kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Kenya2022 Uchaguzi Kenya: Masanduku 9 kati ya 15 ya Kura zilizoagizwa kuhesabiwa upya hayana hitilafu

    Uchunguzi wa kundi la kwanza la masanduku 9 kati ya 15 ya kura zilizoagizwa kuhesabiwa upya na Mahakama ya Juu haukuweza kuonesha hitilafu zozote za wazi katika matokeo ya uchaguzi wa Urais. Wakati wa kuchapisha, ni masanduku tisa pekee kati ya 15 ya kura yalikuwa yamefunguliwa, kuchunguzwa na...
  2. Kenya2022 Maswali na Majibu yote kutoka Mahakama Kuu kuhusu Pingamizi la Matokeo ya Urais

    Githu Muigai: Waangalizi wote walirudi na hitimisho moja. Huu ulikuwa uchaguzi wa wazi na wazi. Githu Muigai: Ningekuhimiza uwaulize mawakili ikiwa wanafurahia uchaguzi wao wenyewe. Ikiwa wamefurahi, basi inakuwaje uchaguzi huu una dosari? Githu Muigai: Katika mahakama hii, kuna magavana...
  3. Kenya: Wabunge wanyimwa huduma za "Masaji" na Urembo kwenye Bima ya Afya

    Wabunge walitaka huduma za Urembo na "Massage" zijumuishwe kwenye Vifurushi vya Bima za Matibabu yao ambapo Tume ya Huduma za Bunge (PSC) imekataa na kuwataka kutumia fedha zao wenyewe kupata huduma hizo. Hata hivyo, Wabunge hao watapata Bima ya Tsh. Milioni 206 ikijumuisha na familia zao...
  4. Kenya kuanza kutumia namba za magari za Dijitali

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Fred Matiang’i amesema wananchi wamepewa miezi 18 kubadili Namba za zamani na kuweka mpya ambapo magari Milioni 4.8 yaliyosajiliwa yataingia kwenye utaratibu huo. Muda huo hautahusisha magari mapya ambayo yatatakiwa kusajiliwa na mfumo mpya wa Number Plates...
  5. L

    Maparachichi mabichi kutoka Kenya hatimaye yafika China

    Kupitia juhudi za pamoja za nchi mbili, shehena ya kwanza ya maparachichi mabichi kutoka Kenya hatimaye yalifika China kwa wingi hivi karibuni. Mapema asubuhi ya Agosti 26, tani 45 za maparachichi mabichi ya Kenya yaliwasili katika bandari ya Waigaoqiao mjini Shanghai. Inatarajiwa kuwa wakazi wa...
  6. Kenya2022 Jaji Othman Chande kuongoza Majaji waangalizi wa Pingamizi la Urais

    Kundi la Majaji na Wanasheria mashuhuri ambao ni wanachama wa Jukwaa la Majaji na Wanasheria wa Afrika limewasili nchini Kenya kwa ajili ya kuangalia na kisha kutoa taarifa ya mchakato wa kesi ya Pingamizi la Urais katika Mahakama Kuu. Ujumbe huo unaongozwa na Mohammed Chande Othman, Jaji Mkuu...
  7. F

    Kule Kenya mambo ni moto

    Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Kenya IEBC bwana Wafula Chabukati katika kiapo chake mbele ya Mahakama ya juu Kwenye kesi ya kupinga matokeo ya Urais yaliyompa bwana Ruto Ushindi alidai kwa alishinikizwa na deep state kubatislisha matokeo ya Urais. Hata hivyo hali ya hewa...
  8. Hatua 10 zinazoweza kumuondoa Chebukati ndani ya Tume ya Uchaguzi

    Baadhi ya wanasiasa wa Azimio la Umoja one Kenya wanataka Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati, kujiuzulu baada ya kutokubaliana na Matokeo ya Urais, huu ndio mchakato pekee unaoweza kufuatwa. - Ibara ya 251(2) ya Katiba inatamka kwamba mtu anayetaka kumwondoa Mwenyekiti...
  9. Video: Tathmini ya Tundu Lissu ya Uchaguzi mkuu Kenya Agost 9, 2022; Ausifu na kueleza aliyoyaona na ambayo hakuyaona yakifanywa na tume - IEBC

    Niseme nini hasa? Tundu Lissu ni miongoni mwa wanaharakati, wanasheria na wanasiasa brilliant wanaojua kuelezea jambo kwa lugha rahisi, iliyonyooka na kueleweka na yeyote... Ni wazi kuwa huyu jamaa kasoma kweli na ameelimika pia na anajua mambo mengi sana... Hapa anaeleza maoni na mtazamo...
  10. Kenya: Mwanasheria Mkuu asema hapingani na Pingamizi la Raila Odinga

    Paul Kihara Kariuki amewasilisha andiko hilo Mahakama Kuu akionesha kwamba hatosimama kupinga na maombi 8 ya Pingamizi lililowekwa na Raila Odinga la kutaka kubatilishwa Matokeo wa Urais. Wakili Mkuu, Kennedy Ogeto, akizungumza kwa niaba ya Mwanasheria Mkuu, alithibitisha hatua hiyo katika...
  11. N

    AIBU: Kesi nzito Kenya maamuzi mwanzo mwezi ujao, hapa COVID 19 ni danadana

    kesi kubwaa sana ambayo kwa kweli sidhani kama kuna jaji wa tanzania mwenye level ya kuielewa achilia mbali kutolea maamuzi soon inaanza kunguruma hapo kenya maamuzi yake yanatarajiwa kutolewa mwezi ujao mwanzoni Ni kesi kubwa kila upande unavutia kwake, hawa wanasema kuna wizi wa kura leo...
  12. Kama tume huru ya uchaguzi ndio hii ya Kenya basi haitufai ,hii yetu ni Bora mara 1000...,

    Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana...
  13. Kenya: Fahamu kuhusu Mawakili watakaoitetea Tume ya Uchaguzi

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeteua Kampuni 26 za Mawakili zitakazoiwakilisha Tume hiyo na Mwenyekiti wake Wafula Chebukati. Kila Kampuni ya Wanasheria na Mawakili, italipwa takriban Tsh. Milioni 388,967,498/- Zaidi ya Tsh. Bilioni 10.1 zitatumika kulipa Wanasheria na Mawakili...
  14. Kenya: Tume na Makamishna waliokataa Matokeo watofautiana uteuzi wa Mawakili

    Mzozo kati ya Makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) unazidi kuongezeka baada ya pande hizo mbili kuteua Mawakili tofauti kuwawakilisha kwenye maombi ya kupinga Matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa IEBC Hussein Marjan aliifahamisha Mahakama Kuu wameteua...
  15. S

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida IGP wa Kenya aomba kupumzika kwa muda

    Je,, ni kweli IGP anaumwa? Au, bado ni vuta nikuvute ya uchaguzi? Na ni nani yuko nyuma ya movie hii? Ni Ruto (mhangaikaji) ama Odinga (mtoto wa mboga 7)?
  16. Mambo 10 ambayo Magavana wa Kenya Hawaruhusiwi kufanya

    Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imebuni kanuni zitakazoweka kikomo na kuelekeza kile Magavana 45 walioapishwa hivi karibuni wanaweza kufanya na wasichoweza kufanya wanapokuwa Ofisini Kupitia Sheria ya Uongozi na Uadilifu, Magavana hawataruhusiwa kufanya biashara kama vile raia...
  17. Kenya: Wanaharakati wafungua kesi kupinga Mahakama Kuu kumtangaza Rais

    Wanaharakati Koome Mbogo, Michael Asola, na Eric Githinji wamehamishia Pingamizi lao katika Mahakama ya Rufaa ili kuzuia Mahakama Kuu kumtangaza Rais kutokana na kesi za kupinga ushindi wa Naibu Rais William Ruto. Walalamikaji hao hawakuridhika na uamuzi wa Mahakama Kuu kutupilia mbali ombi lao...
  18. Kenya: Watafiti waonya wananchi kuhusu Maziwa yaliyochafuliwa

    Onyo hilo linatokana na utafiti uliofanywa na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo (ILRI) iliyobaini kuwa takriban 50% ya sampuli za Maziwa zilizokusanywa kutoka kaunti za Nakuru, Laikipia na Nyandarua zilikuwa na uchafu. Ripoti hiyo ilionesha kuwa kati ya sampuli 493 za Maziwa...
  19. J

    Afisa wa Tume ya Uchaguzi Kenya afariki dunia baada ya kuugua ghafla

    Chanzo: Mwananchi Nairobi. Msimamizi wa uchaguzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya kwenye jimbo la Gichugu, Geoffrey Gitobu amefariki dunia jana Jumatatu Agosti 22, 2022 baada ya kuanguka ghafla. Meneja wa Uchaguzi wa IEBC kaunti ya Kirinyaga, Jane Gitonga amethibitisha...
  20. Kenya2022 Mvurugano waendelea Tume ya Uchaguzi Kenya. Wafula Chebukati, Msaidizi wake waendeleza mtifuano

    Mvurugano ndani ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) umeendelea baada ya viongozi wa juu wa tume hiyo Mwenyekiti Wafula Chebukati na Makamu wake, Juliana Cherera kupishana kauli wakiwa kwenye kikao cha pamoja. Viongozi hao wakiwa na wajumbe wenzao wa Tume pamoja na wawakilishi wa vyama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…