kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TRA yabambikia makampuni kesi za Uhujumu uchumi, kupitia risiti zenye makosa miaka 10 na zaidi iliyopita

    Wakati dunia nzima iko locked down ikihaha kupambana na Corona virus TRA wao wanahaha kukusanya kodi wavunje rekodi, nimeshuhudia kampuni zikiandikiwa barua kua mwaka 2010, 2014, 2015 zilipeleka return zenye risiti ambazo mashine zake VAT haitambuliki, hapa nilijiuliza maswali ya msingi; 1. Je...
  2. JamiiForums Tanzania Kesi namba 458 (Jamhuri v JamiiForums) yaahirishwa tena kwa kukosekana Shahidi. Mara ya mwisho kuwa na Shahidi ni Novemba 12, 2018

    Kesi namba 458 ya mwaka 2016 (Jamhuri dhidi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo na mwenzake Mike William) imeendelea leo tarehe 23 Machi 2020 mbele ya Hakimu Huruma Shaidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Katika shtaka la pili kwenye Kesi hiyo, Watuhumiwa wanashtakiwa kwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Mahalu amtuhumu Kikwete kumfungulia kesi ya ufisadi kwa uonevu kwa unyemela aliosimamia mwenyewe akiwa waziri Mambo ya Nchi za Nje

    Prof. Mahalu amemtuhumu Kikwete kwamba akiwa Rais alimfungulia kesi ya ufisadi kiuonevu, wakati yeye mwenyewe Kikwete ndiye aliyesimamia uuzaji wa nyumba ya Tanzania kinyemela huko Italy akiwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje. Prof. Mahalu amedai kwamba kwa kuwa Mkapa alijua ukweli wa jambo hili...
  4. JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Ikulu kujiingiza katika kesi ya Msigwa ni matokeo kukosa maarifa?

    Kituko kipya cha karne katika siasa za Tanzania kimeibuka leo, baada ya Ikulu ya Tanzania kuitangazia dunia kuwa, Rais wa nchi amelipa kiasi cha shilingi milioni 38 ili kumlipia faini Mchungaji Peter Msigwa ambaye ni mfungwa wa kisiasa aliyetiwa hatiani kwa makosa ya jinai. Sina uhakika kama...
  5. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

    Mahakama ya Kisutu leo Machi10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi Mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Msigwa na Mashinji. Katika kesi hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Ilala: Kesi ya viwanja ya wanaCCM Masunga na Abdallah Bulembo yapigwa kalenda

    Kesi ya jinai inayomkabili mfanyabiashara ambaye pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa UWT-CCM Wilaya ya Kinondoni, Frolence Masunga (45) mkazi wa Kimara Suka jijini Dar es Salaam imeahirishwa tena. Kesi hiyo imetajwa kwa mara ya pili leo Machi 9,2020 ambapo ilishatajwa kwa mara ya kwanza Januari...
  7. G

    JamiiForums Tanzania NYARAKA: Mahakama ilivyotupilia mbali mapingamizi ya Cyprian Musiba kwenye Kesi aliyofunguliwa na Membe

    TUWEKE KUMBUKUMBU SAWA ILI WASIJE KUSEMA HATUKUWAAMBIA.NA HIVI NDIVYO MAHAKAMA ILIVYOTUPILIA MBALI MAPINGAMIZI YA CYPRIAN MUSIBA KWENYE KESI ALIYOFUNGULIWA NA MH.BERNARD MEMBE.
  8. JamiiForums Tanzania Kesi na. 456 (Jamhuri v JamiiForums): Hukumu yaahirishwa kwa mara ya nne

    Kesi namba 456 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Micke William) ambapo Kampuni ya Oilcom iliandikwa katika mtandao wa JamiiForums ikidaiwa kukwepa kodi na kuchakachua mafuta bandarini Dar imeahirishwa tena leo Februari 19, 2020 hadi Aprili 02, 2020. Hukumu hii awali ilipangwa kusikilizwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kesi ya viongozi wa CHADEMA yapigwa kalenda hadi Desemba 23, 2019

    Kesi Na. 112/2018 inayowakabili Viongozi wakuu wa CHADEMA na baadhi ya wabunge katika Mahakama ya Kisutu Dar es salaam, leo imeaihirishwa hadi Desemba 23/2019, saa 3 asubuhi, Shahidi wa 6 (D.W.9) Ester Bulaya (Mb) akitakiwa kupeleka hati yake ya kusafiria ndani ya saa 2 leo hii. Sababu nyingine...
  10. JamiiForums Tanzania Nitafungua kesi dhidi ya app lock iliyoleta mgogoro katika ndoa yangu

    Salam, Kuna app locker (kificha faragha) naweza kuita hivyo, kimenihadaa na kuniaminisha kuwa naweza kuficha SMS na Chats lakini kimeniumbua na kusababisha mtafaruku ndani ya nyumba baada ya wife kubaini chat (mazungumzo) baina yangu na mipango kando yangu. App hiyo inayotumia finger prints...
  11. JamiiForums Tanzania Mahakama imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kifungo cha miaka 6 au faini ya milioni 35

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka na mwenzake kulipa faini ya Sh35 milioni kila mmoja au kutumikia kifungo cha miaka sita jela. Mbali na Mattaka, mshtakiwa mwingine ni Elisafi Mathew aliyekuwa kaimu ofisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…