kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Rais mteule wa Kenya William Ruto ni mtu wa aina gani? Tanzania itegemee nini kutoka kwake?

    Eti wajuzi wa mambo ya kikanda. Rais mteule wa Kenya ni mtu wa aina gani? Tanzania tutegemee nini kutoka kwake?
  2. M

    Jaji mmoja wa Kenya kati ya wale saba ana Jina la kwanza la ajabu

    Mzuka wanajamvi! Wakenya bana sometimes wanachekeshaga Sana. Kuna Jaji mmoja kati ya wale saba anaitwa Smokin Wanjala unajiuliza what's this? Hata kama kuiga huku ni kuvuka mpaka. Afadhali bongo tunaiga lakini siyo kivileee, mfano Dodoma kuna msela flan anaitwa Wolfgang Mponeja angalau. Kuna...
  3. Watanzania tuna mambo mengi sana ya kujifunza kwa uchaguzi mkuu uliomalizika nchini Kenya

    Tumeshuhudia kwa majirani zetu wa Kenya, uchaguzi ukihitimishwa kwa amani bila umwagaji wa damu yoyote, kwa maamuzi ya Mahakama ya upeo, baada ya kuidhinisha, matokeo ya Tume yao huru kabisa, kwa kumpa ushindi William Ruto. Watanzania tuliokuwa tukiufuatilia kwa Karibu Sana, uchaguzi huo wa...
  4. Mbona sioni ulinzi wa kutisha kwa viongozi wakubwa wa Kenya?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa Karibu Sana, kipindi chote cha uchaguzi mkuu wa Kenya, sijaona msururu wa walinzi wa viongozi hao, wakilindwa na ulinzi wa kuwalinda viongozi hao, pamoja na uhasama mkubwa, uliokuwepo huko Kenya, Katika kipindi chote cha uchaguzi huo. Muda huu naangalia TV za Kenya...
  5. Kesi ya Uchaguzi Kenya siku 14, ya kina Mdee siku zaidi ya 400!

    Ukiangalia ukubwa wa uchaguzi wa Kenya na hoja zilizowasilishwa kwenye Mahakama ya Kenya. Bila ya shaka utagundua kwamba mahakama ya Kenya ina utendaji kazi uliotukuka kuliko mahakama yetu Tanzania. Kwenye mahakama ya Tanzania kuna kesi ya kina Halima Mdee na wenzake, ambayo kwa zaidi ya mwaka...
  6. Kenya: Watalii 40 wakamatwa kwa kuombaomba mitaani

    Kamanda wa Polisi wa Kaunti Ndogo ya Mvita Maxwell Agoro akizungumza na mmoja wa raia 40 wa Jordan waliokamatwa. Picha: Kwa hisani Polisi wa Mombasa Nchini Kenya wanawashikilia watalii 40 raia wa Jordan baada ya kukutwa wakiombaomba katika Mitaa ya Old Town na Marikiti ili wakusanye fedha ya...
  7. Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022

    MARTHA KARUA: NAHESHIMU MAAMUZI YA MAHAKAMA ILA SIKUBALIANI NAYO Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Azimio la Umoja katika Uchaguzi wa Urais Kenya, Martha Karua amesema anaheshimu maamuzi ya Mahakama lakini hakubaliani nayo. Mahakama ya Upeo imetangaza kupitisha matokeo yaliyompa ushindi William Ruto...
  8. T

    Tetesi: Kesho Kenya Mungu anapinduwa meza ya mzaliwa wa kwanza kama alivyofanya kwa Esau akampa Yakobo

    Igweeeeeee!!!! Habari zisizo rasmi ila zipo rasmi kwa manabii nikuwa kesho tarehe Nne mwezi wa Tisa huko Kenya Mungu anaenda pinduwa meza kama alivyo fanya kwa mzaliwa wa kwanza Esau... Nihivi kuna story moja kwenye Bible inatisha sana ambapo Mungu aliunyang'anya uzaliwa wa kwanza wa Esau...
  9. Gavana Mkenya alipa deni la Mtanzania Hospitali (Tsh. Mil 8.3)

    Mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la Maria Maria alikwama kulipa deni la matibabu aliyopata baada kugongwa na gari wakati akitembea Barabarani ambapo alilazimika kubakia Hospitali ya Nakuru Level Five tangu Agosti 2022. Gavana wa eneo hilo Susan Kihika amechukua dhamana ya deni lote baada ya...
  10. K

    NATAMANI SANA,NCHI YETU IWE NA DEMOKRASI YA HALI YA JUU KAMA KENYA:

    Uchaguzi wa Kenya umekwisha,lakini mshindi wa kiti Cha urais aliyetangazwa na tume huru ya uchaguzi ,ya Kenya RUTO bado hajazibitishwa kwa kuwa mpinzani wake wa kitu hicho ,Raila Odinga , alikwenda mahakamani kupinga matokeo yao.Mahakama ya upeo itato majibu ya rufaa ya mzee Odinga siku ya...
  11. Mwanafunzi wa Kenya aliyewekwa mateka Saudi Arabia aachiwa

    Mbunge wa Kimilili Didmus Barasa amesema Diana Chepkemoi, ambaye alikuwa amezuiliwa ndani kinyume na matakwa yake huko Riyadh, ameachiwa baada ya juhudi za viongozi na baadhi ya raia wa Kenya Aida ameongeza kuwa mwanafunzi huyo wa Chuo Kikuu ambaye alikuwa akifanya kazi za ndani amepelekwa...
  12. S

    Marekani yaitamani demokrasia ya Kenya

    Soma mwenyewe hapa. Lumumba kwa kuwa hamjui kiingereza mtafuatilia komenti ili kujua kilichoandikwa.
  13. K

    Nashauri Kenya waache mavazi ya kikoloni mahakamani

    Sijaona sababu ya wakenya kuvaa mavani ya kikoloni mahakamani.
  14. Hatimaye Shaban Robert mwandishi nguli aeinziwa Kenya na mawakili wa Dr. Ruto

    Wasalam wana JF Je ni kweli Raila anaifanya Kenya kuwa nchi ya Kusadikika? Si maneno yangu bali ya mawakili wa Ruto kama video inavyojieleza
  15. Serikali ya Kenya yasitisha malipo ya Ruzuku za unga, madeni yazidi

    Wizara ya Kilimo imethibitisha uamuzi huo huku ikitaja sababu kuwa ni kuzidiwa na malimbikizo ya madeni yaliyopelekea wafanyabiashara wa kati kulipwa mamilioni ya pesa huku wauzaji reja reja wakikosa zabuni. Wasagishaji Unga wamelalamikia uamuzi huo unaoanza leo Septemba 2,2022 wakidai kuwa...
  16. Wasifu wa wajumbe wa tume ya uchaguzi ya Kenya

    The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) commissioners remain a topic of discussion especially after their fallout over presidential election results. Away from their conduct and the chaotic scenes at the Bomas of Kenya, little is known about their education background...
  17. Uchaguzi Kenya: Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya Usalama kwa raia wake

    Wakati Mahakama Kuu ikisubiriwa kutoa uamuzi wa kuidhinisha au kubatilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais Jumatatu Septemba 5, 2022, Ubalozi Marekani umeweka vizuizi vya watu kusafiri kwenye mji wa Kisumu, eneo analotokea Raila Odinga Taarifa ya Ubalozi imenukuliwa ikisema mara kwa mara Kenya...
  18. R

    Swali magumu uchaguzi Kenya

    Tarehe 5 ndiyo siku ya Ruling. Nakumbuka uchaguiz wa 2017 hukumu ilikuwa na page kama 500 hivi. sasa kuanzia kesho wata deliberate submissions za pande zote na kuandika hukumu ? Ku analyse ushahidi wote and make sense out of it, Just sense and not a matter of sense! Siku kama 3 hivi.....
  19. R

    Nafuatilia uchaguzi Kenya: It seems baba will suffer again!

    Inaonekana wajibu maombi wanakazia kuwa Raila hajatoa ushahidi wa aliyoyasema kama mapungufdu katika uchaguzi. Mfano ametaja kuwa mifumo ya seva ya IEBC iliingiliwa lakini hajatoa ushahidi uliingiliwa vipi na kama kuingiliwa huko kulisabisha kura kwenda ndivyo sivyo na hivyo kumpa ushindi...
  20. Kenya2022 Chama Tawala chaitaka Tume ya Uchaguzi kuwasilisha vitu 14 kwa uchunguzi

    CHAMA cha Jubilee kimemwandikia Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati kikiomba kupata baadhi ya vifaa vilivyotumiwa katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9 kwa madhumuni ya ukaguzi wake wa ndani. Chama hicho katika taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Jeremiah Kioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…