Wakoloni hawajawahi kuondoka Kenya hata baada ya kupata Uhuru.
Wakoloni waliacha watu wao na mali zao Kenya kitu ambacho kinailazimisha Kenya kuvilinda kwa gharama yoyote wakati wote kwakutumia jeshi, sera, sheria na utamaduni.
Hii inawafanya viongozi wa Kenya wasiweze kukifanya kile...