Bravissimo Al-Jazeera!
Hapendwi mtu wala haogopwi mtu.
Afanyaye zuri na jema, atapongezwa.
Atayeharibu, atachanwa tu.
Jana kituo cha Al Jazeera kilitumia muda wake kutangaza kuhusu kesi ya “uhaini” inayomkabili Tundu Lisu.
Naombea na vyombo vingine vya habari vya kimataifa navyo viendelee...
(1)
Tundu Lissu si mwanasiasa tu – ni wakili wa mahakama kuu, na mtetezi wa haki za binadamu kwa miaka mingi.
Kugomea kwake Mahakama Mtandao si ubishi wa siasa, bali ni sauti ya tahadhari kwa mustakabali wa haki Tanzania.
(2)
Kwa nini Lissu anagomea Mahakama Mtandao?
Kwa sababu anajua kuwa haki...
Wakuu,
Akiwa anazungumza muda mfupi baada ya kuachiwa na Jeshi La Polisi, mwandishi wa habari kutoka Global Online TV Grace Khuni amesimuliwa namna ambavyo alikamatwa na Jeshi La Polisi wakati ameenda kuripioti kesi ya Tundu Lissu
"Nilikuja kwenye majukumu yangu kikazi, (polisi) wakaniuliza we...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.