kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. E

    JamiiForums Tanzania Maraga anavyopewa nafasi ya urais Kenya

    Ukipita mitandaoni utakutana na ujumbe (hashtag) #MaragaForPresident #Maraga2027 #RutoMustGo. Hivyo ndivyo vijana wa Kenya wamekuwa wakiandika kuonyesha kuwa wanamkubali Jaji Mkuu mstaafu wa Kenya, David Kenani Maraga, wakimwona kama sura mpya ya uongozi ambao wanahisi taifa lao linaukosa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwann kenya haina bilionea au maendeleo kenya yanapimwaje??

    Top 20 hamna bilionea wa kenya hata mmoja shida nini hii nchi
  3. JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Kenya na Uganda walioteswa wakiwa Tanzania wanadai fidia ya US$1 million kila mmoja wao

    Wanaharakati Hawa walifika Tanzania ili kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema ikiwa inatajwa au kusomwa mahakamani. Hawakufanikiwa kufika mahakamani ila walikamatwa na watu wenye kusadikika ni Marisa wa vyombo vya usalama. Waliteswa sana na mwisho walitupwa kwenye mipaka ya nchi zao...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania, Kenya na Unganda ziungane na kuwa nchi moja

    Naomba sana viongozi wa hizi nchi tatu zifikilie kuungana na kuwa nchi moja, Naam ni nchi moja. Alafu tunakuwa na kiongozi mmoja, huku hawa maraisi wa hizi nchi wanasimama kama mawaziri,. Tunakuwa na bunge moja, sarafu moja, na sheria moja. Na hii imenivutia baada ya muungano wetu wa...
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Askari watatu wa KDF wamepoteza maisha, saba wajeruhiwa kwa bomu lilotegwa njiani kaunti ya Lamu

    Askari watatu wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) wamepoteza maisha huku wengine saba wakijeruhiwa baada ya mlipuko wa bomu la kutegwa ardhini (IED) kutokea katika eneo la Badaah, barabara ya Kiunga-Sankuri, Kaunti ya Lamu Akithibitisha tukio hilo, Naibu Kamishna wa Kaunti Ndogo ya Lamu...
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Idadi ya vifo vya maandamano ya sabasaba Kenya, yafikia 43

    Idadi ya vifo kutokana na maandamano ya Saba Saba nchini Kenya yaliyofanyika Jumatatu iliyopita imepanda na kufikia zaidi ya watu 43, kwa mujibu wa takwimu mpya zilizotolewa na shirika la haki za binadamu, Haki Africa Katika taarifa hiyo mpya, mmoja wa waathiriwa wapya ni kijana mdogo, mtoto wa...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chini ya miaka 21 hutoruhusiwa kunywa Pombe

    Mamlaka ya Kitaifa ya Kampeni dhidi ya Matumizi Mabaya ya Pombe na Dawa za Kulevya (NACADA) inapanga kutekeleza sheria kali zaidi kuhusu uuzaji na unywaji wa pombe na dawa za kulevya. Sera ya taifa hilo ya kudhibiti matumizi haramu ya pombe, na dawa za kulevya ya mwaka 2025 inapendekeza hatua...
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapendekezo sheria mpya marufuku unywaji pombe chini ya miaka 21

    Mamlaka ya Kitaifa ya Kupambana na Matumizi ya Pombe na Dawa za Kulevya nchini Kenya (NACADA) imependekeza kuongeza umri wa kisheria wa kunywa pombe kutoka miaka 18 hadi 21, kama sehemu ya sera mpya ya kitaifa inayolenga kudhibiti matumizi ya vilevi miongoni mwa vijana. Hatua hii ni mojawapo ya...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge Fatuma Jehow adai watamwibia kura Rais Ruto 2027

    Mbunge wa Viti Maalum Kaunti ya Wajir, Fatuma Abdi Jehow, amenukuliwa na Buzzroom Kenya akisema kuwa endapo Rais William Ruto hatopata kura za kutosha mwaka 2027 katika eneo la Kaskazini Mashariki (North Eastern), basi watamwibia kura ili ashinde. Katika kile kilichoonekana kama kauli ya mzaha...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ofisi ya Msajili wa Ndoa nchini Kenya imeanza kuchapisha mtandaoni taarifa za wanandoa watarajiwa ikiwemo majina na picha

    Wakuu, Ofisi ya Msajili wa Ndoa nchini Kenya imeanza kuchapisha mtandaoni majina, picha, tarehe na maeneo ya harusi za wanandoa watarajiwa kupitia jukwaa la serikali la eCitizen, hatua ambayo imeibua mshangao na mjadala miongoni mwa wananchi. Awali, utaratibu huo ulikuwa wa kawaida ambapo...
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video Rais Ruto wakati wa kampeni akiahidi kutoa Ajira kwa vijana Vs Uhalisia kwa sasa

    Miongoni mwa masuala yaliyofanikisha kuchaguliwa kwa Rais William Ruto ni ahadi nyingi alizotowa kwa raia wa Kenya. Moja ya ahadi hizo ilikuwa ni ajira kwa vijana. Limekuwa tatizo kubwa nchini humo, lakini Rais Ruto anasema tatizo hili halijaanza na yeye. Source: TRT AFRIKA
  12. JamiiForums Tanzania Benjamin Fernandes: Kiingereza na speed ya kusajili imefanya nijikite zaidi Kenya kuliko Tanzania

    Akizungumza kwenye mahojiano yaliyofanyika The Citizen (YouTube), mmilikiwa Nala, application ya kutuma hela kutoka nchi mbalimbali amesema suala la lugha na speed ya approval limefanya ajikite zaidi Kenya kuliko Tanzania. Benj amesema Benki Kuu ya Tanzania ilitumia takriban mwaka na nusu...
  13. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Chief Kadhi of Kenya, Sheikh Abdulhalim Hussein has Died

    Kenya's Chief Kadhi, Sheikh Athman AbdulHalim Hussein, has died. Jamia Mosque Imam Sheikh Jamaludin Osman confirmed the news saying the Chief Kadhi died in Mombasa He added that Sheikh AbdulHalim Hussein's funeral will take place after Asr prayers “Indeed, we belong to Allah, and indeed, to...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa nini nchi ya Kenya iliyofanya mabadiliko (reforms) kuliko nchi yoyote ukanda huu wananchi wake wanalalamika sana? Je, reforms tu zinatosha?

    Kuna watu wanaaminisha watu kwamba reforms ndio mwarobaini wa kila kitu, reforms ndio masiah. Kama kuna nchi imefanya reforms ya kuanzia katiba ya nchi mpaka ya chama cha kufa na kuzikana cha kule Sugoi, basi ni Kenya. Kwa nini Kenya haijawa paradiso ya Afrika Mashariki na Kati kiuchumi...
  15. JamiiForums Tanzania POTOSHI Wananchi wakichimba barabara ni kutoka maandamano ya Kenya 2025

  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya watoto huibiwa, kuuawa na kuliwa nyama zao

    Hali ilivyo Kenya inasikitisha sana, ustaarabu hawana, utu hawana na wala sio waungwana. Mshana Jr alinusurika kuliwa na wala nyama za watu akiwa Uganda.
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kinachoiponza Kenya ni kuachia vyombo vya habari kuhubiri siasa kwa 95%

    Hilo ndilo kosa kubwa linalofanywa na uongozi wa Kenya siasa kwenye vyombo vyao vya habari ni Kwa 95%,vipindi vya kimaendeleo Kwa Kenya vinapatiwa 5% only,Tujifunze Kwa majirani, hakika mungu anaipenda sana tanzania yetu. #Anatuletea mifano kwenye malongo yetu. #Vyombo vya habari vinanguvu...
  18. JamiiForums Tanzania Mpiga Tarumbeta aibua Kicheko Mazishini Kenya, tarumbeta yazingua!

    Katika tukio lililogeuka burudani ya ghafla katikati ya huzuni, mpiga tarumbeta mmoja nchini Kenya amezua kicheko wakati wa mazishi baada ya tarumbeta yake kushindwa kutoa sauti stahiki! 😅 Video hiyo ya kuchekesha inaonesha mpiga tarumbeta akiwa makini kupuliza ala hiyo ya sherehe huku sura...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaoilamu na kuizodoa Kenya ya katiba mpya hawaifahamu vizuri Kenya ya katiba ya zamani ya Jomo, Moi na Kibaki

    Kuna watu wachache wanapuyunga mtandaoni wakiitukana Kenya iliyo na katiba mpya huku wakisema bora wangebaki na katiba yao ya zamani tu . Hawa ni watu wajinga wasioifahamu vizuri Kenya ya Jomo Kenyatta na Daniel Arap Moi. Hawa watu wanapaswa kujua kuhusu mauaji ya Kisimu ya mwaka 1969 ya zaidi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nadhani kinachoitesa Kenya ni miraa (mirungi) kuruhusiwa

    Nimefuatilia maandamano ya leo huko Kenya, kuna kitu nimekiona hakiko sawa, Watu wengi waliokuwa wakiandamana walikuwa wamelewa. Inaonekana wanakwenda barabarani kwa msukumo wa kilevi (mirungi). Muda wote wanatafuna majani . Raila alipokuwa akihutubia jioni alikuwa ameambatana na wenzake, lkn...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…