kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. trojan92

    JamiiForums Tanzania Battle: Tanzania 🇹🇿 ( Bongo) Vs Kenya ( Elite of Africa)

    Hii ni list kuonyesha namna Tanzania iko mbali sana tuu Hii hapa list namba 7 na 8 zitakushangaza 1. TZ tuna Iconic figure wa Africa Nyerere🇹🇿 2. Best and longest SGR in Africa ipo Tz 🇹🇿 3. Lugha ya Kiswahili ni ya Tz 🇹🇿 na inazungumzwa Africa na dunia kote 4. Mlima mrefu kuliko yote Africa...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukistastaajabu ya mafuta na maji ya upako hapa bongo. Pasta Ng'ang'a atupa sadaka za waumini kisa ndogo

    Mchungaji wa Neno Evangelism Centre James Ng'ang'a atupilia mbali pesa zilizokusanywa kama sadaka kutoka kwa waumini wake wakati wa ibada. Katika video iliyoshirikiwa na Qare Jane kwenye TikTok, mchungaji huyo alionekana akiiangalia kwa dharau sadaka hiyo. Wakenya walioshuhudia video hiyo...
  3. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Fananisha Kikao cha Mawaziri cha Kenya na cha Tanzania, tuna cha kujifunza

    Najaribu kauangalia kikao cha mawaziri cha Kenya naona wako very profesional, tunakwama wapi kikao cha Mwaziri Tanzania utazania kikao cha kupitisha tenda? Au ni wanapitisha tenda za Waarabu walio tenda juu zaidi kununua nchi? Hii ni kikao cha Mwaziri Dodoma. Hapa ni Nairobi kikao cha...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Impeachment iliyofanyika Kenya jana ilitakiwa iwe imeshafanyika nchi fulani

    Kuna siku unaota mpaka unashangaa mbona unaota vitu vikubwa namna hii, 1. Ghafla mihimili imeanza kufanya kazi kama katiba inavyotaka ikiwa pamoja na kuwajibishana na sio kukutana mara kwa mara bila sababu za msingi za kikatiba 2. Nikaota tena kuwa Wetangula ndio spika wa bunge la nchi hiyo...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Kenya: Wabunge 281 wapiga kura ya kumuondoa madarakani Gachagua

    Wakuu, Wabunge 281 wapiga kura ya ndio kumuondoa aliyekuwa Naibu Rais Kenya, Rigathi Gachagua madarakani. ~ Waliopiga kura ya hapana - 44 ~ Ambao hawakuchagua kokote - 1 Tanzania tutachukua muda gani kufikia huku?🌚 === Tukio linaloendelea bungeni Kenya ni upigaji kura ili kuamua hatma ya...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Inamaanisha nini kufuatilia bunge la Kenya zaidi kuliko bunge letu tukufu?

    Kuna Watanzania wengi sana wanafuatilia kwa makini bunge la Kenya huku wakipuuza kufuatilia hata kidogo mambo yanayoendelea kwenye bunge lao, huko sio kukosa uzalendo? Pia Wakenya wenyewe hawafuatilii kabisa bunge letu, sijawahi kuona Mkenya ameposti mtandaoni kuhusu jambo lolote linaloendelea...
  7. and 998 others

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua asisafiri kwa Helikopta, ni hatari kwake kwa hali ilivyo!

    Naibu Rais wa Kenya Mr. Gachagua yupo hatarini kupoteza nafasi yake ama kwa kuondolewa kikatiba au kimafia! Sasa asijichanganye akakubali kwenda ama kutumwa safari kwa kutumia chopa. Mifano hai tunayo. Soma Pia: Kenya: Vurugu zaibuka pendekezo la kumwondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua...
  8. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua: Wakenya na Rais Ruto naomba mnisamehe na familia yangu kwa makosa yoyote ambayo huenda aliyatenda akiwa ofisini

    Ruto wewe ni mkritsto Unampenda Mungu achana na mambo ya kuharibu hioo nchi kaa chini malizana na naibu wako Hakuna sifa mtu atatoa kwa kelele zinazoendelea huoo kenya Naibu Rais Gachagua leo ameomba radhi kanisani Ameomba kama binadamu na kama kuna sehemu amekosea anaomba wamsamehe Kama...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Naibu Rais Rigathi Gachagua Aomba Rais Ruto Amsamehe

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amemuomba Rais William Ruto amsamehe iwapo amemkosea kwa namna yoyote. Akihutubia kwenye ibada ya maombi ofisini kwake Karen, Gachagua pia aliwaomba radhi wabunge wote, siku moja kabla ya kuanza kwa mchakato wa kumtimua kwenye Bunge la Taifa la Kenya.
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania CCM na Serikali Watanzania Wamewakosea Nini Hadi Kuamua Haya?.

    Ulimnofu. Asalaam alykhum. Bwana Yesu asifiwe. Kule DRC poleni kwa kuwakosa ndg waliofariki maji ziwa Kivu. Nisipoteze muda. Adani Group inaonekana ni kampuni imeundwa maalum si kutoa huduma ipasavyo nje ya nchi zawa kwao huko India. Nje ya India kampuni hilo halina tija na ufanisi kwenye...
  11. USSR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasimamizi na waangalizi wa mitihani hawataruhusiwa kubeba simu zao za mkononi katika vyumba vya mitihani

    Wizara ya Elimu ya Kenya, kupitia Baraza la Kitaifa la Mitihani la Kenya (KNEC), imeanzisha sheria mpya za usimamizi wa mitihani ya KCSE (Mitihani ya taifa ya shule ya msingi) na KPSEA (Mitihani ya taifa ya shule ya sekondari) kwa mwaka 2024. Miongoni mwa sheria hizo ni kwamba wasimamizi na...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zambia: Civil Aviation Authority Suspends all Kenya Airways flights into Lusaka

    The Zambia Civil Aviation Authority (CAA) has suspended all Kenya Airways flights into Lusaka as of early October 2024. The exact reasons for this decision have not yet been fully disclosed, but it follows similar regional tensions in aviation, such as disputes between Tanzania and Kenya over...
  13. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tofati ya Tanzania na Kenya katika Elimu, Mtindo wa Maisha, Siasa na Uwezo wa Kufikiri

    Katika kujadili tofauti kati ya Kenya na Tanzania, ni muhimu kuangazia masuala ya elimu na uwezo wa kufikiri. Kenya imejijengea sifa ya kuwa na mfumo mzuri wa elimu ambao unachochea ubunifu na fikra huru. Hii inawawezesha Wakenya kufikiri kwa kina na kuchukua hatua zinazoendana na maendeleo ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia Siasa za Kenya zilivyofeli utakubali Ukweli' kuwa CCM ndio baba wa Siasa Afrika Mashariki!

    Huo ndio ukweli CCM ni baba wa Siasa za Africa Mashariki Ukiangalia sinema ya Ruto kumtoa Gachagua utagundua Siasa za Jirani zimefeli kwa haraka sana Makanga na Dereva wote Must Go 😂😂😂😂
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Vurugu zaibuka pendekezo la kumwondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua madarakani

    Wakili na mwanaharakati Morara Kebaso wameshambuliwa na baadhi ya wananchi wenye hasira kali katika ukumbi wa ‘Bomas of Kenya’ wakati wa zoezi la ushirikishwaji wa umma kuhusu pendekezo la kumwondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua madarakani nchini Kenya. Soma Pia: Yanayojili hoja ya kumuondoa...
  16. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raia Kenya: Nasema kufa dereva, kufa makanga na hashtag inapaswa kuwa #fagiawote

    Wananchi mbalimbali wakitoa maoni na hoja zao wakati wa zoezi la ushirikishwaji wa umma kuhusu hoja ya kumwondoa madarakani Naibu Rais, Rigathi Gachagua leo Oktoba 4, 2024 Aidha, Rigathi Gachagua atapaswa kujitetea Bungeni kwa muda wa Saa 2 ifikapo Oktoba 8, 2024 kwa tuhuma nzito za ufisadi...
  17. Mad Max

    JamiiForums Tanzania BYD wazindua magari yao maarufu matatu ya umeme (Dolphin, Seal na Atto 3) nchini Kenya

    Ndio, haujakosea kusoma. Officially kampuni maarufu duniani la kutengeneza magari ya umeme kutoka China, BYD wameingia Kenya. Sio kwa used car, bali officially kama sisi Tanzania wanavyoingia San LG. Wameanza na magari matatu ambayo ni top-selling Duniani. Kwanza ni BYD Seal ambayo ni sedan...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya waanzisha chama cha siasa kiitwacho INJECT

    Barua ya usajili: Mwamba mwenyewe ndio huyu (mwazilishi): Meanwhile in Bongo:
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe hili suala la mikataba ya siri sio Tanzania tu na bandari zetu, huko Kenya raisi anahusishwa na kutaka kutoa Jomo Kenyatta Airport kwa siri!

    Karibu viongozi wote wa Afrika wana tabia moja inayofanana - kujitajirisha binafsi kwa kuingia mikataba ya siri inayoumiza nchi zao, huku wakidanganya umma mikataba hiyo ni kwa faida ya nchi zao. Mtu yeyote mwenye akili atajua kwamba mkataba ambao kweli una nia ya kuinufaisha nchi hauwezi...
  20. milele amina

    JamiiForums Tanzania BABU: Utawala wa Rais Daniel Moi wa Kenya ( 1978-2002) unafanana na utawala wa Rais Samia wa Tanzania (2021-2024).

    Utawala wa Daniel arap Moi nchini Kenya, ambao ulidumu kuanzia mwaka 1978 hadi 2002, unakumbukwa kwa matatizo mengi, ikiwa ni pamoja na utekaji wa raia, ukandamizaji wa viongozi wa kisiasa, na mauaji. Hali hii inaonekana kuwa na uhusiano wa karibu na utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan wa...
Back
Top Bottom