kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania How dare you Kenya? Egypt, Nigeria and South Africa be asking

    Baada ya USA kuelewana na China na NAFTA (Canada, Mexico, USA), katika negotiation za bilateral trade, Next itakuwa ni EU halafu baada ya hapo ndo wengineo kama South America alafu Africa. Ndani ya North Africa, Marekani imeshaanza kufanya bilateral trade agreements mpya na Morocco, halafu...
  2. JamiiForums Tanzania Dalili za mlipuko wa nzige mkoa wa Kilimanjaro

    Kuna kila dalili ya kutokea kwa nzige wanaoisumbua Kenya kwa sasa kuhamia Tanzania. Mkoa wa Kilimanjaro haswa wilaya za Moshi (V), Siha na Hai. Nzige ni wengi kwa sasa, nimewaona Siha na Moshi V. Ni vema Serikali ikachukua tahadhari kabla ya tatizo kuwa kubwa zaidi. Pia soma i. Waziri Kenya...
  3. JamiiForums Tanzania FAO: Tusipowadhibiti nzige wanaoikabili Ethiopia, Kenya na Somalia watasambaa

    Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO limeonya kwamba nzige walioivamia Ethiopia, Kenya na Somalia sasa ni wimbi kubwa kuwahi kushuhudiwa hivi karibuni na lisipodhibitiwa kuna uwezekano wa kusambaa katika nchi nyingine za Afrika Mashariki. Wimbi kubwa la nzige walionekana...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tullow and Total to cease Oil Exploration in Kenya

    Friday, January 24, 2020 - 12:00 AM Shares in Tullow Oil slipped on reports the Irish-founded exploration company could exit its interest in Kenya. Tullow and French oil major Total are looking to reduce their stakes in Kenya’s first oil development, according to banking and industry sources...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapatano ya Raila Odinga na Uhuru Kenyatta yana maana gani ikiwa Miguna Miguna anazuiliwa kurudi Kenya ?

    Bado sijaelewa kwanini Mh Raila Odinga hataki kumsaidia Mwanasheria wake Miguna Miguna kurejea nchini Kenya ikiwa kama kweli wame "Shake hand" na Rais Uhuru Kenyatta, kwa maana ya kumaliza tofauti zao. Kuna nini nyuma ya pazia kuhusiana na sakata hili?
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya to construct four more waterfronts in the Coast, Western and Rift Valley regions

    The National government of Kenya according to Tourism CS Najib Balala plans to construct four more waterfronts along various water bodies in the Coast, Western and Rift Valley regions in a bid to boost tourism in those particular regions and the country at large. The CS, while speaking to the...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya hotspot for British investors

    Kenya has been tipped among the next investment hotspot in Africa for profitable investments by British firms. New research by the Overseas Development Institute (ODI) funded by the UK Department for International Development released last week said UK firms should see Kenya and four other...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Lissu yupo nchini?

    Hadi sasa watu wanateseka sana na kuweweseka kisa kuona picha za mh Lissu Makamu wa mwenyekiti wa cdm. Je tayari amesha tua hapa nchini? Tafadhali tupeane habari Sent using Jamii Forums mobile app
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Radi yaua wanafunzi watatu na kujeruhi wengine 53

    Wanafunzi watatu wa shule ya msingi Mkulima wamefariki dunia baada ya radi kupiga kwenye chumba cha darasa walichokuwa wanatumia. Tukio hilo limetokea katika mji wa Nakuru nchini Kenya siku ya Ijumaa jioni wakati wa kipindi cha michezo Shuleni hapo. Mbali na vifo vya watatu hao umedaiwa kuwa...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Mungu anawaona

    Here are 7 African countries to tour without security fears Here are 7 African countries to tour without security fears. Africa is a beautiful continent of 54 countries. Countries within this continent are known to be one of the safest places to be. However, tourists harbour conflicting...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 5 Corruption Scandals that rocketed in Kenya 2019

    5 Corruption Scandals That Rocked The Nation 2019 Kenya takes to corruption as fish to water. Ranked 144 out of 180 countries on Transparency International’s 2018 Corruption Perception Index, it is no wonder the country is perceived as one of the world’s most corrupt countries. The Jubilee...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania vs Kenya vs Uganda: Zisemavyo Katiba kuhusu Ushindi wa Mgombea Urais na Msamaha unaotolewa na Rais wa Nchi

    Katiba ya Tanzania, Ibara ya 41 (6) inasema Mgombea yeyote wa Kiti cha Rais atatangazwa kuwa amechaguliwa kuwa Rais iwapo tu amepata Kura Nyingi Zaidi kuliko Mgombea mwingine yeyote Katiba ya Kenya, Ibara ya 165 (4) inasema Mgombea atatangazwa kuwa Rais Mteule ikiwa atakuwa amepata zaidi ya...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta afanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

    Rais Uhuru Kenyatta amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika hotuba yake ya kwanza katika mwaka wa 2020 aliyoitoa kwenye Ikulu ya Rais Mombasa amemteua Monica Juma kama Waziri wa Ulinzi huku Raychelle Omamo akiwa Waziri wa Mambo ya Nje. Ukur Yatani ameteuliwa kama Waziri wa Fedha...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mama na mwana wajaribu kuuza damu ili kuongeza ada ya mtoto kujiunga kidato cha kwanza

    Mama na binti yake wamelazimishwa kuuza damu yao ili kuongeza ada ya shule ya kidato cha kwanza kwa msichana huyo. Agnes Akoth na mama yake Rose Odhiambo walikaa kwa muda katika Hospitali ya Rufaa ya Kata ya Siaya Jumatatu, Januari 13, ambapo walikuwa wamekwenda kumtafuta mnunuzi. Kulingana na...
  15. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Imam asimamishwa kazi baada ya kuoa mwanaume mwenzake

    Imam aliyemwoa mwanamume mwenzake akidhani ni mwanamke amefutwa kazi na baraza kuu la Waislamu Uganda. Huku mjadala kuhusu kama kweli alifahamu jinsia ya bi harusi wake wiki mbili zilizopita alipofanya nikka naye, baraza hilo linasisitiza kuwa kuna dosari kubwa kwa upande wa imam huyo na...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu wa Kenya Mtuku Daniel Arap Moi (95) ni mgonjwa mahututi

    Rais Mstaafu wa Kenya Daniel Arap Moi (miaka 95) yuko katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) Hospitali ya Nairobi. Amekuwa akilazwa na kuruhusiwa hospitalini hapo mara nne toka Oktoba 2019, ambapo mwanzo alitibiwa kwa tatizo la maji kujaa kwenye mapafu.
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kufanya Uchaguzi Mkuu mwingine mwaka huu, Duh!

    Hawa jamaa wanajua kutupa pesa aisee, duh!
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania AG has been ordered to appear in court to explain why orders allowing Miguna's return have not been obeyed

    AG Kihara Kariuki has been ordered to appear in court on Monday to explain why orders allowing lawyer Miguna Miguna's return to Kenya have not been obeyed. Judge John Mativo on Friday said the government was stifling democracy by going against the court orders. The state had no representation...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya builds first solar-powered farm that turns ocean water drinkable.

    Kenya builds first solar-powered farm that turns ocean water drinkable Kenya builds first solar-powered farm that turns ocean water drinkable Kenya has built its first solar-powered farm that turns ocean water into potable water. A non-governmental organization called Give Power, the project...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mtoto wa miaka 10 ajitahiri kwa kisu

    Mvulana wa miaka 10 mkazi wa kijiji ya Itare nchini Kenya amejitahiri kwa kutumia kisu cha jikoni baada ya wazazi wake kushindwa kulipia gharama ya Ksh 1000/- ya kupewa huduma hiyo hospitali. Mtoto huyo wa darasa la pili ameeleza chombo cha habari kimoja nchini humo kuwa alilazimika kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…