kiafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna nyakati nchi za Kiafrika zitaongozwa na Viongozi Manyani

    Ni ishu ya muda tu ila hali ngumu ya maisha wanayoipitia binadamu wa mataifa ya Africa ipo siku nyani watapenya huko juu, Manyani yana uwezo wa kukwea kila aina zote za miti. Sasa nyani watafanya nini wakiwa na dhamana kwenye nchi zao, hilo mtajua kazi ya nyani ni ipi. Naomba tushirikiane...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa Kiafrika wanaona miundo ya Kidemokrasia Afrika inahitaji maboresho

    Licha ya hamu kubwa ya kidemokrasia, vijana wa Kiafrika hawana nia ya kuiga demokrasia za Magharibi. Badala yake, wanafikiri kuwa miundo na mifumo ya kidemokrasia inapaswa kubadilishwa ili kuendana na mazingira ya ndani ili kufanikiwa. Kwa mujibu wa utafiti wa African Youth Survey wa mwaka...
  3. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa Kiafrika wanakubaliana na Demokrasia kama njia bora ya Uongozi

    Vijana wa Afrika wanazidi kupaza sauti zao, na ujumbe wao ni wazi: demokrasia ni mfumo bora wa serikali ambao nchi zao zinapaswa kuufuata. Utafiti wa African Youth Survey wa mwaka 2022 unaonesha idadi kubwa ya vijana wa Kiafrika, kutoka katika nchi mbalimbali za bara hilo, wanaunga mkono...
  4. JamiiForums Tanzania Ni vitu gani vijana wa kiafrika tunaweza kujifunza kutoka kwa wajapani?

    Habari wanajf Japani ni nchi inayoendelea kwa Kasi Sana, vijana wapo busy sana , wanajali mda sana, na wanasaidiana wao kwa wao hata mitandao yaao ya kijamii Ina mada zinazolenga kujifunza kitu fulani. Vijana wa kiafrika tuna mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa wajapani ili kulikomboa...
  5. JamiiForums Tanzania Ni vitu gani vijana wa kiafrika tunaweza kujifunza kutoka kwa Wajapani?

    Habari wanajf Japani ni nchi inayoendelea kwa Kasi Sana, vijana wapo busy sana , wanajali mda sana, na wanasaidiana wao kwa wao. Hata mitandao yaao ya kijamii Ina mada zinazolenga kujifunza kitu fulani. Vijana wa kiafrika tuna mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa wajapani ili kulikomboa...
  6. JamiiForums Tanzania Kumbe huu ndo mtazamo wa Wazungu kuhusu watawala nchi za kiafrika?

    Nilikaa sehemu hivi hapa Morogoro sehemu inaitwa Amadia nikisubiri passport size pictures nilizokua nimepiga moja ya studio maeneo haya. Pembeni alikua amekaa Mzungu mzee wa makamo 70 years + kumkadiria. Nikamsalimia na yakaanza maongezi ya hapa na pale. Kuna mambo kadhaa aliongea...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya Nchi za Kiafrika zina Majambazi na Magenge ya Dola badala ya vyombo vya Dola

    Wasalaam nyote, Kwa ufupi ifahamike hivyo ya kwamba kuna Nchi nyingi tu za Kiafrika zina Majambazi na Magenge ya Dola badala ya vyombo vya Dola. Kwa msingi huo usitarajie miujiza ya hivyo vyombo kufanya kazi kwa ustawi wa jamii zao na nchi zao. Ni hayo tu. Shukrani 🙏🙏🙏 Wadiz
  8. JamiiForums Tanzania Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

    Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Kiafrika na Akili za Ki-Esau Esau

    Asalaam Aleykum, Mwanzo 27:1-46, Biblia inaelezea kisa cha mzaliwa wa kwanza wa Mzee Isaka (Isihaka) ambaye aliitwa Esau pamoja na mdogo wake Yakobo (Yakub). Kulingana na mila na tamaduni za kipindi hicho, Esau alikuwa ni kiongozi automatically kwa maana ndiye alikuwa mzaliwa wa kwanza. Kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Niger waunga mkono mapinduzi ya kijeshi. Wanasisa wa Kiafrika wanakuwa vibaraka wa mabeberu na kuwasahau wananchi

    Katika hali ya kawaida, ungetegemea wananchi kutokuunga mkono mapinduzi dhidi ya viongozi wao waliowachagua wenyewe. Tatizo ni kwamba baada ya kuchaguliwa viongozi huamua kuwa vibaraka wa mabeberu wa nchi za magharibi na kuwasahau wananchi waliowaweka madarakani. Sasa Rais aliyepinduliwa...
  11. JamiiForums Tanzania Marais wa Afrika angalieni njaa zenu zisiwatoe akili

    Ushiriki wa Marais wa nchi za Afrika uliofanyika jiijini ST. Petersburg nchini Urusi si sahihi kuupa sura kuwa Marais hao wamemsusia raisi Putin kama wapinzani wa nje wa Urusi wanavyojaribu kuteka akili za watu. Jumla ya Marais 17 wameshiriki na wawakilishi wa nchi 47 wameripoti kwenye mkutano...
  12. JamiiForums Tanzania Katika umri wa miaka 10 tu, kuna tofauti KUBWA SANA kati ya mtoto wa kiafrika na mtoto wa kizungu

    Nimeshangaa sana kusoma habari kwa millard Ayo eti mtoto wa miaka 8 huko kwa Obama ameiba Gari na amekimbizana na Polisi barabarani😂😂😂 At 8 years mtoto anajua driving? Ana control barabarani kabisa in busy roads? Huku Afrika huyu mtoto akitumwa dukani tu anakunjiwa elfu 10 kwenye karatasi...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa kiafrika hawataki kuwa matajiri, ila wanataka haki sawa?

    KWANINI WANAWAKE KAMWE HAWATAKI WAWE MATAJIRI?? Wakati mwingine nikikaa peke yangu nakuwa na maswali yangu halafu mengine ninapata majibu haraka sana. Ni majuzi kati tu hapo nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini Afrika ni vigumu sana kumkuta mwanamke ni tajiri? Ama kukutana na mwanamke mwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Makundi ya Waislamu Waafrika wavamia na kuzuia sherehe za kusheherekea tamaduni za Kiafrika

    Yale yale tu, Waafrika wanakusanyika kusheherekea tamaduni na desturi za Kiafrika kisha Waislamu Waafrika wakaibuka na kuzuia na kusema zifuatwe tu tamaduni za Kiarabu yaani Kiislamu kwenye mkoa wa Yoruba, Nigeria, Afrika........ A Muslim group, Majlisu Shabab li Ulamahu Society, in Ilorin...
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora katika Nchi za Kiafrika: Changamoto, Fursa na Mifano ya Dunia

    UTAWALA BORA KATIKA NCHI ZA KIAFRIKA: CHANGAMOTO, FURSA NA MIFANO YA DUNIA Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Muktadha: Utawala bora ni suala muhimu katika maendeleo ya jamii yoyote. Katika nchi za Kiafrika, suala hili limekuwa likijadiliwa sana kutokana na changamoto mbalimbali zinazokabili...
  16. JamiiForums Tanzania Ni rahisi kwa Mzazi wa Kiafrika kukutukana kuliko kukwambia 'Nakupenda Mwanangu'

    Malezi ya Kiafrika yana changamoto sana, licha ya kuwa kila mzazi ana njia zake za kumlea mtoto lakini kwa Afrika huku nyingi zinafanana, ikiwemo kuchapa, kufokea, kutukana, kusemwa vibaya na mengine mengi. Hali imesababisha madhara makubwa kwa watoto wengi na kuharibu tabia kiasi cha kuwa...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Kiafrika zenye mamilionea wengi

    Ifuatayo ni orodha ya nchi 10 za kiafrika zenye dola millionaire wengi. =============== Top 10 countries in Africa with the highest number of millionaires in 2023 Business Insider Africa presents the top 10 countries in Africa with the highest number of millionaires in 2023. This list is...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja wa kiafrika ashangaa Waziri kutembea kwa miguu kulelekea kazini

    Video Dada wa kiafrika kakutana na waziri mkuu wa Netherland, anakwenda ofisini kwa mguu akitokea nyumbani kwake... Dada anashangaa anahema kwa mshangao akikumbuka Afrika huku😃 mpaka katibu tarafa ana king'ora
  19. I

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za kiafrika zilizoongoza kwa uzalishaji wa maliasili mbalimbali kwa mwaka 2022

    Ifuatayo ni orodha ya mataifa 10 ya kiafrika yaliyo ongoza kwa uzalishaji wa maliasili mbalimbali kama Madini, Mafuta Ghafi nk kwa mwaka uliopita 2022 kwa bahati mbaya Tanzania sio miongoni mwa mataifa hayo pamoja na kwamba tunaambiwa kwamba nchi yetu ni moja ya nchi tajiri sana Afrika kama sio...
  20. JamiiForums Tanzania Naombeni kujua dini ya Kiafrika, nijiunge nayo

    Salam! Mimi ni Muumini wa uwepo wa Mungu. Lakini pia huamini dini ni njia ya kumfuata huyo Mungu. Na kila mazingira huwa na dini yao. Waarabu wana Uislam wao, Wayahudi wanayo yao, Wachina wanayo yao. Naombeni ya kwetu Waafrika au hata Watanzania ili niungane nayo!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…