kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Nimekunywa Panadol za Kenya, ninajisikia kuandamana

    Kwa hali ninayo yaona Tanzania!!
  2. W

    JamiiForums Tanzania Spirit, confidence, elimu, uzalendo, unity - ona kijana mdogo wa Gen Z aliyekamatwa alivyotema madini alivyopandishwa kizimbani

    Huyo jamaa pembeni sijui ni mwanasheria au la, anamzuia zuia jamaa kuyamwaga, jamaa hamsikilizi kabisa anamwagika tu. This Spirit! Imebidi maaskari polisi wafanye kazi yao kumnyamazisha kwa kumtoa kizimbani ili kutetea watawala wanaosemwa Tuje Huku kwetu sasaaa, kulia yupo Magoma, Kushoto ni...
  3. Yoda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri mpenda maisha ya ufahari Kenya aomba msamaha kwa mtindo wake wa maisha ya anasa

    Mmojawapo wa mawaziri wa Kenya aitwaye Kipchumba Murkomen ameomba msamaha kutokana na mtindo wake wa maisha ya ufahari aliokuwa akiishi ambao ulikuwa ukiwakwaza Wakenya wengi. Baada tu ya kupata uwaziri huyu bwana alikuwa akivaa nguo, viatu na saa za anasa ambavyo ni designer brands kutoka nchi...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Watalii wamiminika Tanzania badala ya Kenya, ni baada ya Maasai Mara kupandisha kiingilio karibu mara tatu

    Kasi ya watalii kuichagua Serengeti inazidi kuongezeka huku Masaai Mara ikizidi kupoteza. Watalii hawa ambao wana hamu kubwa kwenda kushuhudia uhamaji mkubwa kabisa wa Nyumbu wanazidi kuichagua Serengeti. Kenya ilifanya mapitio ya kiingilio kutoka usd 70 kufikia $200. Hoteli za kitalii zilizo...
  5. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya Waandamana IMF kupinga Serikali ya Kenya isipewe Mikopo

    Raia wa Kenya Wandamaana kutaka Shirika la IMF wasitoe Mikopo kwa Serikali ya Kenya Julai 20, 2024 raia wa Kenya walifanya maandamano katika makao makuu ya IMF jijini Washington DC kutaka serikali ya Kenya kutokupewa mikopo na Shirika hilo kwani inatumika kizembe Wakenya wamelaumu Shirika hilo...
  6. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kule Kenya Gen Z wanadili na Wakusanya Kodi wa Kenya, Tanzania tunadili na Mbowe ambaye hakusanyi kodi

    Gen z wanadili na Ruto ndio anaye kusanya kodi na kuzitumia vibaya, Raila wala Kalonzo hawakusanyi Kodi, Raiala yuko enzi za Moi na hakusanyi kodi za Kenya waka hapangi bajeti ya Kenya. Tanzania SAMIA ndio anaye kusanya kodi na tozo na kuzitumia kwa anasa huyu wajinga hawamuini. Wanaoambana...
  7. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kama mnaona Gen-Z wanatija kwenu basi hamieni Kenya, tumewachoka na siasa zenu zenye vimelea vya vurugu

    Naomba niwaase viongozi na wafuasi wa chadema wote kwamba; sisi nchi yetu ya Tanzania ni nchi ya aman umoja na mshikamano kamwe sisi Kama raia wakawaida hatutaruhusu vurugu ya aina yoyote ile nchini mwetu Kama mnavutiwa na hao Gen z nendeni Kenya na kamwe msithubutu hapa nchini kwetu. Uongozi...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinafanyika Kenya hakifanyiki Tanzania?

    Wanabodi naomba tujiulize na kujadili bila ushabiki wa kivyama. Hivi ni nini hasa kinachofanyika Kenya ambacho hakifanyiki Tanzania kiasi cha kuwafanya vijana wetu kuona tuko sawa wala hatuhitaji kufa kwa ajili ya kesho yetu? Vijana Kenya wanalalamikia Uhuni katika Tume ya Uchaguzi, IEBC. Sisi...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kazi wanayofanya Gen Z nchini Kenya imetukuka. Mungu atawalipa soon. Gen Z Tanzania amkeni mjikomboe.

    Maandamano yanayoendelea kumshinikiza Rais William Ruto kuondoka ofisini yana tija kubwa kwa Kenya na fundisho kwa Serikali ya CCM kuelekea 2025. Wanachokiandamia ni kukithiri kwa ufisadi na maisha ya anasa ya viongozi wao hasa wanasiasa. Vijana hao wakiwa katika lindi la umasikini lakini...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya ajabu ajabu Afrika Mashariki ni kiashiria cha kuingia ugonjwa wa "serial killer"?

    Serial killers ni watu wanaofanya mauaji ya zaidi ya mtu mmoja kwa minajili ya kujipatia furaha tu, mauaji yao mara nyingi huwa yanalenga kundi fulani la watu mfano wanawake, watoto, watu wa rangi fulani n.k Aina hii ya mauaji imekuwa maarufu zaidi katika nchi za magharibi ikihusishwa zaidi na...
  11. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya wanakataza kuvaa nguo za kijeshi?

    Nimeona mchekeshaji wa Kenya Kennar akiwa amevaa magwanda ya Jeshi kwenye baadhi ya maudhui yake ya vichekesho (Mtandaoni). Swali: Nchi ya kenya inaruhusu wananchi kuvaa nguo za jeshi? NB: HAPA TZ UKIKUTWA UMEVAA NGWANDA NI KOSA KISHERIA NA UKIKAMATWA UNACHEZEA MBATA ZA KUTOSHA.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Recho Temu akalia kuti kavu Kenya

    RECHO TEMU AKALIA KUTI KAVU KENYA Wakati Nchini Kenya Jana ikiwa busy na Vuguvugu la Vijana wa Kisasa maarufu kama Gen Z wakiendelea kupambana na Serikali ya Ruto, huko katika Viunga vya Mahakama ya Kenya ya Kahawa Court Mtanzania Socialism mwenye mbwembwe na Matusi anayejiita Diplomatic...
  13. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Kenya: Ilikuaje hadi mtu mmoja anaua watu 42 bila polisi kujua?? Je muuaji ni mwerevu kuliko vyombo vya usalama?

    Sakata linaanza na Mwili mmoja wa mwanafunzi aliyekua anasoma Jomo kenyata university of Agriculture and technology (JKUAT) unagunduliwa kwene ambapo eneo la dampo mjini Nairobi.Baada ya kutolewa unagundulika ni wa kijana anaitwa…densel Omondi… raia wanadhan kua aliuawa na vyombo vya usalama...
  14. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kungunduliwa sehemu zilizowekwa maiti nyingi huko kenya mukuru ni baada ndoto kumtokea dada yake aliyepoletewa na mdogo wake.

    kuna elimu hapa japo niligusia ila sikuona watu kuweka maanani ila ni ukweli kwamba roho za watu kama zijatakiwa kufa ni ngumu kuondoka. Huyu dada alisimulia kuhusu mdogo wake alitoweka na hakupatikana ila kuna siku ndoto aliota ikimuelekeza kuhusu yeye yupo wapi ambalo eneo la mukuru na kweli...
  15. and 998 others

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ikibidi Kenya Jeshi lishike madaraka kwa muda

    Wakati Gen Z wanasisitiza kuanguka na Ruto. Ingefaa jeshi lishike hatamu kurejesha Hali ya utulivu na Amani. Baada ya miaka miwili. Ndio urejeshwe utawala wa Kiraia. RIP (Late) General Francis Omondi Ogolla
  16. Dalton elijah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkuu wa Polisi Kenya atoa siku 21 kukamilisha uchunguzi wa mauaji ya Kuare, Nairobi

    Kaimu mkuu wa polisi nchini Kenya Douglas Kanja amewahamisha maafisa wote wa kituo cha Kuare kiliko mita chache kutoka machimbo ya mawe ambako maiti zi;likutwa zimetupwa, ili kuruhusu uchunguzi huru kufanyika. "Ili kuhakikisha uchunguzi wa haki na usio na upendeleo, nimewahamisha maafisa hao...
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Senior Dave wa Kenya ni mfichua maovu au muigizaji?

    Kama ni uigizaji, atakuwa amevuka mipaka. Ni kuichafua nchi yake na raia wa Kenya kwa ujumla. Lakini kama ni matukio ya kweli, anastahili pongezi. Ni ushushu wa hali ya juu. Katika clips zake za matukio mawili niliyoyaangalia leo, nimeshindwa kuelewa kama ni matukio halisi au ni ya kutungwa...
  18. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Maandamano mapya tena tarehe 16 mwezi wa 7 huko Kenya

    Ruto anapata wakati mgumu wakenya wamepanga tena maandamano siku ya Jumanne ambayo tarehe 16 mwezi huu. Lengo ni kuondoka madarakani Ruto si vingine hata abadilishe nini?
  19. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Polisi ya Kenya kushirikiana na LSK uchunguzi wa miili 11 ilio kutwa Dampo. Je Tanzania hii inawezekana?

    Naona taarifa la Jeshi la Police la Kenya likisema litashirikiana hadi na taasisi zingine za kiraia katika kuchunguza miili 11 ilio kutwa. Watashirikiana na Law Society of Kenya(LSK) hawa LSK ni mwiba mkari sana kwa Serikali ya Kenya hawa hawacheki cheki hawajipendekezi kama ilivyo Tanganyika...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Tumejiaandaje kupokea wakimbizi toka Kenya?

    1. Yanayoendelea Kenya mmeyasikia/kuyaona kwenye vyombo vya habari. Kimbilio lao Kuu ni Tanzania. Tofauti na Majirani wengine kwao ni Njaa (Ethiopia, Uganda), vita (Somalia, Sudan). 2. Maandamano mapya yametangazwa huko. Na kiukweli naona balaa zito linawasubiri. Tumejipangaje majirani?
Back
Top Bottom