kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya power resorts to buy expensive HOF thermal energy instead of cheaper geothermal

    Kenya Power on the spot for ignoring cheaper electricity Kenya Power is on the spot for prioritising expensive thermal power over the cheaper options such as geothermal and hydro, effectively setting up consumers for higher electricity prices. Data by the Energy and Petroleum Regulatory...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya ilidanganya kuhusu idadi ya barabara zenye lami

    Kenya had 11,230 kilometres of bitumen roads in 2013, according to data in the 2014 Statistical Abstract published by the Kenya National Bureau of Statistics. This closely matches the 11,000 figure used in the 2013 Jubilee manifesto. However, significant variations in official data mean that...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya to borrow leaf from Tanzania in cashew nut revival

    Group plans to borrow leaf from Tanzania in cashew nut revival Tuesday, October 20, 2020 Chairman of the Coast Nut Growers Association John Mumba shows some of his cashew nut trees at his 12-acre Mimando farm in Kikambala, Kilifi County earlier. What you need to know: The nut has...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Multi Billion shilling projects that will change lives for slum dwellers

    Hospitals Nairobi metropolitan services (nms) has started the construction of 24 public hospitals in all the informal settlements in Nairobi. 10 of the new hospitals will be level two and three and the rest will be level 4 hospitals. All the hospitals will require kes 2.8 billion to construct...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuanza kutumia jangwa lake kwa shughuli za utalii

    Ni muendelezo wa kupambana na kubadilisha kila hali kwenye hii nchi na kuifanya fursa. The Chalbi Desert dune belts For many years, the mention of Marsabit County conjured up images of a forsaken place full of hostile residents, banditry, cattle rustling and poor infrastructure and...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya to the world: kilimo biashara

    The resilience of Kenyans is just on another level, sit back and enjoy the show... Kenyan flowers now in Ghana...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa - Kenya locally made helicopters

    Ok sawa... since some people have insisted, I also met this beautiful locally assembled chopper. Kenya kuna mambo! All you need to do is #TembeaTujengeKenya By the way, the airstrip in Nanyuki is being extended. Asanteni sana watu wa Laikipia!!!! #TembeaKenya #TTK #IsuzuDelivers #ShellFuelSave...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa na bidii....Kenya Tourism Board nominated for excellence in policy making

    The Kenya Tourism Board (KTB) has been nominated for the 2020 Africa Tourism Leadership Awards ‘Leading in Progressive Policies’ category by Africa Tourism Partners. The other shortlisted bodies in this category are the Rwanda Tourism Development Board and Egypt for their progressive and...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya inaanza kutoa msaada kwa Mozambique baada ya watu 300,000 kuyahama makazi yako kufuatia mashambulio ya kigaidi

    Kenya imetoa msaada wa vyakula na madawa kwa zaidi ya watu 300,000 Mozambique waliofurushwa kutokana na vita vya kigaidi vya kundi la Ansar al-Sunna. Anyway kila mtu akichangia watapata usaidizi kwenye janga hili
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya vs Ethiopia, Kenya vs Tanzania

    Kenya vs Ethiopia Kenya vs Tanzania Ethiopia sio mchezo, lakini TZ tunakanyaga kama kawaida.
  11. JamiiForums Tanzania Kenya yaitaka Uingereza iwachukulie hatua polisi wake 'waliomtesa Mkenya'

    Kenya imeiandikia Uingereza ikidai haki juu ya ukatili dhidi ya raia wa Kenya unaodaiwa kufanywa na maafisa wa polisi katika eneo la Colchester, Essex nchini humo. Tukio la ukatili huo lilichukuliwa kwenye picha ya video ambayo ilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kuibua hasira na vilevile...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Equity ya Kenya yatajwa ndani ya mabenki kumi bora Afrika

    Huku wenye wivu wakiendelea kuuguza maumivu baada ya taarifa za KCB kupata faida zaidi ya ukijumuisha mabenki yao yote, haya hii nyingine ya kuendelea kutonesha.....ni zamu ya Equity bank sasa. ===== Equity, with a balance sheet size worth Kshs. 673.7 billion at the end of 2019, has been...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania GTC (Global Trade Center) Nairobi Kenya

    In the center of East AFrica rises a global center
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shoddy Chinese first-class roads in Kenya to be scrutinised

    SHODDY JOB Road agencies criticised for substandard, stalled projects Senators want audit carried out on all works implemented by Jubilee administration In Summary • Senators have called for an audit of all the infrastructure projects undertaken by President Uhuru Kenyatta’s Jubilee...
  15. JamiiForums Tanzania BBC, habari za moto Mlima Kilimanjaro anaripoti mwandishi kutoka Kenya, ni sahihi?

    Nilikuwa nafuatilia habari za BBC London katika television. Cha kushangaza habari ya mlima Kilimanjaro na harakati za nchi kuzima moto katika mlima huo mkubwa barani Afrika ameripoti mwandishi Emmanuel Igunza kutoka nchini Kenya. Nimejiuliza sana kwa nini habari za Tanzania aripoti mwandishi...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya debt to GDP ratio has officially crossed a 70% mark

    Kenya’s debt races past Ksh.7 trillion By Kepha Muiruri For Citizen Digital Published on: October 12, 2020 10:00 (EAT) File Photo of The National Treasury In Summary The roughly Ksh. 1 trillion addition in the public debt registry is largely attributable to an unrestrained borrowing...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya set to co-host Ksh542B Global Summit

    Kenya and the United Kingdom is set to co-host a landmark global education summit slated for mid-2021 which aimed at raising money for vulnerable countries. President Uhuru Kenyatta and Prime Minister Boris Johnson made the announcement Monday, October 12, with the summit set to take place in...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya named among 5 start-up hubs to watch – beyond Silicon Valley - worldwide

    5 start-up hubs to watch – beyond Silicon Valley Tel Aviv: Israel has the highest number of start-ups per capita in the world Start-ups were once synonymous with Silicon Valley or London - but that's no longer the case. Here we look at five...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uingereza na Kenya kukusanya $ 5bn kufadhili elimu baada ya Covid-19

    Waziri Mkuu wa Uingereza na Boris Johnson na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wanatarajiwa kuzindua mpango utakaosaidia kukusanyadola bilioni tano sawa na (£3.8bn) kwa ajili ya kuwasomesha watoto kutoka jamii masikini duniani. Idadi ya wanafunzi walioacha shule imeongezeka zaidi wakati wa janga la...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njama ya wanaokwepa kulipa ushuru Kenya kupitia Namanga kutoka bandari za Tazania watibuliwa

    The country is losing millions of shillings daily in a tax evasion scheme between Kenya Revenue Authorities employees and crafty importers. And as Sam Ogina reports importers and KRA officials at the Namanga border are now using fake import declaration forms to fraudulently allow trucks from...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…