasa Humphrey Polepole.
Wakili Kibatala aliwasilisha maombi hayo chini ya hati ya dharura, Oktoba 7, 2025 akiiomba mahakama itoe amri ya...
Wakili maarufu Peter Kibatala, ametaka mamlaka za usalama nchini Tanzania kutumia rasilimali zote kuhakikisha hali ya usalama wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba Humphrey Polepole inajulikana na kuwekwa wazi kwa umma, kufuatia taarifa zinazodai kuwa mwanasiasa huyo ametekwa.
Kupitia...
Akizungumza kwaniaba ya jopo la Mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa Chadema Taifa Tundu Lissu baada ya Kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni kuahirishwa mpaka Julai 1, 2025, Wakili Peter Kibatala amesema kwamba walikuwa wamejipanga kwa ajili ya Shahidi ambaye ameanza kutoa ushahidi leo...
Kama ulikuwa ushahidi wa kutunga, ushahidi alioutoa akija on a latter date for cross examination , atakuwa amesahau! na hivyo unamkanyaga kisawasawa.
Sasa kwanini Kibatala alikuwa nakataa?
Hoja ya Wakili msomi Peter Kibatala kuwa jina la kanisa kwenye barua liyotumika kulifunga kanisa la Gwajima ni tofauti na jina la kanisa la Gwajima lililopo kwenye usajili, hivyo kulifunga kanisa la Gwajima ni makosa, Hoja kama hii ni nyepesi sana kwa mtu ambae anafahamika (raia, mbunge na...
Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa...
askofu gwajima
barua
fake
gwajima
halali
hisia
kanisa
kanisa la askofu gwajima
kanisa la gwajima
kibatala
mambo
mambo ya
mambo ya ndani
mitandaoni
moderator
ndani
peter kibatala
sakata
sintofahamu
thread
waziri
yangu
Wakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima.
Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu...
Nimewafuatilia vizuri, na umesikia. Habari ya Hisia na Mihemko haina nafasi. Pambano limeisha ila Vita inaendelea. Kila la Heri. Thread imekamilika endeleeni kusema
Leo Mei 3, Mawakili wanaomtetea mshtakiwa Tundu Lissu wanazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari.
https://www.youtube.com/live/qwDj_39LjYk?si=p81m5_E7ICnpOth1
Kibatala: Intelijensia inayotumika kuthibiti maandamano ingetumika kuepusha kushambuliwa kwa Padre.Kitima na Mdude...
Wakili Peter Kibatala ambaye ni mmoja wa Mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ametoa wito kwa Wananchi watakaohudhuria wakati wa kesi inayomkabili mteja wao katika Mahakama ya Kisutu kuwa na utulivu ili wasije kufanya tukio ambalo linaweza kutumika kuwa kisingizio cha...
Hao akina Kibatala na wenzake wanaomtetea Tundu Lissu wameambiwa na Mwanasheria Mkuu wa serikali kuacha uwongo na upototoshaji kuhusu mahakama mtandao.
Kumbuka mawakili wote ni maafisa wa mahakama na huteuliwa na serikali. Mamlaka yao ya uteuzi na utenguzi ni Jaji Mkuu. Mwanasheria Mkuu wa...
Mkurugenzi na mwanasheria wa chama kwa sasa hawana mvuto ndani ya nje ya chama.
Licha ya mwanasheria kuwa Phd from Havard University lakini ukweli katika kesi za kisiasa haziwezi. Uwasiliwashaji wake mbele ya jamii sio mzuri
Sijui kwanini walimtenga kibatala ktk uongozi wa CHADEMA
Kibatala...
Jaribio lolote la kutomfikisha Mahakamani Antipas Tundu Lissu Mughwai tarehe 24 Aprili 2025 litakutana na upinzani mkali wa kisheria. Tunaamini kuwa wale walio na dhamana hawatajishughulisha na mipango ya kipuuzi ya aina hiyo.
Tunataka Antipas Tundu Lissu Mughwai ashtakiwe hadharani kabisa...
Kesi ya jinai nambari 11805 Jamhuri dhidi ya Boniface Jacob na Godlisten Malisa ilisikilizwa juzi, Jumanne, Aprili 12, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Ifuatayo ni sehemu ya cross examination kati ya Wakili Msomi Peter Kibatala na Shahidi wa Jamhuri.
KIBATALA: Shahidi, ikumbushe...
Kesi ya jinai nambari 11805 Jamhuri dhidi ya Boniface Jacob na Godlisten Malisa ilisikilizwa juzi, Jumanne, Aprili 12, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Ifuatayo ni sehemu ya cross examination kati ya Wakili Msomi Peter Kibatala na Shahidi wa Jamhuri.
KIBATALA: Shahidi, ikumbushe...
Wakili msomi maarufu Nchini Tanzania na ambaye mara zote hujizolea sifa kemkem kwa uhodari wake asimamiapo kesi za Wana-CHADEMA na hususani Viongozi wake inaelezwa ame-wataarifu watu wa karibu yake kukatishwa tamaa/kusononeshwa na atendewayo Lissu ikiwamo kutwezwa.
"....Kibatala anafikiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.