RC KHERI JAMES AWATAKA WAHANDISI WA UMWAGILIAJI KUTANGULIZA UZALENDO NA WELEDI KULINDA FEDHA ZA SERIKALI
📍NIRC Iringa.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Kheri James, amewataka Wahandisi wa Mikoa na Wasimamizi wa miradi ya Umwagiliaji nchini kufanya kazi kwa uzalendo wa hali ya juu na weledi ili...
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amewahakikishia wanafunzi wote wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vikuu mkoani humo kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kuwa hali ya ulinzi na usalama ni shwari, huku akisisitiza kuwa serikali imeweka mazingira rafiki kwa kujifunzia na kuishi
Kheri James ametoa kauli...
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ameonyesha kutoridhishwa na kusuasua kwa mradi wa ujenzi wa mabweni mawili katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Ifingo, iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, licha ya serikali kutoa shilingi milioni 200 kwa ajili ya utekelezaji wake.
Amesema moja ya...
Kutokana na kukosekana kwa stendi ya mabasi katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Kheri James Ameiagiza Halmashauri hiyo kuhakikisha kuwa baada ya miezi miwili stendi za mabasi zinaanza kufanya kazi katika maeneo yaliyotengwa.
Mhe. Kheri ametoa maagizo hayo Julai...
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James, ametoa onyo kali kwa walimu wakuu wote wanaopinga uwepo wa klabu za kupinga rushwa mashuleni, akisisitiza kuwa serikali haitawavumilia wale watakaobainika kuhujumu juhudi hizo. Kauli hii aliitoa akiwa mgeni rasmi katika mahafali ya klabu za wapinga rushwa...
Mkuu wa wilaya ya Iringa Komred Kheri James ameendelea kuwafikia Wananchi wa wilaya ya Iringa kupitia ziara yake ya Mtaa kwa Mtaa, yenye lengo la kusikiliza Wananchi, kukagua miradi ya maendeleo, kuhamasisha shughuli za maendeleo na utoaji wa huduma.
Akizungumza na Wananchi katika mitaa ya Kata...
Anthony Mtaka: "Hawa Ma-DC wanafanya kazi kubwa kutatua kero, ni vile hawana ma TV tu."
Kheri James: "Tutenge muda wa kutatua kero na si kusikiliza kero"
WanaJf,
SALAAM!
Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi.
Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na Uenezi ilikifanya CCM tujisikie raha sana. Kwa hiyo ktk kipindi hiki ambacho vyama vya upinzani...
Wafanyabiashara wadogo katika soko jipya la Mbezi Beda Ubungo wamemlaumu mkuu wao wa wilaya Kheri James kwa kuwarejesha baadhi ya wafanyaniashara maeneo yasiyo rasmi.
Wamedai kila wakimfata DC James ofisini kwake anawaambia wakaanxie kwanza kwa mchungaji kabla ya kwenda kwa askofu akimaanisha...
Kamati kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao viongozi wakuu wa umoja wa vijana baada ya viongozi hao kukubali uteuzi wa nafasi nyingine. Viongozi hao ni Mwenyekiti Kheri James, Makamu Mwenyekiti Tabia Maulid na Katibu mkuu Raymond Mangwala.
Wamevuliwa vyeo vyao kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi za...
Uteuzi wa komredi Kheri James Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Taifa (UVCCM) na Dr. Mashinji kuwa wakuu wa wilaya hii ni demotion( Kushushwa Vyeo), kwani hawa walikuwa viongozi wa juu na sasa wanakwenda kuwajibika kwa wakuu wa mikoa Amos Makala Dar es Salaam na Alli Hapi, Mara.
Kwa nafasi...
Ilikuwa ni lazima upishe urekebishaji wa chama kwa mwenyekiti mpya wa CCM na hiyo ni kawaida sana kwa kila REGIME kupanga safu yake.
Baada ya Bashiru Ally na Humphrey Polepole wing ya vijana kwa maana ndani ya CCM ilikuwa lazima iguswe kama ulikuwa bado hujajianda basi ulikuwa bado mchanga...
Kipekee nampa Pongezi Heri James kwa kuteuliwa kuwa DC wa Wilaya ya Ubungo.
Wananchi wa Ubungo wana imani kubwa na wewe haswa kwa uzoefu ulio nao na maono uliyo nao, ulifanya kazi kubwa ulipokuwa Mwenyekiti wa UVCCM.
Wilaya ya Ubungo ni Miongoni mwa wilaya mpya katika Jiji la DSM na Makao yake...
Ikumbukwe kwamba Kabla ya Heri James kuwa Mwenyekiti wa UVCCM nafasi hiyo ilishikwa na Hamad Masauni, japo baadaye aling'olewa kwa kashfa ya kufoji umri, baada yake akaja Sadifa, ambaye rekodi yake ya lugha chafu sidhani kama itakuja kuvunjwa. Hawa wote walitoka Zanzibar.
Sasa swali langu ni...
Mbunge wa Mtama ndugu Nape Nnauye amehudhuria baraza kuu la UVCCM na kumpongeza mwenyekiti wake Khery James kwa kazi kubwa wanayofanya ya kukilinda chama.
Nape Nnauye amewataka Bavicha na Chadema kwa ujumla wakajifunze siasa CCM.
Kazi Iendelee
Nimesoma humu JF kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James ameomba radhi kwa mambo yaliyofanywa na kuomba 'maridhiano' ya kitaifa ili tusonge mbele pamoja chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan.
Nikasoma tena humuhumu kuwa Kheri James huyohuyo amesema kuwa msamaha aliouomba ni...
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi.
Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa...
Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi.
Taarifa...
Kuna kauli zinatolewa na UVCCM za kuua watu, this is HATE SPEACH!!! kwa nini hamchukui hatua?. Mimi nadocument hizi clips zote na natarajia kuziwakilisha kwa Fatou Bensouda kabla ya uchaguzi mkuu October 2020.
UPDATE: Katibu Mkuu wa CCM amekemea kauli hizi > Dr Bashiru aonya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.