kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Tanzania Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

    Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Holili 17 Mei 2020 Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amesema kwamba malori ya mizigo kutoka Kenya hayataruhusiwa kupita katika mpaka wa Holili. Katika muongozo mpya unaolenga malori ya mizigo ya mataifa mengine...
  2. JamiiForums Tanzania Je, nini hasa huvutia wageni kwenda kuuona mlima Kilimanjaro kwa upande wa Kenya badala ya Tanzania?

    Kuna baadhi ya wadau walifikia hatua ya kusema tuweke pazia kubwa mlima Kilimanjaro kama la dirisha ili kuzuia usionekane bali tu kwa kutokea upande wa Tanzania, ila hicho kitakua kituko. Sasa tutafakari, kama ni ndege kubwa za kuketa watalii kwa direct flights tumeshanunua, kama ni kiwanja...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rwanda secures dry port in Kenya

    Rwanda has secured a dry port in Kenya’s Naivasha town easing Rwanda’s access to the port of Mombasa for exports and imports. The dry port located about 560 kilometers from Port of Mombasa will be among other ways to reduce the journey freight trucks have to take for outbound exports and...
  4. JamiiForums Tanzania Kenya yafunga mipaka yake na Tanzania na Somalia. Zuio la kutotoka ndani laongezwa kwa siku 21

    Rais Uhuru Kenyatta ametangaza kufungwa kwa mipaka yake na Mataifa ya Tanzania na Somalia kuanzia usiku wa leo kwa siku 30 zijazo Rais Kenyatta amesema kuwa ni madereva wa magari ya kubeba mizigo pekee ambao wataruhisiwa kuingia nchini Kenya baada ya kupimwa COVID19 na kupatikana kuwa hawana...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya charting the path to a green economy in Africa

    Kipeto wind energy station is a 100 MW wind power station under construction in Kajiado county. It will be the third wind power station in Kenya after the lake turkana wind power station and the Kengen Wind power station in Ngong Hills. It will be the second largest wind farm in east and central...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Visa vipya 23 vya Coronavirus vyatangazwa, idadi ya wagonjwa yafikia 781

    Kenya on Friday recorded 23 new cases of Covid-19, raising the country's total number to 781, Health CAS Rashid Aman has said. This is out of the 2,100 samples that were tested in the last 24 hours. 11 of the cases were from Nairobi, Mombasa (5), Kajiado (3) with Kiambu and Wajir with two...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Top Tanzanian news paper questions the tests done at Namanga by Kenya

    Covid-19: Tanzanian Leading Newspaper Questions The Tests Done at Namanga Border by kenya [Photo: President Magufuli (L) of Tanzania and President Uhuru of Kenya (R)] Photo/Courtesy Relationship between Tanzania and other East Africa states is deteriorating. This is after Tanzania way of...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya classifies Namanga border town with Tanzania as COVID-19 high-risk area

    FILE PHOTO: Children walk past a signage at the border crossing point between Kenya and Tanzania in Namanga, Tanzania. REUTERS/Njeri Mwangi/File Photo The Kenyan government on Wednesday classified Namanga, the border town with Tanzania, as a COVID-19 high-risk area following a surge in numbers...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kenya wameruhusiwa na nani kutangaza maambukizi mapya ya madereva wa Tanzania?

    Nimeona tangu juzi kupitia luninga ya ITV naibu waziri wa afya wa Kenya akitangaza maambukizi mapya ya Corona kwa raia wa Tanzania ambao ni madereva. Msingi wa swali langu ni kwanini Kenya inawatangaza ilhali haiwatibu? Kwa mfano leo wametangaza kuwapima madereva nane ambao wamekutwa na Corona...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madereva wengine nane wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya baada ya kugunduliwa kuwa na Corona

    Jana ilikua madereva 23 wa Tanzania, leo ni nane. Halafu ukiwaza wote hawa kabla kufika mpakani na Kenya huko walikotoka wanatema mbegu balaa, natumai kila wanaorudishwa kwao hawaingii mtaani, wanajifungia au kufungiwa sehemu. Sijui lini ndugu zetu wa Kusini watelewa kwamba hiki kitu kipo na...
  11. JamiiForums Tanzania Namanga: Madereva 23 toka Tanzania wazuiliwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na COVID-19

    Wewe Waziri wa Afya kweli ni mwanamke unayejua uchungu wa mtoto? Kwenye janga hili la Corona unafuata muongozo upi ambao unaelekea kuiua Tanzania? Tumechoshwa na habari za aina hii kila siku. Pia nikueleze kuwa tunachoshwa na madhila tunayoyaona huku mitaani. Hatujazoea kuishi na maiti sisi...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Deaths continue to rise as COVID-19 cases hit 715 in Kenya

    Kenya on Tuesday recorded 15 new cases of COVID-19, raising the country's total number to 715, Health CAS Rashid Aman has said. However, the number of fatalities in the country has risen now reaching 36 after three more fatalities were recorded in Mombasa. The CAS confirmed two died at home...
  13. JamiiForums Tanzania Kenya Kufanya Majaribio ya dawa mbili kutoka USA kwa ajili ya Corona

  14. JamiiForums Tanzania Kenya waandamana wakitaka chakula

    We want food’: Standoff in Eastleigh as irate residents take to the streets A section of Eastleigh residents demanding for relief food on May 11, 2020 A section of Eastleigh residents are demanding relief food following government restrictions on movement in and out of the ward...
  15. JamiiForums Tanzania Kenya wanakwepa tunayopitia Tanzania

    Taarifa kutoka Kenya zinadokeza kwamba Uhuru kamtosa William Ruto mbio za urais 2020. Ruto inasemekana sababu kubwa iliyofanya atoswe ni kushiriki mauaji ya watu mwaka 2007 baada ya kaamasisha umma kuwashambulia watu jamii ya kikuyu pia alitoa ushauri wa kutekwa na kakatwa kiganja kwa afsa wa...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madereva 9 Wakenya waliotokea Tanzania wagunduliwa kuwa na Corona. Visa vyafikia 700

    Jana tumeona ya Zambia, leo ya Wakenya tisa wameingia kutoka Tanzania wote wameathirika, duh! Bongo imekua vipi, hizo sera za kila kitu ruksa hata kusongamana kwenye vilabu kutawaponza sana. ======= Nine Kenyan truck drivers who arrived in the country from Tanzania are among 28 people who...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matokeo ya Lockdown Kenya

  18. JamiiForums Tanzania Changamoto ya COVID19: Madereva wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya

    Madereva wa magari zaidi ya 50 wa Tanzania wamezuiwa kuingia Kenya katika mpaka wa Namanga hadi hapo watakapopimwa kujua kama wana maambukizi ya CoronaVirus Taarifa zaidi inafuata.....
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapata wagonjwa wapya 23 wa CoronaVirus

    Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 672 baada ya wagonjwa wapya 23 kukutwa na virusi hivyo katika kipindi cha saa 24. Wakati wa mkutano na waandishi wa habari siku ya Jumapili katibu msimamizi wa maswala ya Afya nchini Kenya Rashid Aman amesema kuwa idadi ya...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Colonel Zipporah Kioko, the new Kenya Defence Forces spokesperson

    IN SUMMARY Ms Kioko has also been promoted to full colonel, becoming among the few senior military officers in that rank and above. Women troops have continued to make progress in ranks and in being given duties that have traditionally been regarded as for men. Zipporah Kioko is the new Kenya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…