kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Tanzania Kenya kinara wa kuingiza watalii Tanzania

    Idadi ya watalii waliotembelea Tanzania miezi mitano iliyopita imeongezeka hadi kufikia 458,048 huku nchi ya Kenya ikiwa ni miongoni mwa nchi zilizoingiza watalii wengi. Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) katika taarifa yake iliyotolewa hivi karibuni kuhusu watalii walioingia Tanzania kati ya...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga iliyoacha rekodi Kampala wakati Onyango akizaliwa Kenya

    Yanga iliyoacha rekodi Kampala wakati Onyango akizaliwa Kenya KAMA utani imetimia miaka 27 tangu vinara wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, Yanga ilipoandika rekodi ya aina yake jijini Kampala. Kwa waliosahau ni kwamba Januari, 1993 mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania, iliyosafiri kichovu kwenda...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unga wa mahindi Kenya kilo moja ni 4100 shilingi za Kitanzania

    Bei ya mahindi nchini Tanzania inaogofya sana hadi kufikia 100000-130000 kwa gunia la kilo 100 kwa baadhi ya mikoa ya nchi hii. Kupanda kwa bei ya mahindi imepelekea wananchi wa kawaida kununua unga wa kupikia ugali kati ya 1400-2000 kwa kilo moja, hali ya upatikanaji wa chakula hicho inazidi...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Maandamano ya "Bila chakula hatupigi kura" Kenya!

    "..waache wajiweke lockdown sisi tunenda shambani kulima, njaa itawatoa huko walipojifungia...." JPM (RIP) Hakika unabii wake umetima na kamwe hakuna neno lake litakalopita bila kutimia! Wakenya wameanza kuonja machungu ya uviko baada ya bei unga kuzidi kupaa ambapo majuzi walitishia kususia...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miundombinu tayari kwa shirika la umeme Kenya kusambaza intaneti

    Tunakwenda vizuri. Kenya Power will start offering fixed internet services by June next year in a shift that will put it in competition with telcos and trigger fresh price wars in the battle for the market. The State-owned power utility has been piloting the fixed internet provision to a...
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yashuhudia uboreshaji wa miundombinu

    Ninachukulia Kenya kama nyumbani kwangu, kwa sababu niliishi na kufanya kazi huko mara mbili kwa miaka mitano na nusu. Kwa zaidi ya miaka kumi kati ya mara hizo mbili, nimejionea mabadiliko makubwa yaliyotokea nchini humo, haswa uboreshaji wa miundombinu. Mwaka 2004, wakati nilipofanya kazi...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walimu wa Kenya changamkieni fursa kama kawaida, Uganda yarasimisha Kiswahili

    Sasa Kiswahili ni lugha rasmi Uganda, na kitatahiniwa kuanzia shule za msingi hadi sekondari, hii fursa nzuri kwa walimu wetu hususan ale ambao ako vizuri kingereza maana lazima upate pakuanzia kuwafunza Kiswahili..... Kampala. Uganda’s cabinet on Tuesday July 5, approved the implementation of...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 William Rutto: Nilimfanya Uhuru Kenyatta Rais wa Kenya

    Akizungumza mjini Meru katika siku ya mwisho ya ziara yake ya Mlima Kenya Mashariki, Makamu wa Rais Ruto amesema wakati Mahakama kuu, ilipoamuru uchaguzi wa marudio mnamo 2017, Rais Kenyatta hakutaka kurudia na alimlazimisha kurudia uchaguzi huo kwani asingemruhusu kuacha kazi aliyoifanya kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mother Nature ni kivutio kikubwa cha utalii huko Karura Forest, Kenya

  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inaonesha wanasiasa Kenya ndio walafi kwa kujilimbikizia pesa

    Nimepata makala moja hapa inaonesha Kenya ndio inaongoza kwa wanasiasa wanaokula pesa ndefu.
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya has surpassed South Africa as Africa’s top avocado exporter

    Kenya has surpassed South Africa to become Africa’s top exporter of avocados. In Central Kenya in particular, where the majority of the country’s small-scale avocado farmers are found, coffee bushes are fast being replaced by avocado trees. A problem surrounding this new production is theft...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Wajackoyah: Nikishinda Urais Kenya nitaanzisha biashara ya korodani za fisi kwenda China

    Mgombea Uraisi Nchini Kenya, George Wajackoyah amesema kuwa akiingia madarakani atafanya mchakato wa kuuza korodani za fisi pamoja na nyama nyingine za mnyama huyo Nchini China ili kukuza kipato cha taifa hilo. Wajackoyah amesema mlo wa Wanyama hao utasaidia kukuza uchumi wa Kenya na kuimarisha...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yajibu kuhusu ombaomba wanaopelekwa Kenya

    MY TAKE: Ni matumaini yangu kwamba Kenya itatekeleza wajibu wake Kama nchi ya kuwatafuta na kuwakamata wale wote wenye kujihusisha na biashara haramu ya kusafirisha binadamu. Tony254 Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania's Taifa Gas licensed to set up plant in Kenya

    Nairobi. Tanzania’s biggest gas dealer Taifa Gas has been licensed to set up gas plant and storage facilities at a site in Dongo Kundu near the port of Mombasa to supply LPG for domestic, commercial and industrial use. The company, owned by Tanzanian business magnate Rostam Aziz, is expected...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Wajackoyah: I will Hold National Fundraiser In My First 100 Days To Reduce Country Debt

    Roots Party presidential candidate Prof. George Wajackoyah has dismissed what he terms as unrealistic promises by his competitors should they win the top seat in the upcoming August polls. According to Prof. Wajackoyah, Kenya is in a sorry economic state and politicians who are making grand...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya to Start Buying Cheaper Fuel from Saudi Arabia

    The deal will see Saudi Armco supply NOCK with refined fuel at exclusively lower process than the global fuel costs. Under the government-to-government deal, NOCK will be importing 30 percent of the country's monthly petroleum requirements. The National Oil Corporation of Kenya (NOCK) will...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya to begin work on 127km Voi-Taveta railway link

    Kenya will begin rehabilitating the 127-kilometre Voi-Taveta metre gauge railway line to serve the Kenya Ports Authority’s inland container depot at Taveta on the border with Tanzania. Kenya’s Planning Principal Secretary Saitoti Torome said plans to refurbish the old line were complete and...
  18. JamiiForums Tanzania Wanariadha 4 wa Tanzania, Waangukia Pua huko Kenya

    Wanariadha maarufu wa nchini , waliokwenda Kenya kutafuta kufuzu mashindano ya kimataifa wameambulia nafasi ya 8 Kwa Mwanariadha wa kike, Huku Wanaume wa 3 wakiambulia patupu, Huku Mmoja akishika nafasi ya Mwisho kwenye Mbio za Mita 800. Maandalizi ya Mashindano ya Riadha Bado ni But Sana...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania na Kenya kushirikiana kutokomeza usafirishaji haramu wa Binadamu

    Baada ya ripoti ya BBC Africa Eye kufichua kupangwa kwa utoroshwaji wa watoto walemavu kutoka Tanzania hadi Kenya na kugeuzwa omba omba, nchi hizo zimeahidi kufanya kazi kwa karibu kutokomeza biashara hiyo Mkuu wa Kitengo cha Utafiti, Takwimu na Ukarabati wa Sekretarieti ya Kupambana na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi mchina alivyowatapeli maelfu ya wa Kenya dollar million 10 na kuwatukana kwenye crypto currency

    Mzuka wanajamvi! Ukiitwa kwenye fursa juwa wee mwenyewe ndio fursa. "Bado naendesha Ferrari yangu na baadhi yenu hamuwezi hata kununua chakula." Iyo ndio ilikuwa ujumbe wa mwisho wa mwanzilishi wa Crypto currency alivyoandika kwenye group la telegram baada ya kuwatapeli shilingi billion moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…