kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali na Zitto warudishana Mahakamani tena kwa kesi ya CAG Prof. Assad

    Wakati Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akijiandaa kukata rufaa kupinga sehemu ya hukumu ya kesi ya kikatiba ya utumishi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Serikali imemtangulia na kuweka kusudio la kukata rufaa. Mahakama Kuu katika hukumu yake ya Desemba 5, mwaka huu chini ya...
  2. JamiiForums Tanzania Diaspora wafungua kesi ya Kikatiba kupinga sheria inayozuia Uraia Pacha

    WATANZANIA sita waishio nje ya nchi (DIASPORA), wamefungua kesi ya kikatiba Na. 18/2022 katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu, ya Dar es Salaam, kupinga vifungu vya sheria vinavyozuia uraia pacha, wakidai ni batili kwa kuwa vinakiuka haki yao ya kikatiba ya kuwa raia wa kuzaliwa. --- Suala la kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkurugenzi wa PSSSF akutwa na kesi ya kujibu

    Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemkuta na kesi ya kujibu aliyekuwa Meneja wa Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa Umma (PSSSF), Rajabu Kinande na wenzake wanne. Mbali na Kinande washtakiwa wengine ni Ashura Kapera (37), Farida Mbonaheri (34), Mohamed Miraji (48) na Msafiri Raha ambapo wanakabiliwa...
  4. JamiiForums Tanzania Nigeria: Shehe ahukumiwa kifo kwa kukufuru

    Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Sharia, Jimbo la Kano baada ya Abduljabar Nasir Kabara kukutwa na hatia ya kumkufuru Mtume Muhammad na uchochezi kupitia baadhi ya mahubiri yake, ingawa anakanusha mashtaka hayo. Kabara (52) anashikiliwa na mamlaka tangu Julai 2021 alipotuhumiwa. Kano ni...
  5. JamiiForums Tanzania Mashahidi 9, vielelezo 10 kutumika katika kesi ya mwandishi wa habari wa Gazeti la Raia Mwema

    Mashahidi 9 na vielelezo 10 vitatumika katika kesi namba 407 ya 2022 ya kimtandao katika Kundi la WhatsApp inayokambili mwandishi wa habari za afya na uchunguzi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor na wenzake wawili, Asha Mahita na Rogers Simeo. Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala...
  6. JamiiForums Tanzania Iringa: Ahukumiwa kunyongwa baada ya kumtupa mtoto wake Mto Ruaha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi iliyopewa mamlaka ya ziada mkoani Iringa imemuhukumu kunyongwa hadi kufa Abuutwalib Seif (34) Mkazi wa Igumbilo, baada ya kukutwa na hatia ya kumuua kwa kumtupa mtoto wake Khadija Seif (5) mto wa Ruaha. Mtoto alikuwa ni mlemavu wa viungo. Akisoma kesi hiyo jana Hakimu...
  7. JamiiForums Tanzania Mwalimu Sarah wa Kilakala Sec. Alipata kesi ngapi za kuwapa Mimba wanafunzi. Kwanini hakupelekwa Jela?

    Ukishangaa ya Musa utayaona ya Makamba. Nimesikia Kwa watu zaidi ya wanne visa vya Mwalimu Sarah wa Kilakala Sec kuwapa Mimba wanafunzi wa Kilakala na Adrian Mkoba. Alitambulika kama mwanamke lakini mwenye dushe na dushe lilikuwa linapiga kazi. Namimba aliwapa madent kadhaa sasa ajabu mbona...
  8. JamiiForums Tanzania Tabora: Aliyeua mtoto baada ya kumkuta mama yake na ARV ahukumiwa kifo

    Hukumu imetolewa na Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora dhidi ya Haruna Ndayanze baada ya kumkuta na hatia ya mauaji hayo kwa madai alibaini Mama wa mtoto anatumia Vidonge vya Kufubaza Virusi vya UKIMWI. Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya, Demetrio Nyakunga alisema Mahakama imeridhika na ushaidi na...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna wanyama ukiwagonga hupati kesi?

    Habari wakuu, kuna jambo nimelisikia mara kadhaa watu wakisema, kuwa kuna baadhi ya wanyama au ndege ukiwagonga wapo ambao unashitakiwa na wapo ambao hakuna kesi ila kibinadamu unamalizana tu na mmiliki. Kwa mfano ukigonga bata au kondoo, hapo kesi ipo na itafika mbali. Ila kama utamgonga...
  10. JamiiForums Tanzania Argentina: Makamu wa Rais ahukumiwa Kwenda jela 6

    Mahakama imetoa hukmu hiyo kwa Cristina Fernandez de Kirchner mwenye umri wa miaka 69, kutokana na kumkuta na makosa ya rushwa Kiongozi huyo amedaiwa kutumia vibaya madaraka yake kwa kutoa kandarasi ya umma kwa rafiki yake, lakini hataweza kutumikia kifungo hicho hadi rufaa yake itakapokamilika...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaodaiwa kusafirisha Heroine waiangukia Mahakama

    Wakili wa Utetezi katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin zenye uzito wa kilo 19, inayowabili raia watatu kutoka nchini za Lativia na Nigeria, Elipatra Ali, ameiomba Mahakama ielekeze upande wa mashtaka wakamilishe kusajili nyaraka muhimu Mahakama Kuu. Wakili Ali ameieleza...
  12. JamiiForums Tanzania Zumaridi hana kesi ya kujibu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imesema Washtakiwa 81 kati ya 84 akiwemo Diana Bundala maarufu Zumaridi katika kesi namba 12 ya kufanya kusanyiko lisilohalali na shambulio la kudhuru mwili hawana kesi ya kujibu. Hakimu Mkazi Mwandamizi Clescensia Mushi akisoma uamuzi huo amesema...
  13. JamiiForums Tanzania Uhusika wa waliohukumiwa kunyongwa kesi ya Lotter

    Watuhumiwa 11 wamehukimwa na Mahakama kuu ya Tanzania kwa kumuua Wayne Lotter. Ingawa mfadhili kuu wa kesi hii alikuwa Mchina , bado haijajulikana hakukamatwa au alikamatwa akawa deported. Mwingine Fahmi Karama alikamatwa lakini haijulikani yupo wapi, hata kwenye kesi hakuletwa Kama...
  14. JamiiForums Tanzania Joseph Selasini aomba Mahakama imuongeze muda kesi ya kumlipa Mbatia Tsh. Bil 3

    Makamu Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, Bara, Joseph Selasinametoa ombi hilo katika Mahakama Kuu, Masjala kwa maelezo kuwa bado anakamilisha nyaraka za utetezi. Katika ya msingi namba 184/2022, Mbatia anaiomba Mahakama itamke kuwa tuhuma alizozitoa Selasini dhidi yake ni za uongo, na hivyo imwamuru...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Kesi nyingi za Ukatili wa Wanawake na Watoto haziripotiwi

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ameviagiza Vyombo vya Dola viongeze nguvu kupambana na kudhibiti Ukatili dhidi ya Wanawake, Watoto wa Kike na wa Kiume. Mpango ametaja idadi ya matukio ya unyanyasaji dhidi ya Wanawake yaliyoripotiwa kwa mwaka 2021 yalikuwa 20,897 na mwaka 2020 yalikuwa 28,126...
  16. JamiiForums Tanzania Ni Batili mawakili wa Tanzakujiita mawakili wasomi bali ni haki waleta kesi kuitwa wasomi na wenye maarifa zaidi

    Ni Batili mawakili wa TZ kujiita mawakili wasomi bali Ni halali kuitwa mawakili vilaza, Ila Ni haki waleta kesi kuitwa wasomi na wenye maarifa kuwazidi wao,soma hapa. Bila Shaka ndugu zangu wadau nyote mu wazima wa afya ,nakuombeni mrejee kichwa Cha habari Apo juu ni ubatili mkubwa,Kwa kweli...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mahabusu wengi kesi zao ni za kubambikwa, wenye hatia wanaachwa uraiani

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema “Tulikuwa tunaangalia magereza yetu tukabaini waliofungwa na walio mahabusu idadi yao ni kama ilikuwa sawa, wengi wao ni kesi za kubambikwa ndio maana unakuta mtu yupo ndani miaka mitatu, haendi mahakamani, haulizwi na hakuna kesi ya maana. “Tulichofanya ni...
  18. JamiiForums Tanzania Kesi ya Makonda, Le Mutuz kupora Range Rover yapigwa kalenda

    Kesi ya tuhuma za uporaji wa gari aina ya Range Rover, inayomkabili aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paulo Makonda na mmiliki wa blogu ya Lemutuz, William Malecela imepangwa kutajwa Desemba 8, 2022. Ni baada ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate kuwa kwenye majukumu mengine ya kikazi...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kulinda haki za waajiriwa walio kwenye kipindi cha majaribio: Kesi ya Agness B. Buhere versus UTT Microfinance Plc ya 2015

    Hukumu katika kesi ya Agness Buhere vs UTT Microfinance Plc ya mwaka 2015 ni mwongozo tosha wa kulinda haki za waajiriwa walio kwenye kipindi cha majaribio (probationary employees). Naambatanisha.
  20. JamiiForums Tanzania Aliyeghushi nyaraka za kesi ya ndoa afungwa miaka 7

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu kifungo cha miaka saba jela, Tuwaha Muze (44) baada ya kupatikana na hatia katika makosa mawili ambayo ni kughushi makubaliano ya uongo na kuwasilisha nyaraka za uongo za mwenendo wa kesi ya ndoa. Pia, mahakama hiyo imemhukumu Samson Tuwaha, kifungo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…