kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania tutajifunza mengi Kenya lkn siyo maandamano na kuharibu mali

    Uvumilivu hata katika kipindi kigumu Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika. Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati waziri mmoja anatuambia kuwa asiyetaka tozo ..... Burundi (tulitulia). Lkn pia wakati waziri mwingine...
  2. TODAYS

    JamiiForums Tanzania TEARS VIDEO: Hii Inaweza Kukupa Taswira kwa Nini Watanzania Mnanyimwa Elimu

    Naona kabisa kwa nini Elimu inakupa nguvu na uelewa katika maisha yako. Hawa kina mama wapewe ulinzi popote walipo na natamani waje wafanye indoor conference na seminars kwa wamama wa tizii!.
  3. toriyama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. Kueleka maandamano kwenda ikulu siku ya alhamis

    Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. https://x.com/Murangoanalyst_/status/1805642997469495590?t=80emWWWphzY2QaF_rYH1Xw&s=19
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya mna mengi ya kujifunza Tanzania

    1. Mnahadaika na majina tofauti ya Vyama kumbe watu kutoka familia zile zile wanakula na kusaza bora hata CCM wanabadilishana (Tanganyika Vs Zanzibar) 2. Rushwa na ukabila unafunika mazuri wa Katiba yenu. 3. Maandamano pekee hayajawahi kuwapa matokeo chanya, bali mazungumzo, Mila na desturi na...
  5. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya Yatangaza Hali ya Hatari (Civil Danger)Yaamrisha Rasmi Jeshi la kenya (KDF) Kuingia Mtaani na Kutuliza Raia Wanaofanya maandamano

    Hali ni mbaya Sana kwa Majirani.. Jeshi limeingia Rasmi mzigoni..
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waafrka wenye Akili nchini Kenya na wanaojua Haki zao na Wasioogopa wanapambana, ila Miafrika mingine iko busy na Usajili na Adhabu kwa Mbunge

    Kama kuna Wananchi / Watu ambao nawakubali na nawaheshimu Afrika nzima ni wa kutoka nchini Kenya. Heko zao!!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa hali ilivyo Kenya bado wana mpango wa kuwapeleka Polisi wa Haiti?

    Eti wadau, kama ndani tu moto wa vurugu umewaka na wanapata shida kuuzima, watauweza ule moto wa wale wahuni wa Haiti kweli?!
  8. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania vugu vugu zilizoanza kenya zinaweza kutapakaa afrika nzima

    Kuna dalili inaonekana vijana wamechoka na serikali za kiafrika mifumo yake.kinachoendelea kenya kinaanza kuamsha wengine nchi za afrika. mda utasema tu mpaka kufikia 2028
  9. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Nchi inapigwa, kutwa nzima ni Mada za Yanga na Simba

    Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia. Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Intanet yaanza kusumbua Kenya, NetBlocks yaeleza changamoto inayotokea

    Shirika la Uchunguzi la Mtandao la NetBlocks limethibitisha kuwa Data ya Mtandao ya moja kwa moja inaonyesha kuna usumbufu mkubwa wa muunganisho wa Intaneti Nchini Kenya, ikiwa ni siku moja pia tangu Mamlaka kudai hakutakuwa na kuzimwa kwa Mtandao. Watumiaji mbalimbali wa Mitandao hasa wa X...
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Huko Kenya jeshi linakaribia kuwaunga mkono waandamanaji. Mageti ya bunge yamevunjwa na waandamanaji wapo ndani ya bunge wanafanya chochote watakacho

    Sauti ya umma imekita kambi huko Nairobi, Kenya! Hali imekuwa tete sana! Waandamanaji wamechoma moto ofisi ya gavana wa Nairobi na kuvamia bunge, bendera zote zimetelemshwa na mgahawa wa bunge umevunjwa, waandamanaji wameonekana wakila chakula na kutapanya kila kitu! Jengo la Seneti limevunjwa...
  12. Replica

    JamiiForums Tanzania Mbona hatuoni hata uchambuzi wa muswada wa fedha Tanzania achilia mbali kuugomea kama Kenya. Au tunasubiri kulia tukikutana na bei mpya

    Nchini Kenya muswada wa fedha ulizua balaa huku wachumi wakiuchambua kila kipengele na kuelezea athari zake kwenye uchumi wa Taifa na mwananchi mmojammoja. Huku kwetu wametuita Dodoma tena wametupa siku mbili, hamna anayeuongelea. Mwendo wa HS code kwenye muswada, wachumi wetu wako wapi...
  13. covid 19

    JamiiForums Tanzania nimefatilia maandamano ya kenya nataka niwaambie ni swala la muda tu hiki kinachotokea Kenya kitaambukizwa Tanzania, Uganda, na nchi nyingine jirani

    ukingalia kwa makini haya maandamano sio kama hao watoto wanareject hiyo financial bill au politics issue la hasha unaona ni maandamano ya mapinduzi ya kimfumo hawa vijana wanataka serikali ya kenya iendeshwe kileo na hili ni kutoka na viongozi wengi wa africa kutowatilia maanani vijana wadogo...
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "KANU" bado inatawala Kenya

    1. Tujikumbushe Ruto alikua Kiongozi wa vijana KANU. Pia Uhuru Kenyatta aliteuliwa kuwa mgombea wa Urais wa KANU mwaka 2002. Mwai Kibaki aliyewahi kuwa Makamu wa Rais akatangazwa mshindi. 2. Baadae 2007 Uhuru akawa Naibu Waziri Mkuu na majina ya Vyama yakabadilika, 2013 Kenyatta akaunda Chama...
  15. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano Vs Migomo Kenya

    1. Maandamano na Migomo japo vinaweza kwenda pamoja ila mara nyingi Migomo huleta suluhisho la haraka na mara nyingi Positive kuliko Maandamano. 2. Eg. Migomo ya marubani Kenya airways, Madaktari, Wahadhiri Vs Maandamano ya Gen Z.
  16. Inevitable

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Utekaji” waitesa Kenya. Wananchi wanatekwa na kupotezwa. Saba watekwa ndani ya siku 7

    https://youtu.be/OZ9qfm46k0U?si=Rlk4qTkzB_dJgkLz Gabriel Oguda, popular social media activists allegedly abducted Several social media users and content creators are missing after they were abducted in overnight operations in the country hours to anti-Finance Bill demonstrations. Officials...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Tumesikia yanayotokea Kenya, CCM tuna la kujifunza

    Amos Makalla, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi na Mafunzo amesema Chama chake kina taarifa ya kinachoendelea Nchini Kenya (kuhusu maandamano) na kuna jambo ambalo wao wanajifunza katika kuwatumikia Wananchi Amesema hayo wakati akizungumza katika Kipindi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Polisi mkuu wa Kenya (IGP) avunjika mikono akiwalipua waandamanaji.

    Inasemekana kwamba Polisi aliyevunjika mikono pale Kenya kwa kuwatupia mabomu waandamanaji ni IGP wa Kenya. Kwa nini habari hii inafutwafutwa mitandaoni na kuonekana kama ni polisi wa cheo cha kawaida? Hata ingekuwa wa cheo cha chini mimi nimefurahi fundisho hilo kwa mapolisi wakuda wa aina...
  19. Cathylin 2002

    JamiiForums Tanzania Wasomi Tanzania vs Kenya

    Good afternoon Tanzanians Nina Mambo machache ya ku wauliza. Why wasomi na vijana wa Tanzania hawana moyo wa kuthubutu kabisa wapo busy na Simba na yanga hawajui sheria katiba hawajui hawajui umuhimu wa siasa katika maisha Yao Mawazo ya vijana wa Tz awe lottery degree holder (useless...
  20. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kenya wanajivunia generation Z, Tanzania tunajivunia uchawa!

    Bila shaka watu wote tumeona namna vijana wa Kenya maarufu kama generation Z walivyoitisha mtiti mzito kwa kupiga maandamano mazito mitaani ya kupinga mswada wa bajeti uliolenga kuwakamua zaidi kupitia kodi na tozo mbalimbali. Vijana wale kupitia mitandao ya kijamii pasipo msukumo wa wanasiasa...
Back
Top Bottom