KERO Maji Dar lmezidi kuwa zaidi ya kero

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Albosignathus

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
4,898
Reaction score
1,051
Habari.
Ni masikitiko makubwa kwamba maeneo ya Ilala Gorofani, Sokoni, Bungoni, Sharif shamba, Karume, Mchikichini hayana maji safi Kwa zaidi ya mwezi mmoja Sasa.

Cha ajabu ukipiga simu huduma Kwa wateja Dawasa hakuna jibu unalopewa au hawapokei simu kabisaa. Magufuli japo alikuwa ni mkandamizaji wa demokrasia lakini alikuwa ni Mzalendo aliejitahidi kuhahakisha huduma za Jamii zinapatikana miradi ya maji aliiacha ikiwa Iko sawa kabisa Cha ajabu amekufa na miradi yake yote mizuri inakufa tunarudia Dar ya mwaka 1980.

Kwanini viongozi mlioko madarakani msijiuzulu tu Kwa maana mmeshindwa na hamuwezi zaidi ya kujipalilia kubaki madarani Kwa mabavu bila misingi ya kidemokrasia.

Mara nyingi tumesikia taarifa za kiinteligensia Kwa mambo ya UONGO ya kukandamiza wazalendo wa nchi hii lakini Sasa watu wanakunywa maji yasiyo salama mwezi mmoja na hakuna taarifa zozote za kiinteligensia Wala kiongozi yeyote alieongelea hili swala watu wanajali matumbo yao TU.
 
Sasa hizi sifa za kusema serikali ya mama imetatua tatizo la maji, ina maana ni za uongo?
Hii nchi banaa!
 
Shida ni kwamba mtangulizi aliweka maji safi ila yeye kaja maji hayatoki Sasa sijui shida ni Nini? Hii ni zaidi ya kudaiwa
 
MBAGALA SIJAWAHI ONA SHIDA YA MAJI KUNA VISIMA VYA WATU BINAFSI WANASAMBAZA MAJI MAZURI TU😊😊😊
Kodi unazolipa ni kwamba upate huduma za kijanii ikiwemo maji safi hapo Mbagala mtakuwa mnakunywa maji yaliochanganyikana na vinyesi Kwa maana hapo nyumba zimebanana na hakuna mwenye uwezo wa kuchimba maji hata MITA 40 kwenda chini
 
Habari.
Ni masikitiko makubwa kwamba maeneo ya Ilala Gorofani, Sokoni, Bungoni, Sharif shamba, Karume, Mchikichini hayana maji safi Kwa zaidi ya mwezi mmoja Sasa.

Cha ajabu ukipiga simu huduma Kwa wateja Dawasa hakuna jibu unalopewa au hawapokei simu kabisaa. Magufuli japo alikuwa ni mkandamizaji wa demokrasia lakini alikuwa ni Mzalendo aliejitahidi kuhahakisha huduma za Jamii zinapatikana miradi ya maji aliiacha ikiwa Iko sawa kabisa Cha ajabu amekufa na miradi yake yote mizuri inakufa tunarudia Dar ya mwaka 1980.

Kwanini viongozi mlioko madarakani msijiuzulu tu Kwa maana mmeshindwa na hamuwezi zaidi ya kujipalilia kubaki madarani Kwa mabavu bila misingi ya kidemokrasia.

Mara nyingi tumesikia taarifa za kiinteligensia Kwa mambo ya UONGO ya kukandamiza wazalendo wa nchi hii lakini Sasa watu wanakunywa maji yasiyo salama mwezi mmoja na hakuna taarifa zozote za kiinteligensia Wala kiongozi yeyote alieongelea hili swala watu wanajali matumbo yao TU.
20250609_001151.jpg
 
Sasa hiyo uliyoitaja si ndo Daslamu ya mwanzoni mwanzoni na inakosa maji! Miak 61 sasa ya kujitawala, Ilala tu haina maji...

Sasa wale wa Mpiji Magoe, Mloganzila, Chamazi, Kimbiji, etc wasubirie mpaka 2086?
 
Kodi unazolipa ni kwamba upate huduma za kijanii ikiwemo maji safi hapo Mbagala mtakuwa mnakunywa maji yaliochanganyikana na vinyesi Kwa maana hapo nyumba zimebanana na hakuna mwenye uwezo wa kuchimba maji hata MITA 40 kwenda chini
Na huu ndo ukweli yaani watakuwa wanakunywa mavi bila wao kujua
 
Back
Top Bottom