kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kesi ya lisu kwann mashahidi wote ni wanaume na wengi ni mapolisi??

    Wanajamvi habar kwenu? Nimetafakari kwa mujibu wa ufuatiliaji wangu dhidi ya kesi hii ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama Cha demokrasia na maendeleo chadema. Nilichogundua wote waliokwisha kutoa ushahidi wote ni mapolisi na bodaboda na bajaji? Pia hakuna mwanamke yeyote mpaka Sasa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania UPDATE kesi ya Lisu inampa umaarufu zaidi na kuonyesha udhaifu mkubwa wa mihimili yetu wakiwemo WATUMISHI wengi vilaza turudi TU kwenye maridhiano

    #UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 241 Mhe. Lissu anaendelea kumdodosa Shahidi wa kificho wa Jamhuri. Mhe Lissu: Ulisema mlikuwa na Camera ya Sony NX, Kweli si kweli ? Shahidi wa kificho P: Kweli Mhe Lissu: Kwenye kielelezo mlikuwa na camera tatu, sasa kuna mashahidi wamekuja hapa Mahakamani...
  3. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Leo mahakamani kwenye kesi ya mchongo ya TUNDU LISSU..soma hapa

    #UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Agosti 13, 2026 Jana tuliishia part 236 so leo tunaendelea na -; Part 237 Hatimaye, mida hii ya saa. 11:07 Asubuhi, Mahakama inaanza. Wanaingia Mawakili wa Serikali, Anaingia Mhe. Lissu na kundi la askari magereza, leo akiwa na vibe la kutosha kama kawaida...
  4. JamiiForums Tanzania Mahakama zetu ni huru 100% Mawakili Wapigwa Stop Kuongea Kesi za Mahakamani!

    Katika hali ya kufurahisha, mawakili wamefurahia sana kwa kitendo cha Mahakama zilizokosa weledi hupenda kufurahisha anayewateua majaji na si kufurahisha sheria. Kanuni hiyo inakiuka ibara ya 18 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano Watanzania. Hivyo kanuni hiyo haina uhalali wowote wakuendelea...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Besigye ashindwa Kesi ya kumrejeshea Martha Karua na Lukwago katika timu yake ya Mawakili

    Mahakama Kuu ya Kampala nchini Uganda imekataa ombi la Dkt. Kizza Besigye na Obeid Lutale la kurejesha mawakili Martha Karua na Erias Lukwago katika timu yao ya utetezi. Jaji Simon Peter Kinobe, katika uamuzi wa kurasa 42 uliotolewa Jumanne, amesema kuondolewa kwa Karua nchini Uganda na...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Update kesi ya Lisu Naona Leo wamefungua box la Pandora la tarehe Ile mbaya kuliko zote tangu tupate uhuru Bora tufanye maridhiano

    #UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Agosti 12, 2026 Kesi ya uhaini dhidi ya Mhe. Lissu inaendelea katika Mahakama Kuu ya Dar es salaam ambapo Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia Cross Examination Shahidi wa Jamhuri ACP Amin Mahamba. Jana tuliishia part 231 so leo tunaendelea na Part 232. Imepigwa high...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu Sita Wakamatwa Ruiru Baada Ya Wahindi 3 Kuokolewa Katika Kesi Ya Usafirishaji Binadamu

    Watu sita wamekamatwa huko Ruiru, Kaunti ya Kiambu, baada ya maafisa wa upelelezi kuwaokoa raia watatu wa India waliokuwa wameripotiwa kutoweka baada ya kuwasili nchini Kenya tarehe 5 Agosti 2026. Uchunguzi wa kitengo cha Operations Support Unit (OSU) cha DCI uliwawezesha maafisa kuwafuatilia...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hasara ambazo taifa linaingia kwa kesi ya lisu!!. Mamilioni yanateketea kwa jambo ambalo halina uhalisia.

    Hii kesi ya ndugu lisu ni kesi inayopoteza fedha za walipa Kodi zilizopaswa kuelekezwa kwenye maendeleo. Nikiwa naandika hapa kuna watoto hawana madawati kuna hospital hazina dawa, kuna maeneo hayana maji kama hapa goba ninapoishi tangu October hatuna maji, kuna maeneo umeme haupo haya ni kutaja...
  9. JamiiForums Tanzania Lissu alivyomkaanga Mpelelezi Mkuu wa kesi yake

    Leo Agosti 11, 2026 katika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anayeshitakiwa kwa kesi ya uhaini, ameendelea kumhoji shahidi wa 16, Kamishna msaidizi wa Polisi (ACP), Amini Mahamba. Kesi hiyo inasikilizwa na majaji watatu, wakiongozwa na Jaji Dastan...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye update ya kesi ya Lisu atuwekee hapa. Naona Hilda "amekabwa koo"

    Tusaidiane mlioko Dar mahakamani mtupe dondoo kidogo.
  11. JamiiForums Tanzania Hii kesi hii sijui kama anaweza chomoka!?

    *Maneno yake kabla ya lolote kutokea, *maneno yenye nia na dhamira ovu, -Tutakinukisha -Uchaguzi tutauvuruga -Uchaguzi hautafanyika. -Tunajua tutauzuiaje! *Outcomes yake! -Uchaguzi ulikuwa na ghasia -Tafrani kubwa ikatokea -Mali za umma zikachomwa moto!
  12. R

    JamiiForums Tanzania Update kesi ya LISU leo hakuna?

    Tujuzane what happened, sioni updates za proceedings za leo! Kulikoni
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tuleteeni yanayojili mahakama kuu - Kesi ya TAL

    Wana JF naomba aliye na updates za kesi hii atuwekee hapa maana wengine huko Dar ni mbali sana kutoka hapa tulipo
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 3 Kesi Ya Mauaji Ya Dr Mutiso Kufikishwa Mahakamani

    Watuhumiwa watatu wanaohusishwa na mauaji ya mwanasaikolojia wa kliniki Dkt Victoria Nthunya Mutiso wanatarajiwa kufikishwa mahakamani leo, Jumatatu, Agosti 10, 2026. Watatu hao ni afisa wa polisi, dereva wa bodaboda na mtu anayedaiwa kuwa kiungo muhimu katika njama hiyo. Wachunguzi wanataka...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tupeane taarifa, Kesi ya Lissu tarehe 10 Agosti ipo kama ratiba inavyosema?

    Nakumbuka kama vile ilipangwa kusikilizwa mfululizo kuanzia tarehe 10.8.2026. Ratiba bado iko hivyo au kuna mabadiriko?
  16. JamiiForums Tanzania Mwanahalisi: Nchimbi agoma kujiuzulu

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Emmanuel Nchimbi, "amegoma kujiuzulu," kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi. Taarifa mikononi mwa gazeti hilo zinasema, Dk. Nchimbi amekuwa akikabiliwa na shinikizo la kumtaka kujiuzulu wadhifa wake, kufuatia kuibuka kwa madai ya kutoelewana na bosi...
  17. JamiiForums Tanzania Wakili Matata aibua mazito kuhusu kesi za ugaidi, na pia awavaa WanaCHADEMA feki wanaotaka Heche atoke

    https://www.youtube.com/watch?v=SdNOaquuJ-c
  18. JamiiForums Tanzania MAISHA BAADA YA KESI NIMEFIRISIKA YAMEKUWA MAGUMU SANA

    HAbari ndugu zangu nahisi kuchanganyikiwa jumatano tarehe 29 nilihukumiwa faini na kifungo cha nje miez 4 kufanya usafi pugu kata, kwa sasa maisha yamekuwa magumu kesi imenifirisi mtoto karudishwa shule sina pakushika sina msaada kila siku saa 1 mpka saa 4 kufanya usafi familia iko hoi naombeni...
  19. JamiiForums Tanzania HAKI YA KULIPWA FIDIA BAADA YA KUSHINDA KESI

    Habari ndugu zangu wanajamii forum, Nimekuja huku kuomba kujengewa uwezo na wataalam wetu mliopo katika jukwaa hili la Sheria. Mwaka juzi nilikuja na post yangu kuomba msaada baada ya kufukuzwa kazi serikalini Kwa zengwe la kutengenezwa. Ninashukuru Kwa yote, mambo yalienda sawa nikaja...
  20. JamiiForums Tanzania Napendekeza Tundu Lisu aachiwe huru kwa mujibu wa sheria, akamatwe tena na kufunguliwa mashtaka upya yenye ushahidi mpya uliothibishwa.

    Aachiwe huru mara moja na kisha akamatwe tena hapo hapo baada ya kesi kufunguliwa upya, ili hatimae ushahidi mpya utumike katika kumtia hatiani na apewa haki anayostahili kama watuhumiwa wa uhaini wengine duniani. Hii itasaidia sana kutokuingilia uhuru na maamuzi ya mahakama za Tanzania, lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…