Kama mtanzania ambaye nimempigia kura Mheshimiwa Lissu mara mbili kwenye chaguzi zilizopita (jimboni na uraisi), naamini hajafanya kosa la uhaini na hayo ni mashtaka ni ya kutengeneza na hewa, THAT BEING SAID sikubaliani na kauli ambazo Mh. Lissu amekua anazitoa kwenye mikutano hivi karibuni...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umesikitishwa na kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu, ambapo wametoa wito kwa mwendesha mashtaka kuondoa kesi hiyo au kubadili hati ya mashtaka ili kumuwezesha kuachiliwa kwa dhamana...
Hizi ni Nukuu za Nyerere
"Watu walio hatari sana ni wale ambao wanafikiri kuwa wanajua kila kitu, wala hawana haja kujifunza zaidi. Hii ni tabia mbaya ambayo huzuia kabisa maendeleo.”
” Tunataka kuona vijana jeuri katika Taifa hili na wenye kujiamini na sio waoga akina ” ndiyo bwana mkubwa”...
Kesi za uhaini ni kesi ngumu sana, na huchukua muda mrefu kumalizika. Hii inaweza kufika hata 2029. Na hapa sioni mawakili wa kiwango cha Lakha aliyesimamia kesi ya uhaini enzi ya Nyerere.
Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu imepigwa kalenda hadi Aprili 24, 2025.
Lissu alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka 3 ikiwemo uhaini na kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa kijamii wa...
Leo Aprili 10, 2025, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mwanasheria Tundu Lissu amehojiwa kwenye na Polisi kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa makosa mawili ya Uhaini na kutoa taarifa za Uongo. Pia Lissu hajatoa maelezo yoyote isipokuwa taarifa zake binafsi pekee.
Polisi wamesema watampandisha...
Katika hatua iliyoibua gumzo nchini Burundi, washiriki watatu waandamizi wa timu ya ushauri ya Rais Evariste Ndayishimiye wamejikuta gerezani katika Gereza Kuu la Mpimba, Bujumbura, wakikabiliwa na tuhuma za uhaini.
Miongoni mwa waliotiwa mbaroni ni Baribonekeza Jean Baptiste, aliyewahi kuwa...
"Kuepusha kuwachosha wasomaji, Swali pekee linalobakia katika mkasa huu ni Je, ni hatua gani za kisheria zilichukuliwa baina ya wahusika?. Jibu la swali hili tutakua nalo katika sehemu ya tatu ya mkasa huu. Kama ni embe, basi hapa tumefika kwenye kokwa, ndo kwanza utamu wa simulizi hii unaenda...
Wakuu kwema?
Tumekuwa tukishuhudia wasanii na wanasiasa kutoka vyam vya upinzani kuchukiliwa hatua wakikosoa upinzani kwa kupewa kesi za ugaidi na uchochezi. Akina Nay Wamitego na aliyeimba wanatuona manyani tu (Tanzania yetu) walivyotaabishwa, akina Mbowe chama chao kimekuwa na nenda rudi za...
Anaandika Yericko Nyerere
Wengi mmeomba nitoe maoni yangu kuhusu kauli za mtu anayejiita Paulo Makonda kwamba kuna mawazi wanawalipa watu ili kumtuna Rais na kwamba mawaziri hao wana wawatu nyuma ambao ni watu wa kuheshimika katika nchi.
Kabla sijazungumzia kauli hiyo naomba niwarejeshe...
Hii ni video inaonyesha waandamanaji wanaounga mkono palestina wakiwa karibu na makazi binafsi ya katibu wa serikali ya marekani (waziri wa mambo ya nje) antony blinken wakimwagia vimininika vyenye rangi nyekundu karibu na gari la blinken.
Cha ajabu kwa sisi waafrika hao waandamanaji hayupo...
Titi Mohammed Salum Mandangwa kazaliwa katika familia ya dini haswaa, lakini kapita vikwazo vingi. Amezaliwa 1926, Dar es Salaam na kufariki Johannesburg, RSA katika hospitali ya Net Care, Novemba 5, 2000. Aliishi miaka 74 ya machozi, jasho na damu.
Alizaliwa kwa jina la Titi Mohammed Salum...
Uhaini ni kosa la jinai . Ni kosa kati ya makosa makubwa ya jinai. Katika jinai yapo makosa makubwa na yapo makosa madogo.
Yumkini udogo na ukubwa wa kosa waweza kupimwa kwa kutizama adhabu ya kosa. Kosa ambalo huadhibiwa kwa adhabu ndogo huwa ni...
Wakuu,
Akihojiwa na waandishi wa habari siku chache baada ya kuachiliwa na polisi kwa dhamana, wakili Mwabukusi amenukuliwa akisema."
Nataka nimwambie wazi IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda,toka kwenye bunduki njoo jukwaani." Hoja zetu za kisiasa...