kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Tanzania Video: Tathmini ya Tundu Lissu ya Uchaguzi mkuu Kenya Agost 9, 2022; Ausifu na kueleza aliyoyaona na ambayo hakuyaona yakifanywa na tume - IEBC

    Niseme nini hasa? Tundu Lissu ni miongoni mwa wanaharakati, wanasheria na wanasiasa brilliant wanaojua kuelezea jambo kwa lugha rahisi, iliyonyooka na kueleweka na yeyote... Ni wazi kuwa huyu jamaa kasoma kweli na ameelimika pia na anajua mambo mengi sana... Hapa anaeleza maoni na mtazamo...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwanasheria Mkuu asema hapingani na Pingamizi la Raila Odinga

    Paul Kihara Kariuki amewasilisha andiko hilo Mahakama Kuu akionesha kwamba hatosimama kupinga na maombi 8 ya Pingamizi lililowekwa na Raila Odinga la kutaka kubatilishwa Matokeo wa Urais. Wakili Mkuu, Kennedy Ogeto, akizungumza kwa niaba ya Mwanasheria Mkuu, alithibitisha hatua hiyo katika...
  3. N

    JamiiForums Tanzania AIBU: Kesi nzito Kenya maamuzi mwanzo mwezi ujao, hapa COVID 19 ni danadana

    kesi kubwaa sana ambayo kwa kweli sidhani kama kuna jaji wa tanzania mwenye level ya kuielewa achilia mbali kutolea maamuzi soon inaanza kunguruma hapo kenya maamuzi yake yanatarajiwa kutolewa mwezi ujao mwanzoni Ni kesi kubwa kila upande unavutia kwake, hawa wanasema kuna wizi wa kura leo...
  4. JamiiForums Tanzania Kama tume huru ya uchaguzi ndio hii ya Kenya basi haitufai ,hii yetu ni Bora mara 1000...,

    Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Fahamu kuhusu Mawakili watakaoitetea Tume ya Uchaguzi

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeteua Kampuni 26 za Mawakili zitakazoiwakilisha Tume hiyo na Mwenyekiti wake Wafula Chebukati. Kila Kampuni ya Wanasheria na Mawakili, italipwa takriban Tsh. Milioni 388,967,498/- Zaidi ya Tsh. Bilioni 10.1 zitatumika kulipa Wanasheria na Mawakili...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Tume na Makamishna waliokataa Matokeo watofautiana uteuzi wa Mawakili

    Mzozo kati ya Makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) unazidi kuongezeka baada ya pande hizo mbili kuteua Mawakili tofauti kuwawakilisha kwenye maombi ya kupinga Matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa IEBC Hussein Marjan aliifahamisha Mahakama Kuu wameteua...
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika hali isiyokuwa ya kawaida IGP wa Kenya aomba kupumzika kwa muda

    Je,, ni kweli IGP anaumwa? Au, bado ni vuta nikuvute ya uchaguzi? Na ni nani yuko nyuma ya movie hii? Ni Ruto (mhangaikaji) ama Odinga (mtoto wa mboga 7)?
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo 10 ambayo Magavana wa Kenya Hawaruhusiwi kufanya

    Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imebuni kanuni zitakazoweka kikomo na kuelekeza kile Magavana 45 walioapishwa hivi karibuni wanaweza kufanya na wasichoweza kufanya wanapokuwa Ofisini Kupitia Sheria ya Uongozi na Uadilifu, Magavana hawataruhusiwa kufanya biashara kama vile raia...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wanaharakati wafungua kesi kupinga Mahakama Kuu kumtangaza Rais

    Wanaharakati Koome Mbogo, Michael Asola, na Eric Githinji wamehamishia Pingamizi lao katika Mahakama ya Rufaa ili kuzuia Mahakama Kuu kumtangaza Rais kutokana na kesi za kupinga ushindi wa Naibu Rais William Ruto. Walalamikaji hao hawakuridhika na uamuzi wa Mahakama Kuu kutupilia mbali ombi lao...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Watafiti waonya wananchi kuhusu Maziwa yaliyochafuliwa

    Onyo hilo linatokana na utafiti uliofanywa na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo (ILRI) iliyobaini kuwa takriban 50% ya sampuli za Maziwa zilizokusanywa kutoka kaunti za Nakuru, Laikipia na Nyandarua zilikuwa na uchafu. Ripoti hiyo ilionesha kuwa kati ya sampuli 493 za Maziwa...
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afisa wa Tume ya Uchaguzi Kenya afariki dunia baada ya kuugua ghafla

    Chanzo: Mwananchi Nairobi. Msimamizi wa uchaguzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya kwenye jimbo la Gichugu, Geoffrey Gitobu amefariki dunia jana Jumatatu Agosti 22, 2022 baada ya kuanguka ghafla. Meneja wa Uchaguzi wa IEBC kaunti ya Kirinyaga, Jane Gitonga amethibitisha...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mvurugano waendelea Tume ya Uchaguzi Kenya. Wafula Chebukati, Msaidizi wake waendeleza mtifuano

    Mvurugano ndani ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) umeendelea baada ya viongozi wa juu wa tume hiyo Mwenyekiti Wafula Chebukati na Makamu wake, Juliana Cherera kupishana kauli wakiwa kwenye kikao cha pamoja. Viongozi hao wakiwa na wajumbe wenzao wa Tume pamoja na wawakilishi wa vyama...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FAHAMU: Katiba inamzuia Rais wa Kenya kufanya haya baada ya Uchaguzi Mkuu

    Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya, baada tu ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, 2022 Rais alipoteza; Mamlaka ya kuteua Majaji wa Mahakama Kuu, kuteua Afisa yeyote wa Umma, kuteua au kumfukuza kazi Katibu wa Baraza la Mawaziri, Katibu Mkuu na Maafisa wengine wa Serikali. Kwasasa hawezi kutumia Mamlaka ya...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Two link roads connecting Kenya to South Sudan to cost Sh22.6bn

    Two link roads connecting Kenya and South Sudan will cost at least Sh22.6 billion as the roads agency seeks to open up the northern corridor. The Kenya National Highway Authority (KeNHA) says in documents seeking approval from the National Environment Management Authority (Nema) that the first...
  15. JamiiForums Tanzania Somo zuri kutoka uchaguzi wa Kenya ambalo watawala wa Tanzania na CCM hawataki kulisikia.

    Mambo 10 yanayoutofautisha uchaguzi wa Kenya na nchi zingine Afrika 19 Agosti 2022 Na Yusuph Mazimu BBC Swahili Kenya imefanya Uchaguzi wake mkuu Agosti 9, 2022, na kumchagua William Ruto kuwa Rais wa tano wa taifa hilo, akimuangusha mwanasiasa mkongwe, Raila Odinga, aliyekuwa anagombea kwa...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Kwanza nominates Moses Wetangula as National Assembly Speaker

    Moses Wetangula President-elect William Ruto’s Kenya Kwanza has now nominated the alliance co-principal and Ford Kenya party leader Moses Wetangula to the position of Speaker of the National Assembly. This is according to Amani National Congress (ANC) party leader, and fellow Kenya Kwanza...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wafahamu Majaji wa Mahakama ya Juu zaidi Kenya

    Wafahamu majaji wa Mahakama ya Juu zaidi Kenya Iwapo Raila Odinga atawasilisha kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi, itasikilizwa na majaji wa Mahakama ya Juu zaidi Zoezi la uchaguzi nchini Kenya lilikamilika baada ya raia kupata fursa ya kuchagua viongozi wao wa ngazi mbali mbali na matokeo...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utelezi wa vita ya Ukraine umemwangusha Kenyatta na Raila Odinga Kenya

    Maisha yamepanda, maisha ni magumu na hali ni mbaya sana kwa watawala katika kipindi hiki. Ni vigumu kuwashawishi wapigakura kuwa hali hii nguvu ni kwasababu ya vita ya Ukraine na Russia na sio uzembe na ufujaji wa viongozi wao. Kilichomwangusha Raila kwenye sanduku la kura ni kuungwa mkono na...
  19. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mshituko:! Wabunge na Maseneta wateule kutoka vyama mbalimbali waanza kuunga juhudi chama tawala (UDA)

    Huwezi amini nchini Kenya toka Jana kuna utitiri wa wabunge wateule kutoka vyama mbali mbali kikiwemo na chama Cha Raila Odinga wameanza kuunga juhudi Kwa Kasi ya 5g.. Soma hapa zaidi: Today and Yesterday was a Busy Day for KENYA KWANZA MPs Who Have Joined Kenya Kwanza 1. Nambale Constituency-...
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI Gazeti la "The Star": Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya alihongwa ili kuipa zabuni kampuni ya Ugiriki

    Gazeti la The Star limechapisha taarifa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya, Wafula Chebukati na wenzake walihongwa Dola Milioni 3 ( Takriban Tsh bilioni 7) ili kuwaba zabuni kampuni ya kigiriki kutengeneza karatasi za kupigia kura. Ukweli wake upoje?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…