kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Tanzania Huu hapa Mkataba kati ya walipa kodi wa Kenya na Benki ya Exim ya China

    Huu unahusu ile reli yao. Hizi ni punch line. Kwenye mkataba kunakataza mkataba kuweka hadharani, sasa Ruto kaamua kuweka. Pesa zote watakazokopeshwa lazima watumie kununua bidhaa za china. Endapo kenya ata default kwenye mojawapo ya madeni yake mengine, basi nae mchina apewe kipaumbele kwenye...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera kwa Ruto kutowarembea M23, Akiwa mpole Kenya Magharibi itaanza kuchezewa kama Congo, M23 = Rwanda + Uganda

    Mwanzoni mtoto wa M7 alikuwa anapima kina cha maji kutesti reaction ya Ruto, Nahisi aliona Ruto ni Docile akaanza kumtesti kwa kumwambia ataiteka Nairobi ....ujumbe huu ulikuwa ni direct kwenda kwa Mkuu wa majeshi ya Kenya ambae ni Ruto. aliweka ujumbe kwamba anaweza kuikamata Nairobi ndani ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Upigaji wa Wachina Katika Mikataba ya SGR Uko Wapi?

    Kipchumba Murkomen kafanya kweli huko Kenya. Sasa watu wanajiuliza, ule upigaji mkubwa uliokuwa ukisemwa kuhusu unyongaji wa mikataba ya kichina upo wapi? Bandari ya Mombasa iliyodaiwa kuwekwa rehani haionekani popote. Na kama kuna chembechembe zozote za upigaji, ni dhahiri kabisa kwamba ni...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu hapa mkataba wa Kenya na Benki ya China ya kupata mkopo kwa ajili ya SGR

    Mkataba huu wa Kenya kuomba $1.6 Bilioni, mkopo wa kibiashara ambao una riba ya 2%. Umesheheni masharti ya kutosha kwa kuwa ni kama mkopo wa kibiashara. Aidha vitu vyote vitakavyonunuliwa kwa ajili ya mradi huo havitatozwa kodi.
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini jeshi la Kenya linajiunga na mzozo wa DRC

    Zaidi ya watu 100,000 wamekimbia makazi yao na makumi ya wengine wameuawa baada ya mapigano kuzuka kati ya wanajeshi wa Jamhuriya Kidemokrasia yaCongo na kundi la waasi wa M23, katika moja ya migogoro mirefu na mbaya zaidi duniani. Sasa, vikosi vya Kenya vinajiunga na vita kusaidia jeshi la...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa picha: Hali JKIA baada ya marubani wa Kenya Airways kutangaza mgomo

    Abiria wamekuwa wakipanga foleni katika kituo cha wasafiri wa kimataifa katika uwanja wa JKIA ili kujua hali ya safari zao. Baadhi ya safari zimeahirishwa na wateja wengine kuhamishiwa ndege zingine, lakini wengine wao wamesubiri hadi saa 6 kuhudumiwa.
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marubani 400 wa Kenya Airways wagoma, abiria 10,000 wakwama uwanja wa ndege

    UPDATE: Chama cha Wafanyakazi wa Usafiri wa Anga cha Kenya (Kawu) kimetaka wanachama wao kuacha kazi leo baada ya Mamlaka ya Uwanja wa Ndege wa Kenya kukamilisha na kutekeleza Makubaliano ya Pamoja ya Majadiliano (CBA) ambayo yalijadiliwa na kuafikiwa mwaka wa 2019. Wanachama wa Kawu ambao ni...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Ukame waua Tembo 205 ndani ya miezi 10

    Mbali na Tembo pia kuna Wanyamapori wengine wamekufa kati ya Februari hadi Oktoba 2022, ikiwa ni rekodi mbaya ndani ya miaka 40 iliyopita katika tasnia ya Utalii Nchini humo. Licha ya kuwa mvua zimeanza lakini Idara ya Hali ya Hewa ya Kenya imetabiri kuwa mvua zitakuwa ni chini ya wastani kwa...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania msikilizeni Dkt. Wiliam Ruto Rais wa Kenya anayoyasema hapa

    Sikilizeni madini
  10. JamiiForums Tanzania Kenya kuungana na majeshi mengine ya EA kwenye kufurusha majeshi ya M23, Drc kaskazini.

    It's so complicated, kwa mujibu wa BBC, Majeshi ya M23 yanayodhaniwa kufadhiliwa na Rwanda ambayo ni miongoni mwa nchi za EA, Hili limekaaje , na kwanini EA, Isimkaripie Rwanda kuacha kufadhili waasi hawa ambaye ni mwanachama wao.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna magari ya moja kwa moja kutoka Dar - Kisumu, Kenya

    Habari ndugu zangu nauliza gari gani nzuri kutoka dar kwenda kisumu na bei yake au kama mtu anaexperience na safari ya namna hii naomba anielekekeze.
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marubani wa Shirika la Ndege la Kenya Airways mbioni kufanya mgomo

    Imedaiwa mpango huo unatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia leo Novemba 3, 2022 baada ya mazungumzo ya wiki mbili baina ya pande mbili kutopata muafaka. Marubani wanataka warejeshewe mchango wa mafao yao ya kustaafu ambayo yalisimamishwa wakati wa kipindi cha UVIKO-19, wakati Shirika limeweka...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapeleka wanajeshi DRC kupambana na MRC

    Baada ya DRC kujiunga EAC, imebidi mataifa kwenye jumuiya yafanye maamuzi ya kuwasaidia. ======== Kenya's President William Ruto (left) on November 2, 2022 inspects some of vehicles to be used by Kenya Defence Forces soldiers deploying to the DRC as part of the East Africa Community Regional...
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanzo mzuri kwenye ushirikiano kati ya China na Kenya katika Serikali mpya

    Ni muda mfupi sasa tangu Rais William Ruto aingie madarakani, na polepole ameanza kuweka mipango ya utekelezaji wa sera atakazozipa kipaumbele katika kipindi chake cha uongozi. Wakati vumbi la uchaguzi sasa limetua, ufuatiliaji hasa kuhusu sera za uchumi na jinsi zitakavyogusa wananchi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Mpelelezi Mkuu Kenya: Tulilazimishwa kutengeneza kesi ya Tsh. Bil 140.3 dhidi ya Naibu Rais Gachagua

    Maafisa wa upelelezi katika Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) walilazimika kumfungulia mashtaka Naibu Rais Rigathi Gachagua kuhusiana na kesi ya ufisadi wa Tsh. Bilioni 140.3, afisa mkuu wa polisi amefichua. Pia imeelezwa wakati wa kumkamata Gachagua na kufikishwa kortini Julai 26, 2021...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Askari Polisi washtakiwa kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu

    Maafisa 12 wa polisi Nchini Kenya wanakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya ubinadamu kwa madai ya kuhusika katika makosa yaliyofanywa wakati wa uchaguzi wa mwaka 2017, ikiwa ni pamoja na mauaji ya mtoto wa miezi sita. Mwendesha Mashtaka Mkuu anasema uchunguzi unaonyesha kuwa maafisa wa...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom yazindua mtandao wa 5G nchini Kenya

    Kamouni ya Mawasiliano ya Simu ya Safaricom leo Alhamisi imezindua mtandao wa 5G Wi-Fi mbadala wa huduma za nyumbani na huduma ya 4G Wi-Fi. Kampuni inalenga makazi na ofisi za biashara katika maeneo ambayo kwa sasa hayahudumiwi na mtandao wake wa Fibre. ====================== Safaricom will...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Bunge laidhinisha uteuzi wa Mawaziri, kuapishwa leo

    Rais William Ruto amepata kibali rasmi cha Bunge kuwateua Mawaziri wa Serikali yake ambao wataanza kazi leo Oktoba 27, 2022 baada ya kupitia mchujo wa Kikatiba kwa takriban wiki 2 Mawaziri hao pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri wanatarajia kuapishwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Miguna kosa kubwa karejea Kenya, Lissu na Lema kunani?

    Kosa la kumuapisha mtu bila ridhaa ya taasisi husika ni kosa kubwa sana! Miguna miguna alimuapisha Odinga na karejea Kenya baada ya muda mrefu kuwa Canada! Je, kuna tishio lolote Lissu na Lema kurejea nchini? Au kuna ujanja ujanja fulani ambao unawafanya kujificha kwenye kivuli cha exile...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ya Pakistan yatuma wapelelezi kuchunguza kifo cha mwanahabari Sharif nchini Kenya

    Serikali ya Pakistani imetuma maafisa watatu wakuu wa usalama nchini Kenya kuchunguza mauaji ya mwanahabari Arshad Sharif yaliyotokea siku ya Jumapili. Timu hiyo inajumuisha mkurugenzi wa Shirika la Upelelezi la Shirikisho Athar Waheed na naibu mkurugenzi mkuu wa Ofisi ya Ujasusi Omar Shahid...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…