Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Iran imetangaza kuanza kushambulia makampuni binafsi ya raia wa Marekani ambayo yana ofsi ukanda wa mashariki ya kati,kampuni hizi ni kama Microsoft, Google, Nvidia, Tesla, n.k.
Wameshindwa kabisa kuangusha hata ndege moja ya f35 na kumkamata rubani kuwe na ushahidi usio na shaka wameona...
Kenya is experiencing mixed food security conditions, with high food inflation driven by vegetable and staple costs despite some easing in global commodity prices.
Food and non-alcoholic beverages inflation reached 7.7% in March 2026, remaining the highest driver of overall price movements...
Kenya imechukua hatua kubwa sana baada ya kulipa Ksh 3.9 Billion (USD 30M) kwa Confederation of African Football kuhakikisha nchi iko fully on track kuhost Africa Cup of Nations 2027.
Kwa mujibu wa Sports CS Salim Mvurya, hii move inaonyesha serikali iko serious about delivering a world class...
Someone died after kupigwa sana kwa ring. Si majuu, hapa Kenya.
I hope itasaidia kuelewa that Boxing is very dangerous. You don’t play Boxing.
Kenya kumekua na tabia ya kuokota tu watu without hata amateur record na kuwaweka kwa pro fights. Hakuna kuangalia hata safety ya hao ‘boxers’. Ni pesa...
Larry Madowo ameendelea ku-shape global conversations kupitia reporting yake ya recent elections kule Uganda na Tanzania work ambayo pia imemfanya apokee Human Rights Defenders Award 2024
From the ground, ame-focus on:
Electoral transparency na process integrity
Human rights concerns during...
Wakuu,
Nimeona kampuni ya Safaricom wamekuja na mfumo mpya wa kuficha baadhi ya tarakimu kwenye namba za mtu anayetuma pesa, nadhani ni wazo zuri sana. Mfano, ukituma pesa, mpokeaji ataona namba kama 0754****00. Ikitokea ukitaka kujua namba nzima, wewe mpokeaji utalazimika kufoward huo muamala...
Ripoti ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imebaini mapungufu makubwa katika viwanja vya Kenya vilivyopendekezwa kwa ajili ya mashindano ya AFCON 2027. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, hadi Februari 2026, hakuna kiwanja, kati ya viwanja vitatu vilivopendekezwa, kilichofikia viwango vya Daraja la 4...
Kenya’s currency is facing renewed pressure as the ongoing Middle East conflict drives investors toward the US dollar, raising concerns about the cost of living and economic stability.
According to recent data, the Kenyan Shilling weakened to about KSh129.72 per dollar, down from KSh129.30...
The World Bank has announced plans to provide financial aid to countries affected by the ongoing Middle East conflict, as global supply chains face major disruptions.
According to the report, countries like Kenya are already feeling the pressure, with the crisis driving sharp increases in fuel...
Kenyans can breathe easy after the Communications Authority of Kenya (CA) clarified that low-cost phones (including kabambe) are not being banned under the new mobile device regulations.
The clarification follows confusion sparked by new technical standards requiring all phones sold in Kenya to...
Gender-Based Violence (GBV) in Kenya has reached critical levels in early 2026, with reports highlighting an alarming surge in femicide and violence against women. Data from late 2025 and early 2026 indicates that Nairobi, Kakamega, Kisumu, Nakuru, and Kiambu counties report the highest cases...
Baadhi ya miili inaonekana kutoka hospitali katika kaunti jirani
Takriban miili 32, mingi yao ikiwa ya watoto wachanga, imefukuliwa kutoka kaburi la pamoja katika mji wa magharibi mwa Kenya, Kericho, huku uchunguzi ukiendelea kuhusu ugunduzi huu wa kushangaza.
Ufukuaji huo ulifanyika baada ya...
Jamani hii nchi kuna kitu haiko sawa…
Shining Hope for Communities wameingia ground kusaidia over 100,000 learners Nairobi informal settlements.
Wanajenga ICT labs + toilets kwa shule kama Salama Primary School na Huruma Primary School.
Lakini sasa sikia hii
➡️ Mtoto mmoja alikuwa anashare choo...
Kenya is facing a PhD deficit that is affecting the rollout of the human capital necessary to drive development through science, research and innovation.
Data from the African Population and Health Research Center (APHRC) shows that Kenya possesses significant talent and institutional presence...
Iko askari mpumbavu aliamua kumsomesha mpenzi wake chuo kikuu alitumia takriban 800,000 za kenya baada ya kuhitimu mpenziwe alimuacha na kusema ako na elimu zaidi ya polisi.
Polisi alimfuata kwake na kumpiga risasi kumi na saba hadi kufa.
Je, makosa ni ya nani?
Cheche za maneno, mirengo mipya ya kisiasa na ubabe wa vyama tayari imeanza kusheheni nchini Kenya, miezi 14 tu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.
Miongoni mwa viongozi wanaogonga vichwa vya habari ni pamoja na aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua aliyetimuliwa kazini miezi kadhaa...
The discovery of mass graves in Kenya over the past few years has exposed a troubling pattern that raises deeper questions about accountability, systems, and the value placed on human life.
From the bodies retrieved in River Yala between 2021 and 2022 to the devastating Shakahola tragedy, where...
Kenyans wako furious sana after gospel singer Mary Claire kushambuliwa na acid kwa mchana, like this is no longer just crime ni pure evil. Alikuwa anatoka na friend wake, then boom, mtu anamwaga acid usoni and tries to escape kama movie scene.
But here’s where it gets darker mashahidi wanasema...
China’s Vice President Han Zheng is in Kenya for an official state visit aimed at deepening diplomatic and economic relations between Nairobi and Beijing.
The high-level visit underscores the growing partnership between the two countries, with discussions expected to focus on trade...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.