kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpox yafikia Kaunti 40, Watu 19 wafariki, huku Kenya ikijiandaa na tishio jingine la Ebola

    Kenya sasa imerekodi visa 1,298 vya Mpox na vifo 19 katika counties 40, huku serikali ikiongeza maandalizi dhidi ya Ebola kutokana na kuendelea kwa mlipuko huo katika ukanda wa Afrika. Takwimu za Ministry of Health zinaonyesha Mombasa ndiyo inaongoza kwa visa 452, ikifuatiwa na Nairobi yenye...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: “Nimekopa Kidogo”; Treasury: Deni Limeongezeka Sh4.25 Trilioni

    Rais William Ruto anasema serikali yake imekopa kidogo kuliko tawala zilizomtangulia. Lakini rekodi rasmi za serikali zinaibua swali: Ikiwa tumekopa kidogo, kwa nini deni la Kenya limefika zaidi ya Sh13 trilioni? Ruto aliingia madarakani Septemba 2022 wakati public debt ikiwa karibu Sh8.76...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sh 219.3 Milioni zalipwa kuikomboa meli ya mbolea ya Kenya kutoka kwa Maharamia Somalia

    Takribani Sh219.3 milioni zinaripotiwa kulipwa kama fidia ili kuikomboa meli iliyokuwa imebeba mbolea kuelekea Kenya, baada ya kutekwa na maharamia katika pwani ya Somalia kwa zaidi ya miezi minne. Meli hiyo, MV Sward, ilitekwa Aprili 26, 2026 ikiwa njiani kuelekea Mombasa. EU Naval Force...
  4. JamiiForums Tanzania Kenya yaingia makubaliano ya kuagiza mahindi kutoka Zambia kukabiliana na upungufu wa chakula

    Kenya imesaini makubaliano ya kuagiza tani 540,000 za mahindi kutoka Zambia ili kuongeza upatikanaji wa nafaka hiyo baada ya uzalishaji wa mahindi meupe nchini Kenya kushuka hadi kiwango cha chini zaidi katika kipindi cha miaka saba. Kwa zingatio la makubaliano hayo, Zambia itauza mahindi ya...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI picha na video hizi ni za matukio yanayoendelea nchini kenya?

    Kumekuwa na video zinazosambazwa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa kumefanyika maandamano nchini Kenya kupinga hatua ya Serikali ya kuwaondoa wageni wanaojihusisha na biashara ndogo ndogo nchini humo.
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mgeni Anataka Kufanya Kazi Kenya? Hivi Ndivyo Work Permit Inapatikana, Gharama na Masharti Yake

    Katikati ya mjadala unaoendelea kuhusu wageni wanaofanya kazi na biashara nchini Kenya, swali moja muhimu limejitokeza: Mgeni anapata wapi ruhusa ya kufanya kazi Kenya, na anahitaji nini? Kwanza, kuruhusiwa kuingia Kenya hakumaanishi moja kwa moja kwamba mtu ameruhusiwa kufanya kazi au...
  7. JamiiForums Tanzania Kutokea kwa Bikira Maria ukutani kwaleta taharuki ya mahujaji na nyumba kuvunjwa huko Kisii, Kenya!

    Mzee mmoja nchi Kenya kaunti ya Kisii amelazimika kuvunja nyumba yake baada ya madai ya Bikira Maria kutokea katika moja ya ukuta wa nyumba yake sehemu ya jiko kusababisha kufurika kwa mahujaji Wakatoliki na kuleta usumbufu na tahuriki kubwa katika makazi ya familia yake kiasi cha kushindwa...
  8. JamiiForums Tanzania Xenophobia in Kenya: Baadhi ya Wakenya wameamua kuchukua jukumu la kufukuza raia wa kigeni

    Tangu Rais Rutto aseme foreigners wanaofanya kazi ndogo ndogo wanapaswa kurudi kwao kuanzia Jumatatu hii ya juzi, baadhi ya Wakenya walianza kuingia barabarani Jumatatu na kufukuza Burundians warudi kwao kwa sababu wanadai wamejaa maeneo ya mijini wakiuza kahawa, kitu ambacho baadhi ya watu...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zaidi ya Ekari 15,000 za Misitu Kuondolewa Hadhi: Nani Anasubiri Kunufaika?

    Taarifa zinaonesha kuwa zaidi ya ekari 15,000 za ardhi ya misitu ziko katika mchakato wa kuondolewa hadhi ya misitu (degazettement), hatua inayoweza kufungua njia ya ardhi hiyo kupewa hati miliki. Maeneo yanayotajwa ni Mount Elgon Forest – ekari 11,483, Turbo Forest – 3,069, Kakamega Forest...
  10. JamiiForums Tanzania Kenya ni taifa lisio na watu wenye busara wanaiga na yapo ambayo siyo ya kuiga

    Hili suala la iga iga kila ujinga litakuja siku moja iangamiza kenya,walianza kwa kuparamia suala la Demokrasia Ikawafyeka wao wenyewe sasa naona wapo na xenophobia ya aina yake, #THIS IS QUITE NOT FAIR,KUFANYIANA HAYA SISI WANA AFRIKA YA MASHARIKI....
  11. JamiiForums Tanzania Kenya waanza kutimua wageni, dunia imebadilika, ubinafsi, roho mbaya vonazodi kututenganisha

    Juzi tuliKua na mtifuano kuhusu wale walio Rudi kutoka AFRIKA KUSINI, sikua na Nia mbaya hata Mimi napenda kwenda kuishi Dubai na ndio ndoto zangu kuishi hata kufia huko. Ila tukirudi na uhalisia wadogo zangu kaka zangu, kama vipi Baki bongo na ukiondoka basi walau acha maisha hata kesho...
  12. JamiiForums Tanzania Ruto aagiza waamiaji haramu waondoke Kenya kabla ya 7 Sep 2026

    Rais wa Kenya, William Ruto, ameagiza kuanza kwa operesheni ya nchi nzima dhidi ya raia wa kigeni wasio na vibali na wanaoendesha biashara ndogo ndogo, maduka ya rejareja, vibanda na biashara za kuzunguka mitaani. Wafanyabiashara hao wameelekezwa kufunga biashara zao. Hatua hiyo inalenga kuzuia...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari Njema Kwa Wanaume: Mahakama Kenya yaamuru Wazazi Wakipeana Talaka Gharama za Malezi ya Watoto Kuchangiwa Sawa

    My Take Hii itakomesha biashara ya wanawake kubambikia wanaume gharama za Malezi ============ Mahakama ya Bungoma nchini Kenya imeamuru wazazi waliotengana kugawana kwa usawa gharama za kuwalea watoto wao. 🇰🇪 Amri hiyo inahusisha mahitaji ya watoto, ada za shule pamoja na gharama nyingine...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kushindana na kushinda kiuchumi bila katiba mpya. Kenya mfano

    Hatuwezi kushindana na kushinda kiuchumi bila katiba mpya. Kenya mfano bila katiba leo tungekuwa tumewazidi kiuchumi. Kwasasa umasikini mkubwa wetu umetokana na katiba mbovu
  15. E

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati Kenya waandamana wakitaka Besigye, Lissu na wapinzani wengine waachiliwe

    Nairobi, Kenya. Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya wameandamana katika mitaa ya Nairobi wakitaka Serikali ya Uganda kumuachilia mara moja kiongozi mkongwe wa upinzani, Dk Kizza Besigye, huku wakitaka pia Tanzania na nchi nyingine za Afrika Mashariki kuwaachilia viongozi wa upinzani...
  16. JamiiForums Tanzania Kenya Waandamana Ubalozini kushinikiza Tundu Lissu aachiliwe huru

    Leo wanaharakati wa Kenya wameandamana Mpaka ubalozi wa Tanzania na Uganda nchini Kenya, wakizitaka mamlaka zimuachilie huru Tundu Lissu na Kizza Besige, wanaharakati hao wameipa masharti Serikali ya Kenya. Wanaharakati wa Kenya wamesema Kizza Besige alitekwa nchini Kenya akapelekwa Uganda na...
  17. JamiiForums Tanzania Kenya imeiga Tanzania Kuwatimua Wachuuzi wa Kichina Waliokuja Kwa Mgongo wa Wawekezaji Kisha wakaanza kuwa machinga mtaani

    My Take Tanzania inaendelea kuwa mwalimu wa kuonesha njia. Ikumbukwe Rais Samia alitoaga agizo Hilo mwaka Jana na kufuatiwa na utekelezaji kama ambavyo Waziri wa biashara wa wakati ule Suleiman Jafo na wenzie walivyotoa orodha za marufuku ya biashara ndogo kufanya na Wachina. Kenya na Afrika...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mhariri Msaidizi wa Standard Group nchini Kenya, Alex Kiprotich adaiwa kutekwa usiku wa kuamkia leo Septemba 2, 2026. Apatikana salama

    Mhariri Msaidizi wa Chombo cha habari cha Standard Group cha nchini Kenya, Alex Kiprotich ametekwa usiku wa kuamkia leo na watu wenye silaha wasiojulikana.Taarifa iliyochapishwa na ukurasa wa chombo hicho cha nchini Kenya imesema kuwa Mhariri huyo ametekwa akiwa kwenye gari lake katika barabara...
  19. JamiiForums Tanzania Kenya Kununua Magunia Milioni 11 ya Mahindi kutoka Zambia Kwa bei Kubwa na Kuikacha Tanzania Yenye Mahindi Mengi ya Bei Chee.

    Kenya imeamua kui by pass Tanzania Kwa kuamua kununua mahindi takribani gunia Milioni 11 kutoka Zambia badala ya Tanzania huku ikoacha wakulima wa Tanzania wakihaha wasijue wapi watauzia mahindi Yao. Ikumbukwe Tanzania ni mzalishaji wa mahindi namba 2 Afrika ilizalisha zaidi ya Tani Milioni 12...
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania YouTube yaweka kodi ya 5% kwa Wabunifu wa maudhui Kenya, mapato kupungua kuanzia Septemba, 2026

    Wabunifu wa maudhui nchini Kenya wanaweza kuanza kupokea mapato ya chini kutoka YouTube baada ya Google kutangaza kuwa itakata asilimia 5 ya mapato ya YouTube kama kodi ya zuio kwa akaunti za AdSense za YouTube zilizosajiliwa nchini Kenya. Google iliwajulisha wabunifu wa maudhui mnamo Ijumaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…