kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Muandamanaji ahukumiwa kunyongwa Iran, atuhumia na kosa la kuwa 'adui wa Mungu'

    Atanyongwa kwa kuandamana, kosa lenyenye wanaliita "moharebeh" (enmity against God)', au adui wa "mungu". Hata hivyo maandamano yako pale pale. Acourt in Iran has issued the first death sentence to a person arrested for taking part in the protests that have engulfed the country, state media...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yamfutia Naibu Rais kesi ya Ufisadi wa Tsh. Bilioni 139

    Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ameruhusiwa kuondoa kesi ya Tsh. Bilioni 139.8 dhidi ya Richathi Gachagua huku Mahakama ikionya kuwa anaweza kukamatwa tena iwapo ushahidi utapatikana. Ofisi ya DPP Noordin M. Haji ilituma maombi ya kufuta kesi hiyo kwa madai ya kufunguliwa kwa shinikizo la DCI...
  3. JamiiForums Tanzania Kesi ya ‘COVID 19’ Jaji anazingua sana

    Baada ya baadhi ya wabunge waliojiteua kuanza kuhojiwa na kubanwa kisawa sawa na Wakili Msomi Kibatala,Jaji kama kawaida yake kuipeleka kesi hadi Mwezi December 6 2022. Ikiwa wenzetu Kenya waliweza kumaliza kesi kwa muda mfupi,kinachomshinda Jaji kusikiliza kesi kwa haraka na kuimaliza nini ?.
  4. JamiiForums Tanzania Kesi ya kina Mdee dhidi ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa uanachama haina tija ni ubadhilifu mwingine

    Hili suala la mamlaka nchini kuonekana kutumia nguvu isiyokua ya kawaida kuidhibiti chadema isiweze kuwavua wanachama wake uanachama linastaajabisha wengi. Tumeona na kuzoea kuona chama cha mapinduzi kuweza kumng'oa kirahisi mbunge wake anayeenda kinyume na chama bungeni kwa kumfuta uanachama...
  5. JamiiForums Tanzania Musoma: Afungwa miaka 30 jela kwa kumbaka mlemavu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma Mkoa wa Mara imemhukumu kwenda jela miaka 30, mkazi wa Kijiji cha Kibubwa Wilaya ya Butiama, Juma Ligamba (40) baada ya kupatikana na kosa la kubaka kinyume cha sheria. Mahakama hiyo imemtia hatiani, Ligamba baada ya kuthibitika kuwa alimbaka binti mwenye umri...
  6. JamiiForums Tanzania Hashpuppi ahukumiwa kifungo cha miaka 11 jela kwa makosa ya utakatishaji fedha

    Raia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu kwa jina la Hashpuppi amehukumiwa kifungo cha miaka 11 jela huko Marekani Hashpuppi alikuwa anatuhumiwa kufanya utapeli unaofikia jumla ya dola millioni 24 za Marekani kwa njia ya mtandao Hashpuppi anatajwa kuwa mmoja wa matapeli wakubwa zaidi wa mtandaoni...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wagombea Urais wa Azimio la Umoja wafungua kesi ya kupinga Urais wa Ruto Mahakama ya Afrika Mashariki

    Kiongozi wa chama cha Narc Kenya Martha Karua ambaye alikuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa Raila Odinga amehamia Mahakama ya Afrika Mashariki akiikashifu tume ya uchaguzi kwa kazi "mbaya" na Mahakama ya Juu zaidi kwa kutupilia mbali ombi la uchaguzi wa urais wa 2022 lililopinga ushindi wa Rais...
  8. JamiiForums Tanzania Hushpuppi ahukumiwa kifungo cha miaka 11 jela

    Hatimaye hukumu ya mwizi nguli mitandaoni ambaye ni raia wa Nigeria, Ramon Abbas (39), maarufu Hushpuppi imesomwa jana Alhamisi, Novemba 3, 2022 na Jaji Otis Wright wa Mahakama ya Wilaya huko California ambapo Hushpuppi amehukumiwa kifungo cha miaka 11 gerezani. Hata hivyo kwa kuwa tayari...
  9. JamiiForums Tanzania Kibatala amhoji Nusrat Shabani Hanje kesi ya Wabunge 19 wa CHADEMA

    Kesi Halima Mdee vs CHADEMA imeendelea leo November 4,2022 hapa mahakama kuu jijini Dar es Salaam Mbele ya Jaji Cyprian Mkeha. Jaji anaingia Mahakamani muda huu saa 10:10 Asubuhi hii! Watu wote hapa Mahakamani tunasimama....!! Karani wa mahakama: Kesi namba 36/2022 Halima James Mdee na...
  10. JamiiForums Tanzania Shahidi kesi ya Zumaridi asahaulika gerezani asababisha kesi yashindwa kusikilizwa Mahakamani

    Kesi namba 10 inyomkabili Diana Bundala Maarufu kama mfalme Zumaridi na wafuasi wake 8 imeshindwa kuendelea Oktoba 31, 2022 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza kutokana na Shahidi namba sita ambae pia ni mshtakiwa katika kesi hiyo, Suzana Simon kutoletwa Mahakamani hapo. Zumaridi na...
  11. JamiiForums Tanzania Mpelelezi Mkuu Kenya: Tulilazimishwa kutengeneza kesi ya Tsh. Bil 140.3 dhidi ya Naibu Rais Gachagua

    Maafisa wa upelelezi katika Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) walilazimika kumfungulia mashtaka Naibu Rais Rigathi Gachagua kuhusiana na kesi ya ufisadi wa Tsh. Bilioni 140.3, afisa mkuu wa polisi amefichua. Pia imeelezwa wakati wa kumkamata Gachagua na kufikishwa kortini Julai 26, 2021...
  12. JamiiForums Tanzania Rukwa: Mganga wa Jadi ahukumiwa kifo kwa kuua watoto wawili

    Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga dhidi ya James Kapyela ambaye aliwalawiti watoto hao kabla ya kuwaua na kutupa miili yao kwenye pagala liliopo nyumbani kwake Machi 23, 2019. Jaji Thadeo Mwenempazi alisema Mahakama imeridhishwa na mashahidi 11 wa Jamhuri waliothibitisha kuwa Mganga aliwaua...
  13. JamiiForums Tanzania Unyanyasaji wa Polisi; Umewahi kupigwa, kuteswa, kudhulumiwa, kukomolewa au kubambikiwa kesi bila kosa? Weka mkasa wako hapa

    Sio kusema ni wote lakini hawa wanaofanya haya matukio ndio wanasababisha tuwaweke wote kwenye chungu kimoja. Leo hii tu kuna kijana mwanafunzi wa chuo cha Saut huko Mwanza katoa ushahidi jinsi alivyopasuliwa korodani na Polisi waliokuwa wamelewa na kumpiga marungu ya kwenye korodani mpaka...
  14. JamiiForums Tanzania TAKUKURU yakamilisha upelelezi dhidi ya Sabaya, kesi kutajwa tena leo

    Wakati kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ikitarajiwa kutajwa leo, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema upelelezi umeshakamilika. Mwananchi lilimtafuta Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro, Frida Wikesi kujua mwenendo wa...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kuahirishwa kesi ya Wabunge 19 wanasogeza muda

    Wanachama wa CHADEMA, jana walionyesha kutoridhika na kukasirishwa na sababu za kuahirishwa kesi ya wabunge 19 wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama wa chama hicho. Kesi hiyo iliahirishwa kwa madai kuwa shahidi ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) Bara, Hawa...
  16. JamiiForums Tanzania Musoma: Ahukumiwa miaka 30 kwa kumbaka mara kwa mara binti yake wa kufikia

    Mahakama mkoani Mara imemhukumu Paschal Anatory mkazi wa Musoma miaka 30 gerezani baada kutiwa hatiani kwa kosa la kubaka mara kwa mara binti yake wa kufikia anayesoma shule ya msingi. Akitoa jumuisho, hakimu wa Serikali aliomba mahakama itoe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa wa Kitengo kinachodaiwa kuua watu Kenya waomba aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi (DCI) ajumuishwe kwenye kesi

    Maafisa hao 21 watakaoanza kuhojiwa leo na Kitengo cha Mambo ya Ndani (IAU) wamesema walikuwa wakifanya kazi kwa maelekezo ya kiongozi huyo hivyo wanataka naye ahojiwe. Mmoja wa maafisa amesema "Kwa siku mbili tumekuwa tukihojiwa juu ya mambo ambayo hatuelewi. Tunayosikia ni masuala ya Mauaji...
  18. JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kifungo miaka mitano kwa kumchoma mikono mtoto wake

    Mahakama ya Wilaya ya Geita imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Shahende, Mpipi Emanuel (33), kutumikia kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kumchoma moto mikono mtoto wake mwenye umri wa miaka 14. Kitendo hicho kimemsababishia mtoto huyo maumivu makali na kushindwa kufanya mtihani wa taifa wa...
  19. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara ahukumiwa kunyongwa Dar, alimuua mdai wake aliyempa hela amuagizie Fuso

    Mfanyabiashara Hemed Ally amehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa kukusudia Farihani Maluni. Habari inaeleza Farihani alimpa milioni 30 Hemed amuagizie lori aina ya fuso na baada ya muda mrefu kupita bila ya lori kufika na mdai kulidai, Ally alimuita Farihani...
  20. JamiiForums Tanzania Kesi ya Zumaridi yakwama kusikilizwa leo Oktoba 17, 2022 kisa maumivu ya mguu

    Kesi inayomkabili Diana Bundala maarufu kama mfalme Zumaridi na wafuasi wake imeshindwa kuendelea leo Oktoba 17, 2022 baada ya mtuhumiwa huyo kudai kuwa ana maumivu makali ya mguu na kuomba kesi hiyo ihairishwe ili apate matibabu. Mfalme Zumaridi alitarajiwa kuanza kujitetea leo katika kesi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…