kero

  1. A

    KERO Kero yangu ni usafiri katika Halmashauri ya Mafia, huduma ni mbovu na kuna mazingira ya Rushwa

    1. Usafiri Mafia ni kero tutoka Bara kuja huku. 2. Rushwa zimetawala kila idara toka mlinzi kwenye meli mpaka mkatisha tickets...huko kwingine ndiyo usiseme... 3. Watu wa mafia wamwogope Mungu matusi ya nguoni mpaka mbele za watoto wao. 4. Watu tunaoajiriwa Mafia tunaona kama tumepewa adhabu kwa...
  2. A

    KERO Trafiki wamekuwa wengi sana barabarani kupiga faini hadi kero, kwani nini kinaendelea Dar?

    Kwa sasa kuna usumbufu mkubwa sana wa trafiki barabarani ususani maeneo ya mijini, mfano Dar es Salaam. Sinza Makaburini kuna trafiki wanasimamisha daladala wanaweza kukusimamisha zaidi ya dakika 40 hawaangalii muda wa abiria wanaowahi kazini na kwenye shughuli nyingine. Ukienda mbele kwenye...
  3. A

    KERO Kero ya barabara kwa wakazi wa Kata ya Kimala wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa

    Sisi wakazi wa kata ya Kimala Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa tumekuwa na kero ya Barabara ya kuingia kwenye kata yetu. kata hii ina vijiji 4 ambavyo havina Barabara za uhakika za kupita mwaka mzima. Kwenye kipindi hiko cha mvua, Barabara huwa mbaya na mbovu na kama tukipata mgonjwa yatupasa...
  4. Yoda

    Ni jambo gani kwa sasa ambalo ni kero zaidi kwako na ungetaka litatuliwa kwa haraka?

    Ni kero gani kubwa zaidi kwako na ungetaka itatuliwa kwa haraka?
  5. A

    KERO Shule ya Msingi Kamara iliyopo Mungonya, Halmashauri ya Kigoma, walimu wamewageuza wanafunzi vibarua wao

    Walimu wamekuwa na tabia ya kuwapeleka wanafunzi muda wa vipindi kufanya kazi za shamba, ikiwamo kulima, kupalilia, kuvuna na kupukuchua mahindi pamoja na kuwachotea na kuwapelekea maji walimu majumbani kwao wale wanaoishi kwenye nyumba za kota za shule. Nyakati nyingine wanafunzi wanarudishwa...
  6. A

    KERO Wazazi tunalazimishwa kuchangia chakula kila siku katika Shule ya Sekondari Ipala

    Kuna kero inawakumba wazazi wenye katika shule ya sekondari Ipala. Mwaka jana serikali ilitoa mahindi kwa ajili ya chakula shuleni na mwanafunzi ikalazimu kwenda na mia sita kila siku kwa ajili ya mboga. Mahindi yameisha wanafunzi wametangaziwa kwenda na 1400/= kila siku kwa ajili ya chakula...
  7. A

    KERO Air Tanzania mnachelewesha mizigo ya wasafiri wenu wa Comoro hadi kero, jirekebisheni, mnatukwaza

    Nalalamikia ndege za Air Tanzania hususan zinazoenda Comoro, kuna wakati wa rush za biashara kama za mwezi wa ramadhan au likizo Air Tanzania inatabia ya kubeba abiria na kuacha mizigo mpaka baada ya siku mbili. Wacomoro huja kwetu Tanzania kwa matibabu na kuchukua bidhaa za biashara, leo mtu...
  8. W

    Mwigulu: Nimesisitiza kutolimbikiza viporo vya kero na migogoro, kwani inatishia undugu wetu

    Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu Mwigulu ameonya pia mwenendo wa kulimbikiza migogoro jambo linalopelekea kwa kua migogoro hiyo inatishia undugu wetu kama Watanzania. Ameeleza kuwa wakati mwingine wanaosababisha migogoro hiyo ni watu walioamaniwa.
  9. A

    KERO Serikali ichunguze “madudu” na tuhuma nzito kuhusu Shule ya Sekondari Tarakea, kuna vitu havipo sawa

    Shule ya Sekondari Tarakea Iliyopo Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro ilikuwa ni moja ya shule bora sana, ilikuwa na ufaulu mzuri. Hivi karibuni imebadilisha uongozi, kumekuwa na tabia ya kuwapa adhabu Wanafunzi ovyo. Mwalimu Mkuu amekuwa na majibu ya ovyo kwa Wazazi, Wanafunzi mpaka kwa Walimu...
  10. A

    KERO Wahitimu wa Industrial Engineering Management ya Mzumbe University tunakosa ajira

    Habari, Kwa wahitimu wa course ya Industrial Engineering Management inayotolewa (Mzumbe University) imekuwa ngumu kupata kazi Serikalini. Kimsingi sisi ni wasimamizi wa viwanda na kuna Wizara ya Viwanda na Biashara ambao wana Idara ya Viwanda wanaweza kutuajiri kwa taalum yetu kufanya...
  11. A

    KERO Kero ya umeme Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni

    Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
  12. Kijukuu cha Tanzania

    KERO Kila siku TANESCO wanakata umeme jioni Pugu Majohe hadi imekuwa kero

    Pugu Majohe na Majohe yote ikiwemo kwa Ngozoma, Sondombwa, Halisi, Rada, Viwege, Bombambili na maneno ya jirani kuna changamoto ya kukatika umeme kila siku jioni kuanzia saa moja mpaka saa sita usiku. Changamoto hii ilianza Mwezi Disemba 2025 na inaendelea hadi sasa, kuna muda unakatika mchana...
  13. A

    DOKEZO Kuna ufisadi wa kutisha MAMCU LTD

    Ufisadi wa kutisha unaendelea kwenye Ushirika wa Korosho,Mtwara Masasi Union Co operative(Mamcu). Kulipana Posho na Safari za nje Viongozi wamekuwa walipwa posho bila kufanya kazi(Hewa] na Kutengeneza safari za nje ambazo hazina tija kwa ushirika Mfano Mwaka jana na mwaka huu wamefanya safari...
  14. DodomaTZ

    KERO Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili shughulikieni kero ya ubovu wa magari ya taasisi

    Tunaomba uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kushughulikia kero ya ubovu wa magari ya taasisi. Shughuli nyingi zimekwama zinazofanyika nje ya hospitali kama kusafirisha sampuli, kufuata mahitaji mbalimbali nje ya hospitali na pia kufanya huduma za ustawi wa jamii. Kila tukifuatilia kupata...
  15. A

    KERO Soko la Mawenzi mjini Mororgoro ni chafu na ni hatari kwa afya ya binadamu hasa nyakati za mvua kutokana na uchafu unaotupwa holela

    Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro. Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu. Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru kila mwezi lakini hawaangalii afya za watumiaji wa soko Hilo. Ni kero kwa sisi wateja hata watumiaji...
  16. A

    KERO Changamoto ya Malipo ya Posho za "HONORARIUM" TPSC Tabora

    Mimi kama mtumishi wa umma katika Chuo cha Utumishi wa Umma Tabora, nalazimika kuripoti kero inayotusumbua baadhi ya walimu tulioshiriki zoezi la usajili wa wanafunzi mwezi Novemba 2025. Baada ya usajili, tulianza kufundisha kwa wiki kadhaa, tukibeba jukumu la kuhakikisha wanafunzi wapya...
  17. A

    KERO Changamoto ya Mfumo wa ESS katika Halmashauri ya Nsimbo

    Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Nsimbo. Napenda kuwasilisha kero yangu kuhusu utekelezaji wa mfumo wa ESS (Employee Self Service) ambao ulianzishwa kwa lengo la kurahisisha na kuboresha huduma za kiutumishi kama maombi ya likizo, ruhusa, na uhamisho. Lengo la Mfumo wa ESSMfumo wa ESS...
  18. A

    KERO Dodoma: Watumishi wa Hospitali ya Mji Kondoa tunanyanyaswa na Mganga Mfawidhi

    Habari Jamii forum naomba utupazie kero yetu wahusika wangazi za juu watusaidie Watumishi wanawake wa Hospital ya Mji kondoa katika Wilaya ya Kondoa -Dodoma tunakero kubwa wanawake ambao tukipata ujauzito hua baadhi yetu tunakua na changamoto za kiafya kutokana na mimba tulizo nazo ambapo...
  19. A

    KERO Halmashauri nyingi zinachelewesha kuthibitisha watumishi kazini

    HR haswa upande wa halmashauri nyingi ni kero, hawashughulikii swala la uthibitishwaji kazini watu wamekaa takriban miaka miwili hawajathibitishwa. Hakuna maelezo kamili ni uzembe uliopitiliza
  20. A

    KERO KERO YA Uhamisho kwa Watumishi wa Umma Mkoani Mwanza

    Mimi ni mtumishi kwenye Halmashauri mojawapo ya mkoa wa Mwanza. Kutokana na changamoto za kuishi mbali na mwenza wangu kwa sababu za kiutumishi, niliomba uhamisho na kibali cha TAMISEMI kikafika Halmashauri toka mwezi wa 9/2025, lakini mpaka sasa kinaendelea kuzuiliwa na Mkurugenzi. Nimefanya...
Back
Top Bottom