kenyatta

Jomo Kenyatta (c. 1897 – 22 August 1978) was a Kenyan anti-colonial activist and politician who governed Kenya as its Prime Minister from 1963 to 1964 and then as its first President from 1964 to his death in 1978. He was the country's first indigenous head of government and played a significant role in the transformation of Kenya from a colony of the British Empire into an independent republic. Ideologically an African nationalist and conservative, he led the Kenya African National Union (KANU) party from 1961 until his death.
Kenyatta was born to Kikuyu farmers in Kiambu, British East Africa. Educated at a mission school, he worked in various jobs before becoming politically engaged through the Kikuyu Central Association. In 1929, he travelled to London to lobby for Kikuyu land affairs. During the 1930s, he studied at Moscow's Communist University of the Toilers of the East, University College London, and the London School of Economics. In 1938, he published an anthropological study of Kikuyu life before working as a farm labourer in Sussex during the Second World War. Influenced by his friend George Padmore, he embraced anti-colonialist and Pan-African ideas, co-organising the 1945 Pan-African Congress in Manchester. He returned to Kenya in 1946 and became a school principal. In 1947, he was elected President of the Kenya African Union, through which he lobbied for independence from British colonial rule, attracting widespread indigenous support but animosity from white settlers. In 1952, he was among the Kapenguria Six arrested and charged with masterminding the anti-colonial Mau Mau Uprising. Although protesting his innocence—a view shared by later historians—he was convicted. He remained imprisoned at Lokitaung until 1959 and was then exiled to Lodwar until 1961.
On his release, Kenyatta became President of KANU and led the party to victory in the 1963 general election. As Prime Minister, he oversaw the transition of the Kenya Colony into an independent republic, of which he became president in 1964. Desiring a one-party state, he transferred regional powers to his central government, suppressed political dissent, and prohibited KANU's only rival—Oginga Odinga's leftist Kenya People's Union—from competing in elections. He promoted reconciliation between the country's indigenous ethnic groups and its European minority, although his relations with the Kenyan Indians were strained and Kenya's army clashed with Somali separatists in the North Eastern Province during the Shifta War. His government pursued capitalist economic policies and the "Africanisation" of the economy, prohibiting non-citizens from controlling key industries. Education and healthcare were expanded, while UK-funded land redistribution favoured KANU loyalists and exacerbated ethnic tensions. Under Kenyatta, Kenya joined the Organisation of African Unity and the Commonwealth of Nations, espousing a pro-Western and anti-communist foreign policy amid the Cold War. Kenyatta died in office and was succeeded by Daniel arap Moi.
Kenyatta was a controversial figure. Prior to Kenyan independence, many of its white settlers regarded him as an agitator and malcontent, although across Africa he gained widespread respect as an anti-colonialist. During his presidency, he was given the honorary title of Mzee and lauded as the Father of the Nation, securing support from both the black majority and the white minority with his message of reconciliation. Conversely, his rule was criticised as dictatorial, authoritarian, and neo-colonial, of favouring Kikuyu over other ethnic groups, and of facilitating the growth of widespread corruption.

View More On Wikipedia.org
  1. Mamia ya watu wasiojulikana wavamia ardhi ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta

    Mamia ya watu wasiojulikana wavamia ardhi ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta iliyoko Ruiru [Northland's farm]. Imeripotiwa kuwa wamekata miti kadha na kuondoka na mbuzi. ======= Armed groups breach Kenyatta family-owned Northlands City, loot property Armed groups breached the Kenyatta...
  2. B

    Katiba Bora: Waziri kipenzi wa Kenyatta akimbilia mahakama

    Ama kweli Katiba bora ni raha sana. Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani kwenye serikali ya Kenyatta amekimbilia mahakamani kujiokoa dhidi ya kukamatwa na polisi: Protect me, former Interior minister Fred Matiang'i tells court Enyi mlioko madarakani tambueni kuwa vyeo ni dhamana na kuna leo na...
  3. K

    Rais Ruto aanza kunyang'anya mashamba makubwa kwa waliyojimilikisha yakiwemo ya Kenyatta

    Rais wa Kenya na Naibu wake wameanza mkakakti wa kuwanyang'anya mashamba makubwa kwa waliyojimilikisha kipindi cha Rais wa kwanza, wa pili, wa tatu na wanne. Wakati huo wale veterans na familia zao hazina mashamba. Hivyo serikali chini ya Rais Ruto wameanza mkakati wa kuchukuwa mashamba hayo na...
  4. Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta na Washirika wake kuchunguzwa juu ya Ukwepaji Kodi

    Serikali ya Rais William Ruto inadaiwa kuanza uchunguzi wa Kampuni takriban 300 zinazohusishwa na kutolipa Kodi, baadhi yake zikimilikiwa na watu waliowahi kuwa na Mamlaka katika Serikali zilizopita. Waziri wa Fedha, Njuguna Ndung’u na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Kodi (KRA), Anthony Ng’ang’a...
  5. Rais mstaafu Uhuru Kenyatta akalia kuti kavu, Watendaji wake kukaguliwa ukwepaji kodi

    The Star Newspaper Front page tomorrow February 1st, 2023.......... Waandani wa Rais William Ruto wataka makampuni ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kufanyiwa ukaguzi wa Kodi. Aidha wamedai kuwa familia ya Kenyatta imekwepa kulipa kodi kwa muda mrefu sasa.
  6. M23 wakutana na aliyekua Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, waendelea kuachia maeneo

    Wakubali kuachia mkoa wote wa Kaskazini mwa Kivu, kama tulivyosema amani DRC ni kwa hiari au shari lakini lazima ipatikane, hamna taifa ndani ya EAC litaruhusiwa kuwa na mavita vita ndani. ====== Leaders of the M23 rebel group met with regional peace facilitator, former Kenyan President Uhuru...
  7. Familia ya Kenyatta yapata gawio la Tsh. Bilioni 58.7 za Hisa inazomiliki NCBA Bank

    Familia ya Kenyatta imepata Tsh. Bilioni 58.7 kwa mwaka mmoja kutokana na umiliki wao wa hisa za NCBA Group baada ya mkopeshaji wa daraja la juu kukaidi kushuka kwa soko la hisa na kuibuka kuwa hisa bora zaidi katika Soko la Hisa la Nairobi (NSE). Hisa za NCBA zilipanda kwa asilimia 57.94 mwaka...
  8. Umesoma vitabu gani mwaka 2022 na wengine tuvisome?

    Habarini. Mwaka umeisha na ni wakati wa kujitathmini usomaji wetu na kuhabarishana juu ya vitabu tulivyosoma. Hii ni njia nzuri ya kujua vitabu vizuri vya kusoma. Binafsi nimesoma vitabu vifuatavyo, wewe umesoma vitabu gani? 1. The storm before the storm: Kitabu kizuri sana hiki, kinazungumzia...
  9. Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kujiuzulu kama Mwenyekiti wa Azimio

    Aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Uhuru Kenyatta anatarajiwa kujiuzulu kama Mwenyekiti wa Muungano wa Azimio, aliobuni pamoja Mhe' Raila Odinga katika kampeni za Uchaguzi Mkuu uliopita. Hatua hii ina maana kuwa sasa Raila Odinga na mgombea mwenza Martha Karua ndio watakaondelea kuongoza Muungano...
  10. Makundi 53 ya waasi DRC yakubali yaishe kwenye kikao Kenya

    Kwenye shughuli iliyosimamiwa na kuratibiwa na aliyekua rais wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta. Wamekubali kuweka silaha chini na kuanza shughuli za ujenzi wa taifa, ikumbukwe jumuia ya EAC iliazimia kwamba amani lazima ipatikane DRC kwa heri au shari, chagua moja. Pia M23 wametuma ujumbe wako...
  11. Waasi wa M23 waomba kufanya mazungumzo na Uhuru Kenyatta

    Kundi la waasi la M23 siku ya Ijumaa lilikaidi wito wa kusitishwa kwa mapigano, likitaja mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa jeshi la Kongo, FARDC, lakini wakaomba kukutana na mpatanishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Uhuru Kenyatta na Rais wa Angola Joao Lorenco, kutetea malalamiko yao...
  12. Rais Ruto akana kufanya kazi kwa siri na Uhuru Kenyatta

    Rais wa Kenya, William Ruto amekanusha madia hayo kuwa alifanya kazi kwa siri na Uhuru Kenyatta wakati wa kampeni za uchaguzi wa Rais wa Agosti 9, 2022. Tetesi ni kuwa walikuwa wakifanya kazi pamoja huku Kenyatta akidanganya umma kuwa anamuunga mkono mgombea wa Azimio, Raila Odinga. Ruto...
  13. B

    Aliyoyasema Kenyatta juu ya Ruto tayari yanafukuta

    Alisema Uhuru, huyu anayejiita Hustler na apewe kama miezi mitatu tu, mambo atayakoroga. Huyu bwana aliahidi mbingu huko Kenya lakini tayari kwa mwendo huu kumekucha: 1. Ruto anaondoa ruzuku kwenye mafuta ya magari. "Petrol, Diesel na mafuta ya taa kupaa hadi juu ya 200 Ksh @ lita."...
  14. Rais Ruto kuwaapisha Majaji 6 waliokataliwa na Uhuru Kenyatta

    Akizungumza Jumanne, Septemba 13, Rais Ruto amesema kwa mujibu na ahadi yake ya kuunga mkono Uhuru wa Idara ya Mahakama, ameidhinisha uteuzi wa majaji ambao waliteuliwa na Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) mwaka wa 2019. Rais aliongeza kuwa ataongoza hafla ya kuapishwa kwao Jumatano, Septemba...
  15. Send Off Package ya Uhuru Kenyatta

    President Uhuru Kenyatta will be taking home at least Ksh 34.56 million as part of his retirement send-off package after sitting at the helm of the country for 10 years. According to the benefits enshrined in the Presidential Retirement Benefits Act of 2013, an outgoing President is entitled to...
  16. Haya hapa malipo ya kustaafu ya Rais Uhuru Kenyatta

    Rais Uhuru Kenyatta atakuwa akipokea angalau Tsh. Milioni 668.5 kama sehemu ya malipo yake ya kustaafu baada ya kukaa madarakani kwa miaka 10. Kulingana na marupurupu yaliyoainishwa katika Sheria ya Mafao ya Kustaafu ya Rais ya 2013, Rais anayemaliza muda wake ana haki ya malipo ya mkupuo...
  17. Vyeo 9 vya nguvu alivyoshika Uhuru Kenyatta kabla ya kuwa Rais

    Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta aliwashukuru Wakenya kwa fursa nyingi walizompatia kuhudumu katika majukumu mbalimbali ya umma katika miongo miwili na nusu iliyopita. Akihutubia Taifa katika Ikulu mnamo Jumatatu, Septemba 13, Rais anayeondoka alikumbuka safari yake katika utumishi wa Umma...
  18. Kenya2022 HOTUBA KAMILI: Maneno ya mwisho ya Uhuru Kenyatta kabla ya kuachia Urais

    Hatimaye Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta amempongeza Rais Mteule William Ruto, baada ya mkutano wao Ikulu. Wawili hao walikutana alasiri ya Jumatatu, Septemba 12, saa chache tu kabla ya hafla ya kuapishwa kwa William Ruto iliyotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Kasarani. “Kama alama kuu ya...
  19. Kenya2022 Rais Uhuru Kenyatta: Nitakabidhi Madaraka nikiwa natabasamu lakini kiongozi wangu ni Raila

    President Kenyatta: I Will Hand Over Power Smiling, But Raila Is My Leader President Uhuru Kenyatta now says that he will gleefully hand over the reins to president-elect William Ruto on September 13, 2022, when his former deputy takes his oath of office. Speaking on Wednesday when he met...
  20. Kenya2022 Ruto: Nina miezi sijazungumza na Rais Kenyatta

    Rais mteule wa Kenya, William Ruto ameweka wazi kuwa hajazungumza na Rais Uhuru Kenyatta kwa miezi sasa huku akiahidi kuwa atampigia simu kuzungumza naye. Ruto amesema hayo muda mfupi baada ya Mahakama ya Juu nchini Kenya kutupilia mbali maombi ya kikatiba yalifunguliwa wiki iliyopita na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…