KERO YA VYOO UWANJA WA NDEGE MWANZA - WENYE MAMLAKA FANYENI KAZI
Leo nimepata fursa ya kushuhudia hali ambayo, kwa maoni yangu, inahitaji hatua za haraka katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza.
Eneo hilo lina vyoo vichache sana kwa ajili ya abiria, ambapo upande wa kutoka abiria kuna vyoo viwili...