kiafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Level ya awareness ambayo inaendelelea kuwa katika jamii ya vijana wa kiafrika inatia moyo sana, it will take time although

    Kuna wakati watu weusi walijua sababu za tabu zao ni kwa maana wao ni kizazi cha laana na unyonyaji wa wazungu. Bado sehemu kubwa ya jamii ya kiafrika inajua dini ndio mkombozi wa uduni wao. Leo ndio vijana wanakuja kuelewa kuwa mzungu aliwatawala sio kwa sababu ya unyonge wao bali utengano na...
  2. Multiparty democracy ni sumu kwa mataifa masikini hasa ya Kiafrika

    Yes habari za masiku ndugu zangu na poleni nyote Kwa kadhia tuliyoipata kwa kusimamishwa Kwa muda Kwa platform yetu pendwa ila hope now tupo sawa. Happy new year pia nawatakiwa kila lakheri katika huu mwaka mpya wa 2026. Binafsi nimekaa nikafanya utafiti wa historia mbali mbali na kutafakari...
  3. viongozi wa kiafrika tunapaswa kuiga nchi zilizo endelea tuache ujinga na upumbavu

    viongozi wa kiafrika tunapaswa kuiga nchi zilizo endelea tuache ujinga na upumbavu
  4. Nichagulieni jina la kiafrika la kitanzania la kitamaduni lililokaa kipesa pesa kitajiri tajiri

    Kuna thread flan nmeisoma hapa kuhusu matajiri haswa Kanda ya ziwa huko, majina yao ni ya kitamaduni tamaduni flani na ya kiafrika sio Wala ya kizungu Embu nichagulieni Moja na Mimi,.. Embu ona majina yao, OTAWA, SAULI, LUGUMI, Kuna yule mwamba wa mwanza bilionea yule..nimemsahau jina ., mzee...
  5. Falsafa ya CCM ya Uhuru na kujitegemea ndiyo inayolifaa bara la Africa katika Karne hii ya sasa.

    Licha ya heshima kubwa waliojijengea wafuasi na wanachama wa CCM nchini na Duniani kwa kudumisha uzalendo na kuheshimu utu wa watu, CCM ni chama cha kizalendo kwelikweli kwani Bado kinaamini kwenye falsafa ya uhuru na kujitegemea, hakimsujudu beberu yoyote kinajiamini kwenye utendaji kazi wake...
  6. R

    Sikiliza lugha ya madikiteita wa kiafrika, lugha yao ni moja!

    Sikiliza clip hii. Majitu haya yanasahau yanayowafanyia wapinzani wao wa kisiasa!
  7. Ukweli mchungu kuhusu Ndoa za Kiafrika!

    Siku ya kwanza, Mwanaume anasikiliza na Mwanamke anasikiliza, Padre ndio anaongea. Mwaka wa kwanza wa ndoa, Mwanaume anaongea Mwanamke anasikiliza. Mwaka wa pili, Mwanamke ndio anaongea. Mwanaume unasililiza. Mwaka wa tatu, Mwanaume unaongea na Mwanamke anaongea, Majirani wanasikiliza...
  8. B

    Nchi tano za Kiafrika zimenyimwa kuingia UAE

    UAE imeweka masharti magumu kwa nchi za kiafrika https://m.youtube.com/watch?v=jFr3iC4irFw UAE na Abu Dhabi kuanzia January 2026 zuio hilo litaanza kutumika biashara, matembezi, kazi . Raia wa kigeni kutoka nchi zilizoorodheshwa ambao tayari wanaishi kihalali katika UAE wakiwa na viza halali...
  9. Mtazamo wa Jamii za kiafrika unavyoathiri uongozi wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu

    Tanzania imeweka historia kwa kuwa na Rais wa kwanza mwanamke, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Lakini pamoja na mafanikio makubwa aliyoyapata katika kipindi kifupi cha uongozi wake, bado anakabiliana na changamoto kubwa moja: mtazamo wa kijamii wa Kiafrika kuhusu nafasi ya mwanamke katika...
  10. H

    Adui wa maendeleo ya Mwafrika/Mtanzania ni wasomi wa kiafrika siyo maradhi,ujinga na umasikini tena!

    Adui wa maendeleo ya Mwafrika/Mtanzania ni wasomi wa kiafrika siyo maradhi,ujinga na umasikini tena,kwanini hao wabunge na viongozi wasomi wameshindwa kuondoa umasikini,ujinga na maradhi kama kweli elimu yao ni muhimu na suluhisho la matatizo?
  11. L

    Shindano la uvumbuzi linaloongozwa na China laangazia vijana wa Kiafrika wanaoendesha mabadiliko endelevu

    Lavenda Chepkirui, mwanafunzi mwenye umri wa miaka 25 kutoka Chuo Kikuu cha Kabianga nchini Kenya, alipiga hatua kubwa ya kutimiza maono yake ya kubadilisha kilimo barani Afrika kwa kutumia suluhu rafiki kwa mazingira. Uvumbuzi wake, plastiki ya kwenye udongo inayoweza kuoza ambayo...
  12. M

    Family time ya kiafrika ni baba asiwepo ndio watoto wanakuwa huru, Baba ukiwepo akijumuika kunakuwa hakuna uhuru

    Kwa asili yetu waafrika wengi baba anafaa zaidi kwenye mijumuiko inayohitaji maamuzi na kuonekana kama kichwa mfano kwenye vikao, misiba, sherehe, kuitetea familia kwenye hatari, n.k. Mama ndie anaonekana kufaa zaidi kwenye family time iwe ni kukaa pamoja sebuleni, kula pamoja, kwenda out...
  13. Je, Vijana wa Kiafrika Wana Nafasi Katika Mapinduzi ya AI Bila Kuhama Bara?

    Nimekutana na kauli nzito ya mjasiriamali wa teknolojia Isaya Yunge kuhusu changamoto wanazokutana nazo wabunifu wa Kiafrika katika zama mpya za Artificial Intelligence (AI). Amesisitiza kuwa AI ni fursa ya kizazi hiki – inaweza kuleta mageuzi katika uongozi, uchumi, usalama, na hata Universal...
  14. Imani Asili za Kiafrika, kufa kwake na kubaki kwake

    Kabla ya kufika dini zilizoingia nchini kwa meli, waafrika, wa hapa Tanzania ya sasa walikuwa tayari wana imani zao za asili. Ambazo zilitamalaki na watu wakaziamini kwa uwazi kabisa nazo zikaongoza maisha yao koroho. Sasa zinaonekana zimepotea, na kufyekelewa mbali na dini za uislamu na...
  15. Zero to Legacy; Safari ya Kijana wa kiafrika

    Kitabu Cha Zero to Legacy: Safari ya Kijana wa Kiafrika. Mwandishi: Robert Heriel +255693322300 Oooh! Taikon andika vitabu! Ooh! Achana na stori za abunuasi sijui riwaya. Ndugu zangu, sisi wengine nusu ya maisha yetu tunaitumia kuandika na kusoma. Kwetu kuandika ni Hobby. Nikiacha Maneno...
  16. Rais Samia: Kiswahili ndiyo Lugha ya kutuunganisha Afrika, Tanzania tuko tayari kutoa Walimu na vifaa vya kufundishia kuja Comoro

    Rais Samia amesema Kiswahili kina uwezo wa kuwaunganisha Waafrika na kupendekeza kitumike kama lugha ya mawasiliano, elimu na biashara katika nchi za Afrika, ikiwemo Comoro. "Lugha pekee ya Kiafrika inayoweza kutuunganisha au kuunganisha watu wetu ni kiswahili, hivyo ilikujenga umoja nitumie...
  17. Hivi kwanini familia za kiafrika watu wanakuwa wabinafsi sana hasa likija suala la mirathi

    Familia nyingi za kiafrika watu huwa wabinafsi sana likija suala la kimaslahi. Utu, huruma na undugu huwatoka kabisa na kuendekeza dhulma baina ya wanandugu. Sasa usiombe iwe ni mirathi ndio kabisaa hata iwe mmezaliwa baba mmoja mama mmoja bado kuna ubinafsi wa kuzulumiana wenyewe kwa wenyewe...
  18. Eti wakuu, kweli bado nchi za Kiafrika katika uongozi thabiti zina nafasi ya kufikia prosperity? au muda umeisha tukimbia, tutakuwa tunafukuza upepo?

    Ni dhahiri kwamba miaka 60 kurudi nyuma chi kama singapore na malaysia zilifanana umasikini wa kwetu Afrika. Ila leo ni nchi ambazo zinakimbiza kimataifa. Sisi tumebakia na tabu ambazo hata babu yako aliekufa akipigana na wakoloni kwa ajili ya ukombozi wa taifa lake atashangaa sana. KARIBUNI:
  19. W

    Sikuweza kuoa mwarabu kwa sababu ndoa zetu za kiafrika ni muunganiko wa familia mbili, sio peke yenu

    Niliwahi kuwa na mpenzi wa kiarabu miaka ya 2014. Tulikutana kwenye ndege nikiwa naelekea KIA kutokea Airport ya Nyerere. Nilipokuwa nimefika airport nasubiri ndege nikaenda walipokaa wenzangu tunaosubiri ndege ya kwenda KIA, enzi huzo ni fastjet. Mwarabu nilimuona akiwa na simu yake lakini...
  20. Kwanini nchi za kiafrika zinapenda kushindanisha umaskini?

    Utasikia Bondeni au Afrika Kusini imeendelea. Mara Kenya iko juu sana ukanda huu na upuuzi mwingine mwingi. Ukiziangalia nchi za kiafrika kwa makini, zote ni wagonjwa wa kiitwacho coloniality au mabaki na makandokando ya ukoloni. Ni sawa na wadudu walio kwenye mfuko wa plastiki wakigombania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…