GARETHBALE
Member
- Dec 22, 2013
- 76
- 332
TUWEKE KUMBUKUMBU SAWA ILI WASIJE KUSEMA HATUKUWAAMBIA.NA HIVI NDIVYO MAHAKAMA ILIVYOTUPILIA MBALI MAPINGAMIZI YA CYPRIAN MUSIBA KWENYE KESI ALIYOFUNGULIWA NA MH.BERNARD MEMBE.
Kwani we upo mahakaman mda huu?mbona kama umeandika kwa hofu..
Dah sheria taaluma nzuri sana aisee!TUWEKE KUMBUKUMBU SAWA ILI WASIJE KUSEMA HATUKUWAAMBIA.NA HIVI NDIVYO MAHAKAMA ILIVYOTUPILIA MBALI MAPINGAMIZI YA CYPRIAN MUSIBA KWENYE KESI ALIYOFUNGULIWA NA MH.BERNARD MEMBE.
View attachment 1364195
View attachment 1364192
View attachment 1364190
View attachment 1364189
View attachment 1364188
View attachment 1364187
View attachment 1364186
View attachment 1364185
View attachment 1364184
View attachment 1364183
View attachment 1364197
musiba na genge lake kwa nembe watakoma wamekanyaga waya wa umeme wakiwa miguu mitupuMatokeo yangekua kinyume chake ndio ningeshangaa
I'M TELLING YOU BRO...KUNA MIJITU NI ZERO BRAIN KAMA BASHITEHalafu inakuja mijitu humu inasema kwani Kiengereza kina umuhimu gani?
Misiba Analipwa na Kitengo cha serikali hakuna mwenye akili ambaye hajui.musiba na genge lake kwa nembe watakoma wamekanyaga waya wa umeme wakiwa miguu mitupu
Huenda wakalipishwa fidia kubwa nini?musiba na genge lake kwa nembe watakoma wamekanyaga waya wa umeme wakiwa miguu mitupu
Umemgeuka mwenzio..??musiba na genge lake kwa nembe watakoma wamekanyaga waya wa umeme wakiwa miguu mitupu
musiba na genge lake kwa nembe watakoma wamekanyaga waya wa umeme wakiwa miguu mitupu
Ni Mtanzania halisi?Kwa ambao hawajawahi muona huyo jaji, picha yake ni hii hapa.
View attachment 1364569