kero ya maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    DAWASA kumaliza kero ya maji ya miaka 30 Mpiji Magohe

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma ya maji kwa wakazi wa Mpiji Magohe, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo, hatua inayotarajiwa kumaliza changamoto ya upatikanaji wa maji iliyodumu kwa muda mrefu katika eneo hilo. Mradi...
  2. Roving Journalist

    Responded MTUWASA: Mahitaji ya maji Manispaa ya Mtwara Mikindani ni makubwa kuliko uzalishaji ambao ni 63%

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mtwara (MTUWASA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa iliyochapishwa kupitia ukurasa wa Jamii Forums tarehe 09/01/2026 kuhusu hali ya upatakanaji wa maji katika maeneo ya Cocobeach, Ligula na Shangani. Pia soma ~ Mamlaka ya Maji Mtwara hukata maji...
  3. Idugunde

    Bila aibu Waziri mwenye dhamana ya Maji anakiri kuwa CCM kwa miaka zaidi 60 ipo madarakani na imeshindwa kutatua kero ya maji

    Nimeshangaa sana Juma Aweso Waziri mwenye dhama ya kuhakikisha kila mtanzania anapata maji salama anakiri mbele ya television ya taifa kuwa CCM imeshindwa kutatua kero ya maji hapa nchini. Ameulizwa swali kwa nini hamutumii maji ya bahari kuhakikisha kero ya upatikanaji wa maji hususani mjini...
  4. Lord Denning

    Mnaua wenzenu kumlinda mtu na kikundi chake kushika madaraka halafu mna wiki 3 hamna Maji

    Mzungu hakukosea kuwaita Waafrika Manyani. Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Jiji kubwa na Biashara Dar es Salaam lililopo pembeni ya Bahari halina maji. Eti kwa sababu mvua haijanyesha. Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Mikoani kwenye Maziwa, Mito na Mabonde yaliyojaa maji hamna maji na watu wanategemea...
  5. lugoda12

    KERO Kero ya Maji

    "INGEKUWA"kama wewe ni Rais wa JMT ungechukua hatua gani kwa Mkurugenzi wa DAWASA kutopatikana kwa maji katika maeneo mengi jijini Dar es Salaam?
  6. A

    KERO Maji Dar lmezidi kuwa zaidi ya kero

    Habari. Ni masikitiko makubwa kwamba maeneo ya Ilala Gorofani, Sokoni, Bungoni, Sharif shamba, Karume, Mchikichini hayana maji safi Kwa zaidi ya mwezi mmoja Sasa. Cha ajabu ukipiga simu huduma Kwa wateja Dawasa hakuna jibu unalopewa au hawapokei simu kabisaa. Magufuli japo alikuwa ni...
  7. A

    KERO Maji baadhi ya Maeneo ya Dar imekuwa ni kero

    Habari, Baada ya Mzalendo John Pombe Magufuli kuchukua madaraka alijitahidi kuboresha huduma za maji Kwa maeneo ya Ilala ilikuwa ni nadra sana maji kukatika, lakini Cha ajabu na masikitiko makubwa ni kwamba maeneo ya Ilala Kwa Sasa Yana shida ya maji kama vile hapa ni kijijini Singida ndani...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Gairo: Wananchi 8,000 waondokana na kero ya Maji baada Serikali kutoa fedha kujenga Tank la Maji lenye Lita 150,000

    Wananchi zaidi ya 8,000 Katika Kijiji cha Ndogomi , Kata ya Magenge ,Wilayani Gairo Mkoani Morogoro wameondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma ya Maji safi na salama mara baada ya Serikali kutoa fedha Shilingi Milioni 894 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa Maji. Akizindua mradi...
  9. aise

    KERO Kero ya maji machafu mitaani, mfano mzuri ni hapa Buguruni

    Katika jamii nyingi, miundombinu bora ya maji taka ni msingi wa afya na ustawi wa wakazi. Na ni haki kwa kila raia kuishi kwenye mazingira safi na salama. Hata hivyo hali ni tofauti hapa Buguruni. Mvua kidogo ikinyesha maji machafu hutapakaa kila mahali, yakibeba uchafu na harufu mbaya...
  10. Just Pray

    PreGE2025 Milioni 192.8 zatumika kutatua kero ya maji Ushetu

    Zaidi ya Wakazi 2000 wa Kata ya Nyankende Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameondokana na tatizo la kutumia Maji ya kwenye visima na Mabwawa baada ya Serikali kujenga Mradi wa Maji Safi na Salama wenye gharama ya Shilingi Milioni 192.8. Baadhi ya Wanufaika wa Mradi huo akiwemo Veronica...
  11. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge January Makamba atatua kero ya maji Kata ya Funta wilaya ya Bumbuli, Wananchi Wamshukuru

    Wananchi wa Kata ya Funta Halmashauri wilaya ya Bumbuli wamemshukuru Mbunge wa Jimbo hilo January Makamba kwa kutatua changamoto kubwa ya maji iliyokuwa ikiwakabili. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
  12. Just Pray

    Shirika la Life Water lawaondolea wananchi 2,584 adha ya ukosefu wa maji

    Shirika la Lifewater International Tanzania limetekeleza mradi wa maji safi na usafi wa mazingira katika Kijiji cha Bugogo, Kata ya Mwamala, wilayani Shinyanga, hatua inayowaondolea wananchi wa kijiji hicho changamoto ya muda mrefu ya ukosefu wa maji safi na salama...
  13. P

    KERO Responded Mbezi Beach hakuna maji karibu wiki sasa huu ni zaidi ya mgao, mnatukomoa!

    Wakuu, Inakribia wiki sasa Mbezi Beach hakuna maji, majibu ni yale yale tumepokea tunashughulikia/tunafanyia kazi, mara mafundi wanatoa upepo, lakini hakuna maji. Halafu bili ikija laki😂😂. Mwaka huu kama ni mgao mnatumoa, yaani unapigwa kila upande, maji hupati na bili inakuja ya maana...
  14. Cute Wife

    KERO Hata ukiwa na pump tabu ya maji iko pale pale kama asiyekuwa nayo kutokana na presha ndogo ya maji. Wizara ya Maji tuambieni ukweli

    Wakuu, Nadhani tutakubaliana pande zote kuwa maji sasa hivi ni changamoto. DAWASA walishauri watu wafunge pump, maji hata yasipokuwa na presha sana inaweza kusaidia! Arooo, sasa hivi kwanza maji hayatoki, yakitoka ni usiku, halafu presha ni ile ya kuchululu, yaani hata pumzi hazifanyi kazi...
  15. Kilangi masanja

    KERO Huduma ya maji wilayani Nachingwea ni changamoto; yakitoka ni machafu na kwa muda mfupi hukatika

    Habari wanajukwaa wenzangu na Mamlaka zote zinazohusika. Kumekuwa na sintofahamu sasa ya muda mrefu kuhusu nini hatima ya Wakazi wa Nachingwea katika upatikanaji wa Maji na Salama. Tunaomba mamlaka zinazohusika ziingilie kati kwani mitaa mingi ya wilaya ya Nachingwea haina maji (kumaanisha...
  16. Superleta

    KERO Wananchi Kibangu mtaa wa Kajima jimbo la Ubungo hatuna maji mwezi wa tatu sasa

    Ubungo kuna shida ya maji sio poa Usijichanganye ukapanga Ubungo kibangu, kajima,makoka, Rivaside juu au Msewe, maeneo mengi ya Mbezi Mfano Ubungo kibangu huwa ni kawaida ya watu kukaa miezi mitatu mpaka 6 bila maji Maji yakitoka ni mara moja kwa mwezi tena yatoke hata lisaa hayamalizi...
  17. P

    Bili yako ya maji mwezi Februari inaendana na uhalisia wa matumizi yako?

    Wakuu salam, Bili za mwezi Februari zimetoka, jamani huku kwetu Mbezi Beach kila mtu anashangaa ubambikaji wa bili hizi. Yaani kwa kila mtu bili imeshoot kuliko kawaida wakati matumizi ni ya kawaida, sio kwamba ni shule au labda unafanya biashara ya kuuza maji. Tena cha kushangaza zaidi ni...
  18. Cute Wife

    KERO Bunju A maeneo ya Dogodogo Center hatuna maji wiki ya 2 sasa, kuna mgawo?

    Wakuu, Wizara ya Maji nawasalimu. Bunju A maeneo ya Dogodogo Center hamna maji hii ni wiki ya 2 sasa, yalitoka siku moja tu ndio ikawa kimoja hadi leo. Mbona mnataka kutufanya ngamia wenzenu na hatupo kwenye jangwa? Mpaka tuanze kununua ndoo moja elf 2 ndio mfurahi? Kama kuna mgao useme, na...
  19. Mwande na Mndewa

    DOKEZO Wakazi wa Kinyerezi waamua kuchimba visima kwa sababu ya uhaba wa maji

    Baada ya kifo cha Hayati Rais Magufuli, maji nayo yakafa Kinyerezi. Hivi sasa maji yanatoka mara moja kwa mwezi yakitoka yanakaa masaa matatu yanakatika ikiwemo mitaa ya St Alex kwa Babu Ali hadi Sihaba. Maji ambayo hayana hata presha ya kupanda kwenye tanki yanatoka masaa matatu na kukatika...
Back
Top Bottom