Wakuu,
Uzuri wa Lissu huwa hakwwepeshi. Yaani hanaga chujio anawachana hapo hapo
Huyu shahidi kaharibu hadi Lissu kaonesha kabisa hapendezwi na kinachoendelea
==========
Mhe. Lissu: umesema kwamba wewe kazi yako ni dereva wa boda boda kweli si kweli?
Shahidi wa kificho P3 : kweli
Mhe...
Maumivu si mpaka ukatwe na wembe bali ukatili wa NSSF kukataa pesa yako baada ya kuacha sekta binafsi na kujiunga na serikali. Sawa sheria walizoweks nizakinyonyaji kwa mazingira mengine.
Basi kama inashindika wahamishie pesa za mwanachama kwenye mfuko mwingine aliyohamia.
Sekta binafsi...
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea taarifa kutoka kwa Msajili wa Vyama vya Siasa juu ya uamuzi wake wa kutengua ugombea wa Ndugu Luhaga Joelson Mpina kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ACT Wazalendo.
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Chama inaipitia kwa umakini...
Na nukuu kauli yake Sam Altman CEO wa chatgpt ambapo kuna mswaada mkubwa sasa GPT kuingia mpaka kwenye mfumo wa kimahakama kuchakata vifungu kunaweza kuwa weka wazi ambao wakiamini kuwa GPT ni msiri wao wakiuliza au kujua na wengine wakifanya kutatua tatizo.
Na jiuliza kama wakili wa serikali...
Ipo ivi nilikua nachati na mrembo wangu ivi vitoto vya 2000 usiulize umri wangu (sio mada ya leo) sasa yeye hana simu anatumia ya baba yake iyo ni siku zote tunawasiliana ivyo Bado mwanafunzi tumechati vingi sana sms ya mwisho nikamwambia tukutane Kwa mangi apo saa Moja jioni ,
Mtandao ukaaza...
Wakuu,
Kwa wale wapenda demokrasia na utawala wa sheria leo itakuwa siku nzuri sana kwao
===========
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imeamua kufuta vifungu vya sheria vilivyokuwa vinazuia watu kufungua kesi zilizobeba maslahi ya umma.
Uamuzi huo umetolewa katika kesi Rufaa Na. 134 ya mwaka...
Sio wote walio magereza wana hatia.
Uingereza: Peter Sullivan alihukumiwa kwenda gerezani kwa kosa la kumuua mfanyakazi wa bar ( barmaid) Diane Sindall mnamo 1 August 1986.
Ushahidi wa DNA umeneosha kuwa hakuhusika
Peter Sullivan has murder conviction quashed after 38 years in jail
Hearing...
Waliokuwa wafanyabiashara ambao walipanga kwenye jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka 2024 wamefungua kesi kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania (Division ya Ardhi) Dar es Salaam wakidai fidia kwa waliokuwa wamiliki wa jengo hilo, ambapo madai ya fidia hiyo...
Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka Zanzibar, wamekiburuza mahakamani chama hicho pamoja na mambo mengine wakilalamikia upendeleo katika mgawanyo wa rasilimali za chama pamoja na stahiki nyinginezo.
Kesi hiyo ya madai namba ya mwaka 2025...
Inawezekana kukawa na Upenyo wa Kisheria Kwa Watu ambao wanenunua Ticket, wengine wamelipia Usafiri wa Ndege, Ma bus ama kutia Mafuta kwenye magari Yao kuja Dar es salaam.
Wamelipia Hotel ama Gesti, Sasa wanaambiwa Mechi imeahirishwa na Bodi ya Ligi.
Hakuna namna Mashabiki wanaweza kufungua...
Habari wadau naombeni msaada au ushauri.
Mimi sio mzoefu na mambo ya kesi na wala sijawahi kusimama kizimbani. Kuna mtu aliniomba nimsaidie kuna sehemu wanakopesha pesa bila dhamana yoyote yenye thamani isipokuwa mdhamini mmoja so akanambia ana shida na yeye amedhamini watu wengi pale kwahiyo...
Kwanza kabisa natanguliza shukrani
Nina kesi ya madai mahakama ya wilaya lakini kwa bahati mbaya mwisho wa kesi ikagundulika imekosewa jina la mdaiwa ikabidi isimame utekelezaji wake.sasa mimi ninataka nifungue kesi upya.Lengo la kuja hapa wadau ninaomba kujua utaratibu na jinsi ya kupata...
Mgombea Uenyekiti wa Mtaa wa Mtoni, Kata ya Ruanda, jijini Mbeya kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Elisha Chonya, ameyakataa matokeo akidai kanuni zilivunjwa huku msimamizi wa uchaguzi Bi. Winifrida Stanley akitangaza matokeo ambapo Bilali Gembe wa Chama cha Mapinduzi...
Ndugu zangu Watanzania,
Siasa ni sayansi na sayansi ina kanuni zake. Siasa ni mchezo wa akili,siasa ni mchezo wa karata inategemeana unachanga vipi karata zako na unatupa vipi karata na wakati upi utupe ipi na uambatanishe na ipi. Kwenye siasa mtu anaweza kukutukana sana lakini ukabakia kimya...
Miongoni mwa sheria mbovu sana zilizopo nchini ni inayompa mamlaka DPP ya kuweza kupeleka au kutopeleka kesi yoyote ya jinai, inayomkabili mwananchi yeyote na asitoe sababu za kutoipeleka kesi yoyote Ile mahakamani!
Hii ni sheria mbovu sana, ambayo ilitungwa Kwa nia ya kuwafanya baadhi ya...
“Siwezi kuelewa mahakama inafanya kazi gani, kwa sababu mimi ndio mstahili wa kupewa hukumu. Hizi ni propaganda. Mimi bado Eng. Hersi ni kiongozi wangu pamoja na bodi yake. Lakini kama itatokea jambo lingine lolote kupitia kwangu, mimi mwenyewe nitaita vyombo vya habari nitaongea navyo. Lakini...
Mapendekezo ya mabadiliko katika utaratibu wa uendeshaji wa mashauri yaliyo mahakamani. Watu wote wa kada mbalimbali, wa jinsia zote, wakubwa kwa wadogo wana haki sawa mbele za Mungu ambaye ndiye Jaji Mkuu aliye juu ya majaji wengine wote.
Mimi naamini pia kuwa mfumo wa mahakama katika nchi...
Wengi wetu tumejikuta tukishindwa kesi tukiamini Lawyer anaweza kukusaidia mahakamani. Hawa mara nyingi wanajiona wanajua sheria na mwisho wa siku unafungwa.
hivi kwa nini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.