kesi ya uhaini ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya uhaini ya Lissu, mahakama kutoa uamuzi wa mapingamizi leo Feb 11, 2026

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, leo Jumatano, Februari 18, 2026, inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu mapingamizi yaliyowekwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, katika kesi ya uhaini inayomkabili. Katika kesi hiyo namba 19605/2025...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya takribani miezi mitatu, kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 9, 2026

    Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' Tundu Antiphas Lissu inatarajiwa kuendelea leo Febriari 9, 2026 Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es salaam. Kupitia taarifa Rasmi iliyotolewa na CHADEMA jumapili jioni Februari 08, 2026...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Huwezi kulileta Taifa pamoja na Kiongozi wa Upinzani yuko Gerezani

    Mwanasiasa mkongwe Prof. Anna Tibaijuka, akizungumza na Salim Kikeke kwenye Kikao Na Kikeke, anaeleza kuwa ni ngumu kulileta pamoja taifa wakati kiongozi wa upinzani akiwa gerezani.
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu kuendelea Februari 9 hadi Machi 6, 2026

    Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano, Brenda Rupia ametoa taarifa hii iliyotolewa na Gaston Galubindi, Mkurungenzi wa Sheria CHADEMA Taifa, kuhusu Kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); Chadema inawafahamisha kwamba kesi ya uhaini dhidi ya Mhe Lissu...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tundu Lissu ameiandikia barua Mahakama akihoji ukimya wa kesi yake

    Imeelezwa kuwa, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu ameiandikia barua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam akihoji ni lini hasa kesi yake ya uhaini inayomkabili itaendelea kusikilizwa, baada ya kushuhudia 'ukimya wa muda mrefu' bila...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Mkuu, kesi ya Uhaini ya LISSU kulikoni? Umma wa Watanganyika Mahakama uieleweje?

    Tukisema judiciary is 100,000,000% compromised mnasema tunawasema vibaya! Katika hali ya kawaida, kesi hii ilibidi iwe imeisha Mtu akisema with certainity kuwa you are operating under instructions atakuwa mwongo? Why all this injustice? Basi ufahamishe umma kuna nini kinazuia kesi isiendelee!
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nov 12: Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa kwa muda usiojulikana mpaka Mahakama itakapotoa Notisi ya siku ya kusikilizwa

    Leo Novemba 12, 2025 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu inatarajiwa kuendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Kesi hiyo iliahirishwa Jumatatu ya Novemba 10, 2025 baada ya upande wa Jamhuri ukiongozwa na Wakili Thawabu Issa kuieleza...
  8. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kizungumkuti Makahama Kuu, Lissu hajafikishwa kuendelea na kesi ya Uhaini kwa sababu za kiusalama

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu imeanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Novemba 10.2025 Hata hivyo, tofauti na siku zote ambapo Lissu ambaye anajitetea mwenyewe kwenye...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu kuendelea leo Novemba 10 baada ya kukwamishwa na uchaguzi

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu iliyoahirishwa kupisha uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, inarejea leo Jumatatu, Novemba 10, 2025. Kesi hiyo inayosikilizwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam na jopo la majaji watatu...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu akiwa kizimbani: Wasalimieni, waambie nakuja

    "Habari za kitaa, wasalimieni waambie nakuja, nafanyaje? nakuja" Maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu Tundu Lissu leo Oktoba 20, 2025 baada ya kupanda kizimbani alipokuwa amefikishwa katika chumba Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam inapoendelea kesi ya uhaini...
  11. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulinzi mkali wa Polisi Mahakama Kuu Dar, Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kusikilizwa leo Oktoba 13, 2025

    Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumatatu, Oktoba 13, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, wakati kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Tundu Lissu ikitarajiwa kusikilizwa leo.
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Anzeni kuandaa submission za no case to answer, hakuna kesi hapa!

    "Anzeni kuandaa submission za no case to answer, hakuna kesi hapa" Mwenyekiti Taifa, Tundu Lissu akiwaambia mawakili wake leo baada ya mapumziko mafupi mchana wa leo.
  13. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu: Nina kesi ya kunyongwa, sina cha kupoteza; nipo tayari kufa lakini nitakuwa na amani ya kusema ukweli

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa, Tundu Lissu Waheshimiwa Majaji jana mliotoa order ya watu kuingia mahakamani kama sheria inavyosema na kama mlivyoelekeza. Mimi nilileta majina na mmoja wa watu wanaotakiwa kuingia ni mgeni wangu kutoka nje. Naambiwa amezuiliwa na uhamiaji hapa mlango wa mahakama...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu alivyofikishwa leo mahakamani kwa ajili ya kuendelea na kesi inayomkabili

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Tundu Lissu afikishwa mahakamani leo Oktoba 7, 2025 kuendelea na kesi inayomkabili dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayohusu uhaini. Soma pia: Kinachoendelea Mahakamani kwenye Kesi ya Tundu Lissu, leo Septemba 22, 2025
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lissu akiwa Kizimbani: Nipo imara, enyi wa imani ndogo acheni uwoga

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, akiwa kizimbani leo amesema kwa kujiamini "Nipo Imara, enyi wa imani ndogo acheni uwoga," kauli ikionyesha msimamo wake thabiti na imani ya kutoyumba licha ya changamoto zinazomkabili.
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Wanaofanya haya kuna siku watalipa gharama

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeo Bara John Heche amefika hospitali ya Mnazi Mmoja kuwajulia hali wanaodaiwa kupigwa na Jeshi la Polisi katika viunga vya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Baada ya kuwajulia hali Heche amezungumza na baadhi ya viongozi waliokuwa hapo...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Wananchi 16 wajeruhiwa kwa vipigo vya Polisi wakifuatilia kesi ya Tundu Lissu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Wanachama wake kadhaa leo wamepigwa na Polisi wakati walipofika Mahakama kuu asubuhi ili kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu. Pia Soma: CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi waliofika...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi Mahakama Kuu, Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumatatu, Oktoba 6, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, wakati kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kusikilizwa leo. Soma: CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi waliofika Mahakamani kufuatilia Kesi ya uhaini ya...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi waliofika Mahakamani kufuatilia Kesi ya uhaini ya Lissu, kadhaa wajeruhiwa

    Leo Oktoba 6, 2025 katika mwendelezo wa usikilizaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Jeshi la Polisi limewatawanya wananchi waliokusanyika Mahakamani kwa kuwapiga na kutumia nguvu, huku watu kumi pekee wakiruhusiwa kuingia ukumbini kwa madai kuwa umejaa. Soma: Kesi ya Uhaini...
  20. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Lissu kuendelea leo kwa kusikilizwa mfululizo hadi Oktoba 24, 2025

    Kesi ya uhaini, Jamhuri dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu A. Lissu inatarajiwa kusikilizwa mfululizo kuanzia Jumatatu, saa 4 asubuhi 06.10.2025 hadi 24.10.2025 na kuendelea kuanzia 03.11.2025 hadi 12.11.2025. Kesi itasikilizwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam...
Back
Top Bottom