kibaha

Kibaha is a city, with a population of 128,488 (2012 census), located in eastern Tanzania. It is the capital of Pwani Region. It is located in Kibaha District, one of the six districts of Pwani Region.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha Msufini

    NYUMBA (BINAFSI) NZURI IMEJENGWA KISASA INAUZWA MSUFINI MLANDIZI. IKO KWENYE CORNER PLOT, NI KILOMITA 1 TU TOKA MAIN ROAD LOC : KIBAHA KARIBU NA MSUFINI MLANDIZI AREA :SQM 534 PRICE : MIL 38 UMILIKI :HATI SIFA:- -INA VYUMBA 3, MASTER 1 -SITTING ROOM -DINNING -JIKO KUBWA NA STORE -CHOO CHA...
  2. JamiiForums Tanzania Stand ya Loliondo Kibaha aibu kwa Serikali ya Mkoa wa Pwani

    Bado changamoto nyingi tulizonazo zinasababishwa na watawala na serikali zetu za kiafrika. Kwa Akili ya kawaida na viongozi wenye Akili timamu hawawezi kulazimisha kila Bus dogo linaloenda kwa Mattias, kongowe au mlandizi kupitia Loliondo. Miundombinu ya kuingia njia hiyo ndio shida ilipo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 8 aliepotea Kibaha na kukutwa ametupwa shimoni na amekufa: Ni sahihi Polisi kusema usubiri masaa 24 kabla ya kuripoti kupotea mtoto?

    Kuna tukio la hivi karibuni la Kibaha, ambapo wazazi wa mtoto wa kike wa miaka 8, Angel, mwanafunzi wa darasa la 2, walienda Polisi kuripoti kupotelewa mtoto, wakaambiwa Polisi hawawezi kupokea taarifa yao ya kupotelewa mtoto na inabidi wasubiri kwanza masaa 24 ndio wakaripoti kupotelewa mtoto...
  4. JamiiForums Tanzania Vunja bei: Nauza mafuta ya alizeti katika ujazo wa lita 5 kwa bei sawa na bure

    Habari, Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 5 kwa TZS 24,000/- : * Mafuta ni masafi * Hayana harufu, * Sio ya kuchemsha na * Si machungu * Muonekano wake unaita. Mzigo upo Kibaha mjini. Kama una uhitaji karibu PM au nicheki kupitia namba 0787454580...
  5. JamiiForums Tanzania Barabara za Mtaa Kibaha Maili Moja hali ni mbaya, Mbunge kaingia mitini, DC na RC wameuchuna tu

    Haya ndio Maisha yetu watu wa Kibaha Maili Moja, hii ni sehemu tu ya mfano mdogo jinsi changamoto ya Barabara ilivyo hasa mvua zinaponyesha. Watu wameshapiga kelele sana kuhusu hii Barabara inayoanzia Kituo cha Sheli kuelekea Muheza hadi Mpiji, sasa hivi magari hayapiti kwa urahisi, yakipita ni...
  6. JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Mji Kibaha tatueni kero za barabara mbovu katika Kata ya Maili Moja

    Kama kuna aibu inayoinyemelea Halmashauri ya Mji Kibaha ni ubovu wa miundombinu ya barabara zake, na hasa zilizopo katikati ya Mji (Kata ya Maili Moja). Hii ni kero ya muda mrefu sana, kwa Halmashauri ya Mji Kibaha kushindwa kuweka vipaumbele vya ujenzi wa barabara za pembezoni na hasa katika...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Maji Kibaha kuna urasimu mkubwa sana

    Ukiomba kupata huduma ya kuunganishiwa maji DAWASCO Kibaha, uwe umejiandaa kifedha. Zoezi linaanza kumpata surveyor, bila elfu hamsini hatafika site. Ukishatoa hiyo hela na surveyor akapima zoezi. linalofuata ni kuingizwa kwenye mifumo yao hatimae upate Control Number kwa ajili ya kulipia...
  8. JamiiForums Tanzania House4Sale House for sale at Kibaha Mlandizi

    Ina vyumba 4, viwili master bedroom. Kiwanja kikubwa, square meter 1200 Umbali km 1 kutoka Morogoro road. Umeme na maji vipo Bei milioni 45
  9. JamiiForums Tanzania Mwalimu afanywa chizi kisa na mkasa ni huu!

    Ubhukile msani wa JF. Kwa kifupi; Nilikuwa napita maeneo fulani hapa Lushoto nikamuona dada flani akipita na kuimba huku akikata kiuno ndipo nikakumbuka stori hii hapa chini. Ilikuwa tarehe za mwishoni mwa mwaka nikitokea Dar to Iringa nikapata usafiri wa IT iliyokuwa inaenda Zambia, tulifika...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja kibaha kwa Mfipa mil. 1.5

    NIMEKWAMA NAUZA ENEO LANGU KIBAHA KWA MFIPA. LIKO SEHEMU NZURI HUDUMA MUHIMU ZIPO. NGUZO MBILI ZA UMEME MPAKA SAITI. MCHANGA UKO HAPO HAPO TOFARI MAPAKA SITE TSH. 750 MAJI YAPO JIRANI TUPO KWENYE MCHAKATO WA KUYAINGIZA KUTOKA MAIN ROAD KM. 1.5 Square mita 300 Bado sijapata mteja sahihi. NATAKA...
  11. JamiiForums Tanzania Taka zinazozagaa Maili Moja - Kibaha ni hatari kwa afya, Mamlaka zimelala?

    Hivi ndivyo hali ilivyo mitaa ya Maili Moja, Kibaha Mkoani Pwani, sehemu ya kutupia taka imegeuka kuwa taka pia. Kicha ya kuwa kuna chombo maalum cha kuweka taka lakini hakitumiki inavyotakiwa na n ahata kama taka zote zilizosambaa chini zingewekwa kwenye pipa hilo bado zisingetosha. Nasema...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Serikali badilisheni pori tengefu la Kibaha liwe eneo la makazi!

    Naomba kuishauri serikali kupitia wizara ya Ardhi kuangalia uwezekano kubatilisha matumizi ya pori tengefu lililopo Kibaha mkoa wa pwani liwe eneo la makazi ya watu na matumizi mengineyo! Eneo hili lilihodhiwa na shirika la Elimu Kibaha ambapo kwa sasa shirika hilo limefutwa! Pori hili...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kibaha maili moja

    Kisiwe mbali na lami, yaani isizidi 3km. Ukubwa usipungue 30×35 au around hapo. Kiwe tambarare. Pesa ipo kwenye mfuko wa shati. (Kama bei itakuwa reasonable).
  14. JamiiForums Tanzania Mvua kubwa ilioambatana na upepo imenyesha Kibaha

    Nimetubu sala zote asikwambie mtu, upepo ni mkali sana pamoja na radi.
  15. JamiiForums Tanzania KERO Barabara za Jimbo la Kibaha Mjini (Pwani) hali ni mbaya, mvua ikinyesha Wananchi wanateseka

    Hivi ndivyo ilivyo maeneo ya mitaa ya Kibaha, Maili Moja Mkoani Pwani, mvua zikinyesha tu basi miundombinu hasa barabara hazipitiki kirahisi kama hivi inavyoonekana. Mbunge wa Jimbo hilo la Kibaha Mjini ni Silvestry Fransis Koka ambaye amekuwepo katika nafasi hiyo kwa muda mrefu lakini suala la...
  16. JamiiForums Tanzania Paving za kituo cha mabasi kibaha kurekebishwa upya, hazina hata miaka 8 ya kutumika

    Baadhi ya maeno ya paving kwenyw kituo cha mabasi kibaha maili moja yanafanyiwa marekebisho, kituo hizi hakijazidi miaka nane tangu kigunguliwe rasmi. Kwa mujibu wa website ya kibaha mji, ujenzi uligharimu 3.3 bilions, na kilianza kutumika October 2018. Stendi Kuu Mpya Kibaha Kuanza Kutumika...
  17. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kibaha

    Kibaha msangani juhudi. Kipo karibia na stend ya bajaji Km 5 KUtoka morogoro road Ukubwa mita 20 kwa 20 Milioni tatu na nusu. Barabara nzuri ya lami. Umeme na maji vimefika.
  18. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa bei chee Kibaha kwa Mfipa upande wa chuo

    Habari Nauza kiwanja Kibaha kwa mfipa chenye ukubwa wa miguu 20 kw 19 Bei ni Tshs 3,500,000 maongezi kidogo yapo Kiwanja ni changu mwenye, kipo sehemu nzuri na huo mtaa maji, umeme na huduma zote za kijamii zipo Njoo nikuuzie umiliki kiwanja leo hii mana kadri siku zinavyokwenda ardhi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanafunzi wa Kibaha College of Health and Allied Sciences

    .
  20. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded TAKUKURU chunguzeni Halmashauri ya Mji wa Kibaha pananuka wizi kuhusu ardhi

    Nawapa alarm TAKUKURU, Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani inanuka wizi wa fedha za wananchi kupitia urasimishaji wa makazi na upimaji wa viwanja katika kata mbalimbali ndani ya Mji wa Kibaha hasa, Kata ya Pangani kwenye mitaa ya Kidimu, Lumumba na Mkombozi. Kwanza awali wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…