kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Polisi wajeruhiana kwa risasi wakimgombania mwanamke

    Maafisa wawili wa polisi wamejeruhiana kwa risasi usiku wa siku ya Ijumaa baada ya kutokea ugomvi juu ya mwanamke katika klabu moja eneo la Barabara ya Thika, Nairobi nchini Kenya. Ugomvi kati ya Konstebo Festus Musyoka na Konstebo Lawrence Muturi ulitokana na mwanamke aliyekuwa ameambatana na...
  2. S

    Kenya Special Forces Patrol Boni Forest

    Mad respect to The Kenya Special forces who operate along Boni Forest, Mpeketoni and its Environs- Gibons Miller (TWTR)
  3. VIDEO: Tundu Lissu akitoa 'central theme' ya kitabu chake na sababu za kufanyia uzinduzi wake Kenya badala ya Tanzania

    Harakati za kisiasa za Tundu A. M. Lissu sasa ziko kwenye maandishi. Kitabu chake "REMAINING IN THE SHADOWS: PARLIAMENTS AND ACCOUNTABILITY IN EAST AFRICA" kinachambua historia (history), mapungufu (weaknesses) na mazuri (strengths) ya mabunge ya nchi zote mama za Afrika Mashariki i.e Kenya...
  4. KENYA: KEMRI watabiri wimbi la nne kuja katikati ya Julai

    Ripoti ya Taasisi ya Kenya ya Tafiti za Madawa(KEMRI) zimeonesha watakumbna na wimbi la nne la COVID19 katikati ya mwezi Julai KEMRI wamesema Nairobi na mikoa ya Mwambao itapigwa zaidi na wimbi hilo. Hadi sasa Kenya imerekodi ju la ya maambukizi 184,537 ===== Thursday, July 1 marked 471 days...
  5. Top 25 Banks in Africa 2021. Kenya is the only country from East Africa

    The list of top 25 Banks in Africa have just been released and East Africa is only represented by Kenya. Without Kenya, East African region would not appear in most rankings in Africa. The first bank from East Africa to appear was KCB at number 20 with a market cap of $1,317M, the second bank is...
  6. Kenya: Gov’t lost Ksh1.8 billion to ghost students – Auditor General

    The government lost at least Ksh1.8 billion to ghost students in secondary schools in the financial year 2019/2020, the auditor general Nancy Gathungu has revealed. According to Gathungu, the loss was as a result of erroneous computations of July and September, 2019 disbursements, inflation of...
  7. World Rally Championship (WRC) - SAFARI RALLY KENYA 2021

    After almost 20 years, Safari Rally Kenya returns to the World Rally Championship this weekend and the roads north of Nairobi are primed, ready, waiting and completely alien to today's rallying elite. For nearly two decades the World Rally Championship crown has been missing a gem, but this...
  8. Kabla hujatongoza dai kitambulisho, Kenya wameonyesha njia

    Jirani yako akibuni njia nzuri si mbaya kuiga ilimradi ufikie malengo yako. Tunakubaliana watoto weng wa kike chini ya 18 wamenona, wanajipamba na wao wanatia watu majaribun kwa tamaa na haraka zao na hatimaye weng wanakutana na mkono wa sheria, kwa aibu na fedheha! Mbaya zaid tuna mabinti...
  9. Helikopta ya Jeshi yaanguka Kenya

    Helikopta ya Jeshi la Kenya aina ya Mi 171e iliyokuwa katika shughuli za mafunzo imehusika katika ajali kwenye milima ya Ngong, Jimbo la Kajiado eneo la Bonde la Ufa. Jeshi la ulinzi la Kenya (KDF) limethibitihs ajali hiyo katika mtandao wake rasmi wa Twitter na kuongeza kuwa shughuli za uokozi...
  10. Kenya approves the first GMO Cassava in the world

    Kenya is the first country in the world to approve the cultivation of GMO Cassava. It is going to increase food security. Reduce diseases affecting the crop and boost farmers' income. This GMO Cassava is locally developed by KALRO. And it has no negative effects to health. In yet another big...
  11. Q

    Tundu Lissu yupo Kenya kwa uzinduzi wa kitabu chake

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu ametua nchini Kenya kwa ajili ya uzinduzi wa kitabu chake, je atakuja nchini? #Tanzania opposition politician Tundu Lissu, who has been exiled in Belgium after fleeing the country in 2020, has arrived in Kenya ahead of his book launch on...
  12. Kenya WSR 2021 Rally

    My Kenya brothers a thread show us what's happening in Vasha
  13. Filamu kubwa zinatumia mandhari ya Kenya, Tanzania tunakwama wapi?

    Filamu (movie)kali hasa kitalii kwa afrika inafanyika sana kenya na nchi zingine. Kenya kupitia filamu nyingi location inakuwa kenya wanajitangaza kiutalii mfano endangered species unaona mlima Kilimanjaro ni mlima mrefu barani afrika na watalii wanajua mlima Kilimanjaro upo kenya kwasababu...
  14. Serikali ya Kenya yaburuzwa mahakamani kwa kukosekana uwazi mradi wa SGR

    Asasi ya Kiraia ya Okoa Mombasa ikishirikiana na Taasisi ya Uwajibikaji wa Kijamii (TISA) wameiburuza Serikali ya Kenya mahakamani kudai kuwekwa wazi kwa mikataba ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Mombasa - Nairobi ya Standard Gauge Railway (SGR). Mashirika hayo mawili yanadai serikali iweke wazi...
  15. Daraja chini ya ujenzi laporomoka huko Kenya

    Daraja "flyover" chini ya ujenzi huko Kangemi, Nairobi Kenya limeporomoka mida hii. Watu wanne wameokolewa wakiwa na maumivu makali huku wengine wakihofiwa kufunikwa na kifusi. Chanzo: kenyans.co.ke
  16. Tungekuwa na Katiba kama ya Kenya tungefika mbali

    Katiba ya sasa ya Kenya ilipunguza kwa kiwango kikubwa sana vyeo vya kugawa kama Karanga. Katiba ya Kenya bado naamini ni moja ya katiba bora Africa na ni nchi chache Africa zina katiba ya aina ile. Ndo maana hadi Majaji au IGP wa police Kenya anatuma maoumbi, Mkaguzi mkuu wa hesabu anatuma...
  17. Aharibu mali zenye thamani ya Tsh. Milioni 4 baada ya Mke kugoma kubaki nyumbani kusherehekea Siku ya Akina Baba Duniani

    Mwanaume mmoja kutoka Kijiji cha Gichugu Kaunti ya Kiriyanga nchini Kenya ameharibu mazao yanayokadiriwa kuwa na thamani ya Shilingi za Kenya 200,000 (sawa na Tsh. milioni 4.3 ) baada ya mke wake kukataa kubaki nyumbani kusherekea Siku ya Kina Baba Duniani. Kwa mujibu wa mashahidi, mwanaume...
  18. Wapelekana Polisi Baada ya Jamaaa Kulamba Asali Masaa Mawili

    Awuor aliruka na kukimbia katika kituo cha polisi cha Dandora kumshtaki Otieno kwa kukosa kushiba tendo la ndoa Alisemaalimpakulia utamu wa mwili wake kwa masaa mawili baada ya kulipa KSh 4000 lakini hakuwa akishiba Ilibidi amtoe juu na hivyo uzushi ukazuka na Otieno kuharibu vitu nyumbani kwake...
  19. Curfew to begin at 7pm in Kisumu and 12 other counties, movement restricted

    The government has reviewed COVID-19 containment measures in 13 counties within the Lake Basin region following a spike in the infection rate in the area. In a statement issued on Thursday, Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe said the dusk-to-dawn curfew shall begin at 7pm and end at 4am in...
  20. B

    Harbinder Sigh Seth amewekeza nini Tanzania kinacholipa fedha alizoelekezwa? Akirudi kwao Kenya itakuwaje?

    Huyu Mzee ameiba matrilioni ya nchi yetu. Watoto hawana madawati Wala madarasa, hospitali hazina madawa, mishahara haipandi nk then anahukumiwa alipe bilion zaidi ya ishirini anatangulia milioni mia mbili. Are we serious? Hizo bilioni 26 zitalipwa au ametupiga? Ukiisoma taarifa za Kenya it's...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…