kesi ya uhaini ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Lissu amewaambia niko tayari kukaa Gerezani kuliko kuachiliwa na kuondoka ndani ya nchi yangu

    John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, akizungumza nje ya Ukumbi wa Mahakama Kuu ambako inaendelea kusikilizwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema amesikia kuwa wapo watu waliomfuata Lissu na kumwambia akubali kuachiliwa huru kwa sharti la kuondoka...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi Oktoba 6, 2025

    Wakili Deogratias Mahinyila aliye upande wa jopo la Mawakili wa Tundu Lissu na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Taifa (BAVICHA) akiongea na Wanahabari nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam amesema mapingamizi yaliyowekwa na Lissu yametupiliwa mbali, kesi ya msingi ikaendelea ndipo...
  3. britanicca

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu amepewa option ya ama kuachiwa Huru ila aondoke nchini kakataa

    Timu ya watu Kwenda kumshawishi Lissu kwamba Aachiwe huru ila aondoke nchini imegonga mwamba baada ya Lissu kugoma sharti hilo, Wakamshauri Rais kuwa Kama kagoma basi afungwe kifungo cha muda mrefu ila ndani miezi michache alafu atolewe kwa msamaha wa Rais na akose kigezo cha kugombea, David...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Upande wa Jamhuri walalamikia taarifa za Upotoshaji kuhusu Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu

    Upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeiomba Mahakama Kuu kupima maneno na taarifa zinazoripotiwa na vyombo vya habari, wakidai baadhi yake ni za upotoshaji na zinavunja hadhi ya Mahakama. Soma > Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la...
  5. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Mnyika Mahakamani Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu akiwa na T-shirt yenye ujumbe wa Biblia kuhusu Haki

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, leo ameonekana katika Ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam akihudhuria Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu. Kilichovutia macho ya wengi ni mavazi yake, ambapo Mnyika alivaa fulana...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la Tundu Lissu dhidi ya Hati ya Mashtaka

    Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na Tundu Lissu kuhusu uhalali wa hati ya mashtaka pamoja na maelezo ya mashahidi ambayo yanadaiwa kuandikwa kinyume cha sheria. Lissu alidai hati hiyo pamoja na viambatanisho vyake, ikiwemo maelezo ya mashahidi...
  7. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kinachoendelea Mahakamani kwenye Kesi ya Tundu Lissu, leo Septemba 22, 2025

    Hali ilivyo kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Septemba 22.2025. Ambapo Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu inaendelea tena Mahakamani hapo leo. Mahakama kupitia jopo la Majaji watatu wanaosikiliza kesi...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Kesi ya uhaini ya Lissu ni ya uongo, haipaswi kuwa Mahakamani, amfananisha Lissu na Messi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akiznungumza nje ya Ukumbi wa Mahakama Kuu baada ya kusikilizwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Tundu Lissu amesema; "Hii Kesi haisitahili kuwepo Mahakamani kwa sababu ni Kesi ya Uongo".
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama na Viongozi wa CHADEMA wafanya maombi Mahakamani kabla ya Kesi ya Tundu Lissu

    Wanachama wa CHADEMA pamoja na Viongozi mbalimbali wakifanya maombi ndani ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kabla ya kuanza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu. Wafuasi wa Chama cha CHADEMA wamefanya maombi ndani ya ukumbi wa Mahakama Kuu ya...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu akifikishwa Mahakamani kuendelea na Kesi ya Uhaini leo Septemba 18,2025

    Leo, Alhamisi Septemba 18.2025 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu inaendelea tena kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam Leo Jamhuri itaanza kujibu mapingamizi mawili yaliyowekwa na Tundu Lissu, ikiwemo pingamizi linalohusu uhalali wa...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahinyila: Uwakili sikuokota barabarani, Polisi hawawezi kunielekeza chochote nikiwa kazini kwangu

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Wakili Deogratias Mahinyila, amezungumza na wanahabari Jumanne, Septemba 16, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, akitoa ufafanuzi kuhusu kadhia iliyojitokeza Septemba 15, 2025 kati yake, wafuasi wa CHADEMA na maafisa wa...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji: Hakuna amri ya Polisi kufukuza wafuasi wa CHADEMA Mahakamani katika Kesi ya Tundu Lissu

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam imetupilia mbali hoja iliyokuwa umewasilishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini, ambaye alidai kuwa Polisi kupitia amri ya ZCO waliwatoa watu (viongozi na wafuasi wa CHADEMA) waliofika Mahakamani...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulinzi mkali asubuhi hii Mahakama Kuu Kesi ya Lissu

    Kutoka viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, hivi ndivyo hali ilivyo asubuhi hii ambapo maafisa wa Jeshi la Polisi wanaonekana wakiimarisha ulinzi Ikimbukwe kuwa, pamoja na mambo mengine kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mapingamizi ya Tundu Lissu yatupwa, anarejeshwa tena gerezani, Mahakama kuendelea Saa Nane Mchana

    Jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu, masjala ndogo ya Dar es Salaam, ambao ni Jaji Dunstan Nduguru, Jaji James Karayemana na Jaji Ferdinand, wametupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Tundu Lissu kwenye kesi ya uhaini na kusema kuwa hayawezi kuifanya mahakama hiyo kukosa mamlaka, leo...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu

    Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi nje ya mahakama, mwananchi huyu alifika kufuatilia kesi ya Mh. Tundu Lissu leo. PGO inawaelekeza askari wote, kujiepusha na vitendo vyote visivyo vya kibinadamu au vyenye kushusha heshima ya mtu kwa mazingira yoyote kwani havivumiliki kwa Polisi...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu chini ya ulinzi mkali afikishwa Mahakamani

    Siku ya nne mfululizo, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam inaendelea kusikiliza mapingamizi ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, mapingamizi yaliyowekwa na mshtakiwa mwenyewe Leo, Alhamisi Septemba 11.2025 Mahakama inaendelea kusikiliza...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Hoja za Lissu zina mashiko sana, hofu yangu ni Mahakama Kuu kumuachia halafu wakamkamata tena

    Kwa yeyote anayefuatilia hii kesi, atakubaliana nami kuwa Lissu amewazidi vibaya sana kwa hoja mawakili la serikali mpaka kufikia hatua ya hawa mawakili wake serikali kuiomba Mahakama itumie busara katika kufanya maamuzi badala ya sheria. Hivyo, kama Mahakama itaamua kwa uhuru, ni wazi Lissu...
  18. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 MWABUKUSI: Kesi ya uhaini ya Lissu iwe LIVE Mahakamani

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ametoa wito kwa Mahakama kuona namna ya kurejesha matangazo mubashara ya mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ili kutoa nafasi kwa umma kufuatilia kile kinachoendelea Mahakamani...
  19. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utetezi wa tatu wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 10, 2025

    Utetezi wa tatu wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 10, 2025. Utetezi wa Siku ya Pili upo hapa: GE2025 - Utetezi wa Pili wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Ugaidi, Septemba 9, 2025 === Kesi imeanza Kasimama Wakili Nassoro...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwabukusi: Rais Samia aliniambia suala la Lissu watalishughulikia bila kuingilia utaratibu wa mahakama

    Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameahidi kushughulikia mambo mbalimbali aliyoyawasilisha kwake alipozungumza nae Ikulu Dodoma. Akijibu swali kuhusu majibu ya Rais Samia kama...
Back
Top Bottom